The daily briefing.
Latest across Tanzania
DCEA yaonya magari ya maiti kutumika kusafirisha dawa za kulevya
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema baadhi ya magari yanayosafirisha maiti kwenda mikoa mbalimbali nchini yameanza kutumiwa na...
Wamiliki wa mabasi, malori wafunguka mgomo wa madereva
Soma zaidi...
Hatima ya Lissu Novemba 6, Katuga amshukuru Lissu
Soma zaidi...
KUTOKA KUDHARAULIWA HADI KUWA MWAJIRI SAFARI YA EVA JOHN YA KUGEUZA CHANGAMOTO KUWA FURSA
Na Farida Saidi Mangube, Morogoro WAKATI wengine walipoona mwisho wa safari, Eva John aliona mwanzo wa maisha mapya. Mwaka 2015, baada ya kuhitimu kidato cha nne...
WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA VIAPO
Na. Mwandishi Wetu, Tabora WATENDAJI wa uchaguzi wamesisitizwa kuheshimu viapo vyao na kutekeleza majukumu kwa kuzingatia Katiba, sheria na kanuni wakati wote wa...
TASAC, YAFANYA SENSA YA MAJARIBIO YA VYOMBO VYA MAJINI
Na Chalila Kibuda , Bagamoyo SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), limefanya zoezi la majaribio ya Sensa...
STANBIC BANK YASEMA MABORESHO YA SOKO LA MITAJI TANZANIA YANAFUNGUA FURSA MPYA KWA TAASISI ZA UMMA
Benki ya Stanbic Tanzania imesema maboresho ya hivi karibuni katika soko la mitaji nchini yamefungua fursa mpya na muhimu kwa taasisi za umma kupata fedha za muda...
DCEA YATOA ONYO KWA MAGARI YA MSIBA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
-Kamishna Jenerali Lyimo atoa angalizo kwa familia, wamiliki wa mabasi Na Mwandishi Wetu FAMILIA zinazokodi mabasi madogo (hiace/coaster) kusafirisha waombolezaji au...
DC Msando aagiza madereva kuondoa mabasi Stendi ya Magufuli
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Albert Msando amewaagiza abiria waliopo katika Stendi ya Mabasi ya Magufuli, Dar es Salaam kuingia kwenye mabasi waliyokatia tiketi ili...
OPERESHENI MAALUM YANASA DAWA ZA KULEVYA KILO 18,078.41
Na Said Mwishehe,Michuzi TV MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata jumla ya kilogramu 18,078.41 za dawa za kulevya, katika operesheni...
RAIS MWINYI ATAKA MAONESHO YA TECH NA AI YALETE MATOKEO KWA WANANCHI, YAS KUENDELEA KUWEKEZA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka washiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Teknolojia na Akili Unde (Tech & AI International Expo 2026) kuyageuza...
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, kujionea hali ya utoaji wa...
Kocha England alia na ulinzi
KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ameonya safu yake ya ulinzi baada ya kukiri kuwa kikosi chake kimekuwa “hatari kwao wenyewe” kutokana na makosa ya...
Shilla; Kutoka Azam FC hadi mitaa ya Ibrahimovic
Read the full report from the original source.
Bao la Olise lampagawisha Zidane
KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Ufaransa, Zinedine Zidane, amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kushindwa kujizuia kwa furaha kufuatia timu yake kupata ushindi wa dakika...
Rais FIFA kumwaga mabilioni
Read the full report from the original source.
ELIMU DHIDI YA MVUA ZA EL NINO YABISHA HODI SAME MASHARIKI
SAME. WANANCHI wa Jimbo la Same Mashariki, wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari na kujiandaa kukabiliana na athari zinazoweza...
VP Ndejembi hails maternal and newborn health services at Mount Meru Hospital
ARUSHA: VICE President Deogratius Ndejembi has visited Mount Meru Regional Referral Hospital in Arusha to assess the provision of healthcare…
Tanzania, Burundi begin their joint UPC to review and bolster their socio-economic ties
Read the full report from the original source.
Jan International hails its operations in Tanzania for advancing the country’s economy
DAR ES SALAAM: JAN International has said its operations in Tanzania have contributed to the country’s economy through employment creation,…
Page 178 of 211 · 4206 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0