The daily briefing.
Latest across Tanzania
KURASA ZA MWISHO | Maswali kwa Kocha Miguel Gamond na kikosi cha Stars.
Wachambuzi Faustine Felician, Khatimu Naheka na Charles Abel wakiuliza maswali yao kwa Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi na kikosi kizima cha Stars baada ya...
Jinsi Azam TV ilivyowanasa Simba SC mafichoni Afrika Kusini
KUTOKA AFRIKA KUSINI: Mohamed Mohamed amewasaka Simba SC hadi amewapata wakiwa mafichoni katika kambi yao maalum ya siku kumi. Hapo amezungumza na meneja wa timu...
Magoli | KVZ FC 3-0 Fufuni FC | PBZ Premier League Zanzibar 26/
#PBZPL Hizi hapa chuma tatu za Kikosi cha Valantia Zanzibar… ….. wauaji wakiwa ni Munir Abdu Shafi ‘Mlipili’, Muhammed Mussa Haji, ‘Banega’, na Mudrick Abdi Shekhe,...
SPORTS AM | David Molinga aifananisha Yanga na Barcelona, ampa ushauri Doumbia wa Simba
SPORTSAM: Nyota wa zamani wa Yanga SC, David Molinga anasema Yanga ya sasa ndio bora zaidi kuliko nyakati zote. Molinga anasema kwa aina ya wachezaji iliyonayo Yanga...
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 28/09/2026
Azam TV
'Jezi ya Chama' inavyoing'arisha makumbusho hii nchini Afrika Kusini
KUTOKA AFRIKA KUSINI: Jezi ya Clatous Chama na timu mbalimbali ulimwengu zinavyoipa thamani ya kumbukumbu hoteli waliyofikia Simba SC, Polokwane Afrika Kusini. Kuta...
Simba SC watembelea hifadhi ya wanyama nchini Afrika Kusini
KUTOKA AFRIKA KUSINI: Baada ya mazoezi magumu ya siku tatu mfululizo kwenye kambi yao nchini Afrika Kusini, kikosi cha ‘Mnayama’ Simba SC leo Septemba 29 kimepata...
Mzee Mpili azikwa, Manara Ally Kamwe watoa neno, mtoto wake akumbushia jambo kuhusu Kariakoo Derby
MZEE MPILI: Mwili wa Omary Ramadhan Mpili (aliyekuwa mwanachama wa Yanga SC), umezikwa leo wilayani Rufiji huku Haji Manara, Ally Kamwe wakitoa neno. Naye mtoto wa...
Matola asimulia jinsi kispika kilivyokwamisha dili lake Yanga. SC
Kocha Msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola ameweka wazi kuwa hapo zamani ilibaki kidogo ajiunge na Yanga SC ambao walimtumia nauli ya kwenda kujiunga nao kabla ya...
Stanbic : Maboresho ya soko la mitaji yafungua fursa mpya kwa taasisi za umma
Read the full report from the original source.
Mandonga kukiwasha Zanzibar leo
VISIWA vya marashi ya karafuu, Zanzibar, vitakuwa na bashasha kubwa kuelekea tamasha kubwa la ngumi la Boxing in Paradise linalotarajiwa kufanyika leo Septemba 29,...
Ishu ya Mwenda yachukua sura mpya Yanga
Soma ziadi hapa
Rekodi zaibeba Taifa Stars kwa Madagascar
Read the full report from the original source.
TRA United kuchomoa mtaalamu Yanga
UONGOZI wa TRA United umeanza mazungumzo ya kupata huduma ya Mtaalamu wa Uchambuzi wa Utendaji wa Wachezaji (Performance & Tactical Analyst) wa Yanga, Bartalomew...
Mgunda anavyojiingiza kitanzini Simba
Soma zaidi hapa
AKADEMI ZA HISPANIA: Siri iliyomsuka Yamal na wenzake
Read the full report from the original source.
Utamu mwingi wa namba Ligi Kuu England
Read the full report from the original source.
Yanga yaifunika tena Simba
Soma zaidi hapa
Mixed reactions greet new mandatory travel insurance for foreign visitors
Read the full report from the original source.
The plight of African women who decide to marry abroad
Read the full report from the original source.
Page 182 of 211 · 4206 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0