The daily briefing.
Latest across Tanzania
VIJANA WAJENGEWA UWEZO WA KUZALISHA VIFARANGA BORA VYA SAMAKI
Farida Mangube Morogoro Zaidi ya vijana 60 kutoka mikoa mbalimbali nchini wamepewa mafunzo ya kuzalisha vifaranga bora vya samaki, ikiwa ni fursa ya kuwawezesha...
Nindie asisitiza usimamizi wa vihatarishi kukabiliana na changamoto katika taasisi
Read the full report from the original source.
‘MAJIBU YENU YATAWEKA MSINGI MPYA WA SHERIA YA UHAINI’ — LISSU
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV DAR ES SALAAM — Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameiambia Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es...
TFS YATOA MADAWATI 50, YAOKOA WANAFUNZI 150 KUKAA CHINI KILOSA
Farida Mangube, Kilosa Morogoro Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Mashariki, kupitia Ofisi ya Mhifadhi Misitu Wilaya ya Kilosa, imekabidhi madawati...
Tanzania co-chairs Transport Ministers’ Forum to advance technological ties with China
BEIJING: TANZANIA has been appointed Co-Chair of the Transport Ministers’ Forum being held in Beijing, China, with Minister for Transport…
Tanzania, Tunisia agree to deepen ties in pharmaceutical production, radiotherapy and telemedicine services
Read the full report from the original source.
Dr Mwinyi donates 10m/- for construction of TRAMPA centre
DODOMA: PRESIDENT of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Mwinyi, has contributed 10m/- towards the construction of…
Wizara ya Nishati yatwaa Tuzo Utendaji MEL 2026
Read the full report from the original source.
WATU NANE WAFARIKI AJALI YA COASTER NA SCANIA RUFIJI
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani WATU nane wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Coaster kugongana uso kwa uso na lori aina ya...
WAZEE CCM RUKWA WATAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA MWENGE
Na Jane Mwakyoma, Rukwa MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa, Silafu Maufi, amewataka wajumbe wa Baraza la Wazee wa chama hicho mkoani humo kuendelea...
DKT. SAADA: WHI IONGEZE ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WANANCHI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Ikulu) anayesimamia Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, ametembelea banda la Watumishi Housing Investments (WHI)...
MSD YAINGIZA SHEHENA YA KWANZA YA DAWA YA KUDHIBITI URAIBU WA POMBE
Na Mwandishi Wetu BOHARI ya Dawa (MSD) imefanikiwa kuingiza nchini shehena ya kwanza ya dawa ya Naltrexone , inayotumika katika matibabu ya uraibu wa pombe. Hatua...
Dr Mwinyi opens 3rd Zanzibar Organic Festival, pledges to continue bolstering agricultural products
ZANZIBAR: PRESIDENT of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Ali Mwinyi, said his government will continue investing…
BALOZI MATINYI ATEMBELEA WAZALISHAJI MASHINE ZA BIDHAA ZA KILIMO ALGERIA
Na Mwandishi Wetu BALOZI wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, leo Septemba 23, 2026, amefanya ziara katika kiwanda cha kampuni ya CAM SARL kilichoko nje...
CHANZO MGOGORO MIGODI YA INK,MAYOMBA CHATAJWA
Na George Maziku, Mbogwe CHANZO cha mgogoro baina ya mgodi wa INK na Mayombya Gold Mine iliyopo kata ya Lugunga, wilayani Mbogwe, mkoa wa Geita, kimewekwa hadharani....
REA pledges to complete distribution of power in all rural hamlets by 2030
DODOMA: THE Tanzanian government is committed to completing electricity distribution projects in all rural hamlets by 2030, a move expected…
Mizigo yawaweka matatani madereva bajaji 72 Mwanza
Read the full report from the original source.
MSD receives first shipment of Naltrexone for the treatment of alcohol addiction
DAR ES SALAAM: THE Medical Stores Department (MSD) has successfully imported the first shipment of Naltrexone, a medicine used in…
DKT. GWAJIMA: MALEZI DUNI YA WATOTO YANACHOCHEA TABIA HATARISHI
Na Janeth Raphael - MichuziTv Malezi ya mtoto katika hatua za awali za maisha yana nafasi kubwa katika kujenga tabia, mwenendo na mustakabali wake, huku ukosefu wa...
DKT. MWIGULU AHIMIZA USHIRIKIANO WA KIKANDA KUDHIBITI MAGONJWA YA MIFUGO
▪️︎ EU kuwekeza Euro milioni 50 kusaidia kutokomeza sotoka barani Afrika WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la...
Page 215 of 219 · 4375 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0