The daily briefing.
Latest across Tanzania
WAZIRI MKUU AKEMEA VIKALI VITENDO VYA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekemea vikali vitendo vya baadhi ya wananchi kujichukulia sheria mkononi na kuvielekeza vyombo vya dola kuchukua hatua stahiki na...
MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA KIBAHA APANIA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA KUPITIA WAWEKEZAJI WA NDANI
Na Victor Masangu,Kibaha Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Dkt.Nicas Mawazo amewahakikishia wawekezaji ambao ni wazawa kuwapatia maeneo kwa ajili ya...
BALOZI OMAR AMEIAGIZA TRA KUJIWEKA TAYARI KUTOA HUDUMA BANDARI YA MANGAPWANI
Na. Benny Mwaipaja, Mangapwani, ZANZIBAR. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa kushirikiana na Shirika...
Chicken Hot Run Yakusogezea Joto La Ushindi Meridianbet
MASHABIKI wa michezo ya kasino mtandaoni yenye msisimko, sasa ni wakati wa kuongeza spidi ndani ya Meridianbet . Safari mpya ya kusisimua imewadia kupitia Chicken Hot...
La Laliga Kumewaka, Sevilla Dhidi ya Osasuna
MACHO ya mashabiki wa soka nchini Hispania yataelekezwa katika dimba la Sevilla, ambapo Sevilla FC itakuwa mwenyeji wa CA Osasuna katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
Kadogosa orders contractor to fast-track Kahama–Kakola road project
KAHAMA: The Minister for Works, Masanja Kadogosa, has directed the contractor building the Kahama–Bulyanhulu Junction–Kakola road to accelerate construction and…
Wanafunzi Babati watakiwa kutoa elimu ya uhifadhi na mabadiliko ya tabia nchi vijijini
Read the full report from the original source.
Yanga, Simba wakitupwa hapa CAF kazi ipo
YANGA na Simba zinasubiri kwa hamu kujua wapinzani wao katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2026/27, huku droo ikitarajiwa kuamua iwapo timu...
Dodoma braces for 5th Parliamentary Meeting starting from Oct 27 to Nov 6, 2026
DODOMA: TANZANIA’S Fifth Parliamentary Meeting is scheduled to begin tomorrow, October 27, and run until November 6, 2026, with preparations…
Bandari SACCOS na Foundation Zapeleka Huduma za Uchangiaji Damu kwa Jamii
Na Mwandishi Wetu BANDARI SACCOS, kwa kushirikiana na Bandari Foundation, imeendelea kuimarisha ushirikiano na jamii kupitia shughuli za uchangiaji damu, upimaji wa...
Rapper Nicki Minaj joins Trump onstage at Michigan rally
USA: Rapper Nicki Minaj said US President Donald Trump has “changed the energy of the country” as she joined him…
Nurse killed in attack while responding to Ebola alert in DR Congo
DR CONGO: A nurse has been killed and another health worker seriously injured in an attack as they were responding…
Kinondoni leads serious crime statistics in Tanzania as experts call for action
Read the full report from the original source.
Carrick: Sijaaga Manchester United
KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesisitiza kuwa hakuwa akiwaaga mashabiki baada ya timu yake kuchapwa mabao 3-0 na Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu...
Isak aanza kulipa Liverpool
Read the full report from the original source.
Dodoma faces 68 million-litre daily water deficit
Read the full report from the original source.
ZILIZOBAMBA MTANDAONI | Goli la mapema la Ligi Kuu ya NBC hadi sasa uliliona?
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Namungo na goli la mapema zaidi Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa. Mtangazaji @ibrakasuga na mchambuzi @godlisten_muro7 wametia neno. Ni #Zilizobamba...
Vodacom Tanzania yaendelea kukuza Golf nchini, Paul Chidale aibuka kinara Vodacom Tanzania Open 2026
Mkurugenzi wa Vodacom Business, Nguvu Kamando (kulia) akimkabidhi mshindi kutoka Malawi Paul Chidale, tuzo baada ya kutwaa ubingwa wa Vodacom Tanzania Open 2026...
MBUNGE MNZAVA ATATUA KERO YA MAJI,WANANCHI WAMSHANGILIA DKT.SAMIA
Na Mwandishi Wetu, Korogwe WANANCHI wa Kijiji cha Vuje, kilichopo Kata ya Bungu Korogwe Vijijini, wameingia kwenye furaha kubwa baada ya kushuhudia mkandarasi...
MITA ZA MAJI ZAIDI YA 100 ZAIBIWA DODOMA NDANI YA MIEZI MITATU
Na Janeth Raphael - MichuziTv Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph, amesema wizi wa mita za maji ni...
Page 64 of 211 · 4212 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0