The daily briefing.
Latest across Tanzania
Meridianbet Wakuletea Play With Kevin Yenye Zawadi Nono Zaidi Ya Tsh. Bilioni 3.7
MASHABIKI wa burudani za kidijitali wana sababu mpya ya kuongeza msisimko kupitia Meridianbet , ambayo kwa kushirikiana na Pragmatic Play imezindua kampeni ya PLAY...
Benki ya Exim Tanzania Yatoa Elimu na Huduma za Uchunguzi wa Saratani ya Matiti Bila Malipo
Benki ya Exim Tanzania kupitia programu ya Exim Cares, imefanya zoezi la uhamasishaji kuhusu saratani ya matiti lililowapa fursa wafanyakazi na wanajamii...
Tuzo ya Ballon d’Or ina wenyewe
Read the full report from the original source.
Pesa Hiyoo; Manchester United dhidi ya Bournemouth
MACHO ya mashabiki wa soka yataelekezwa kwenye dimba la Old Trafford leo Jumapili, Oktoba 25, 2026, ambapo Manchester United itakuwa mwenyeji wa Bournemouth katika...
Joto kali, mvua na upepo waharibu mamia ya nyumba
Read the full report from the original source.
Bandari ya Fumba kivutio kipya AFCON 2027
Read the full report from the original source.
Manqoba ‘amwaga mboga’ Yanga
Soma zaidi hapa
Wawili watajwa kurithi mikoba Yanga
Soma zaidi hapa
Wasauzi waibip Simba
Soma zaidi hapa
Singida BS 1-1 Tusker FC | Highlights | CAF CC 25/10/2026
Singida BS imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Tusker FC ya Kenya, na kufuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika #CAFCC kwa jumla ya magoli 2-1, kufuatia ushindi...
Magoli | Geita Gold FC 1-1 Fountain Gate FC | NBC Premier League 25/10/2026
Geita Gold FC imelazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Bukombe, mkoani Geita. Waliotangulia...
PWANI YAWEKA MIKAKATI KUDHIBITI MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, na Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, wametaka maeneo maalumu ya kilimo na ufugaji...
TANZANITE YENYE THAMANI YA SH3.23 BILIONI YAZALISHWA MIRERANI
Na Mwandishi Wetu, Mirerani KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeelezwa kuwa jumla ya gramu 274,634.32 za madini ya Tanzanite, zenye thamani ya Sh3.23...
KAMATI YA LAAC YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA IRINGA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Ado Shaibu, imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya...
KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAPONGEZA MAENDELEO YA UJENZI KITUO CHA AFYA WAMBI
Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu ya Halmashauri ya Mji Mafinga ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri,Kaimu Mkurugenzi pamoja na Wakuu wa Idara wa Halmashauri...
HOMERA ATANGAZA MAPINDUZI YA UMEME VITONGOJINI, AIPONGEZA REA KWA UTEKELEZAJI
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Homera, amepongeza juhudi za Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, katika kusimamia...
TANZANIA YATAKA HATUA ZA DHATI KULINDA ZIWA TANGANYIKA
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv TANZANIA imetoa wito kwa nchi wanachama zinazopakana na Ziwa Tanganyika kutekeleza kwa vitendo makubaliano ya kikanda ya kukabiliana na...
DKT. KIJAJI: HAKUNA KULALA, MIRADI YA UTALII IKAMILIKE KWA WAKATI NA VIWANGO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, ameitaka Menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kuhakikisha miradi ya kuboresha miundombinu ya...
MSIGWA AFUNGUKA BILIONI 730 ZA EL NIÑO, ASEMA SI BAJETI MPYA YA SERIKALI
Na Janeth Raphael -MichuziTv Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amefafanua kuwa makadirio ya Shilingi Bilioni 730 yaliyotajwa katika Mpango wa Taifa wa Dharura...
MSIGWA: WANANCHI WASITUMIE VURUGU KUDHIMISHA MADAI YAO
Na Janeth Raphael - MichuziTv Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali inaendelea...
Page 70 of 211 · 4215 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0