The daily briefing.
Latest across Tanzania
DKT. KIJAJI: HAKUNA KULALA, MIRADI YA UTALII IKAMILIKE KWA WAKATI NA VIWANGO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, ameitaka Menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kuhakikisha miradi ya kuboresha miundombinu ya...
MSIGWA AFUNGUKA BILIONI 730 ZA EL NIÑO, ASEMA SI BAJETI MPYA YA SERIKALI
Na Janeth Raphael -MichuziTv Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amefafanua kuwa makadirio ya Shilingi Bilioni 730 yaliyotajwa katika Mpango wa Taifa wa Dharura...
MSIGWA: WANANCHI WASITUMIE VURUGU KUDHIMISHA MADAI YAO
Na Janeth Raphael - MichuziTv Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali inaendelea...
RAIS SAMIA KUFUNGUA RASMI MJINI WA SERIKALI MTUMBA OKTOBA 30, 2026.
Na Janeth Raphael - MichuziTv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua rasmi majengo ya ofisi za Wizara na Taasisi za...
Magoli | Singida BS 1-1 Tusker FC | CAF CC 25/10/2026
Singida BS imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Tusker FC ya Kenya, na kufuzu hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika #CAFCC kwa jumla ya magoli 2-1, kufuatia ushindi...
Serikali yatoa kauli tena Sh730 bilioni za El Niño
Serikali imesema Sh730 bilioni zilizotengwa kwa ajili ya kukabiliana na athari za mvua za El Niño ni jumla ya fedha zilizopangwa na taasisi mbalimbali za umma na...
Dkt. Homera aagiza uzinduzi wa kampeni ya “Washa Umeme Vitongojini” nchi nzima
Read the full report from the original source.
Rais Samia kuzindua Mji wa Kiserikali Oktoba 30
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuzindua Mji wa Serikali wa Mtumba, jijini Dodoma unaojulikana kama Magufuli City, Ijumaa ya Oktoba 30, 2026, katika hatua...
Simba SC vs 15 de Agosto | Joto la mashabiki kabl aya mechi | CAF CL 25/10/2026
Sikia walichokisema mashabiki kutoka Dimba la Uhuru dakika chache kabl ay Simba kuivaa 15 de Agosto, katika mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika mchezo...
Magoli | 3K FC 2-1 Murang'a Seal | SportPesa league Kenya 25/10/2026
#SportPesaLeague Enjoy magoli matamu kutoka Kenya... Wafungaji ni Oscar Juma na Gien Kairuki kwa 3K FC, wakati Murang'a wakifunga kupitia kwa Michael Owen. FT: 3K FC...
Simba SC 3-0 De Agosto | Highlights | CAF Champions League 25/10/2026
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhid ya 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta, na kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya magoli 9-1, kufuatia...
Magoli | Simba SC 3-0 De Agosto | CAF Champions League 25/10/2026
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhid ya 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta, na kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya magoli 9-1, kufuatia...
Man United mara saba mastaa wameipinga hadharani
MANCHESTER United imekuwa ikikumbana na kauli za ukosoaji kutoka kwa baadhi ya wachezaji wake, huku Bruno Fernandes na Lisandro Martinez wakiibua mjadala kuhusu mbinu...
Liverpool kunani ikicheza EPL
LICHA ya kuwa na uwezo wa kufunga mabao mengi, Liverpool imeanza msimu wa Ligi Kuu England kwa kiwango cha chini cha ufungaji, ikiwa imefunga mabao tisa pekee katika...
Simba yamaliza kazi CAF ikiifuata Yanga
SIMBA SC imemaliza kwa kishindo hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta mabao 3-0 katika mchezo wa marudiano...
Tanzania sees massive drop in poverty level as population hits 70m
DODOMA: THE government has proudly announced massive decline in poverty level for its citizens countrywide. The government, through its spokesperson…
Tanzania opens the lid on 730bn/- set for El Niño preparedness
DODOMA: THE government has clarified that the Sh730 billion associated with preparations to address the effects of El Niño is…
Dr Samia set to grace the official opening of Mtumba Government City Oct 30
Read the full report from the original source.
Tanzania banks on peace and Stability to attain a 1tri/- US dollar economy
Read the full report from the original source.
Congo did not invent our dansi; they just wear it better: Time to learn from Bongo Flava
DAR ES SALAAM: LET me begin with a confession that may cost me some friends at the next Msondo Ngoma…
Page 71 of 211 · 4218 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0