The daily briefing.
Latest across Tanzania
PWANI YAWEKA MIKAKATI KUDHIBITI MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, na Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, wametaka maeneo maalumu ya kilimo na ufugaji...
TANZANITE YENYE THAMANI YA SH3.23 BILIONI YAZALISHWA MIRERANI
Na Mwandishi Wetu, Mirerani KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeelezwa kuwa jumla ya gramu 274,634.32 za madini ya Tanzanite, zenye thamani ya Sh3.23...
KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU YAPONGEZA MAENDELEO YA UJENZI KITUO CHA AFYA WAMBI
Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu ya Halmashauri ya Mji Mafinga ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri,Kaimu Mkurugenzi pamoja na Wakuu wa Idara wa Halmashauri...
Tanzania banks on peace and Stability to attain a 1tri/- US dollar economy
Read the full report from the original source.
Nyongo, Ridhiwani wataka maeneo maalumu ya malisho kupunguza migogoro ya wakulima na wafugaji
Read the full report from the original source.
‘Uwekezaji TBS utaongeza ufanisi huduma za upimaji’
Read the full report from the original source.
YAS YAWAJENGEA UWEZO WANAWAKE 150 MWANZA KUINGIA MASOKO YA KIMATAIFA
Mafunzo ya biashara, usafirishaji wa bidhaa na malipo salama yalenga kuwasaidia wajasiriamali wanawake kupanua masoko yao nje ya nchi. Mwanza, Tanzania – Wanawake...
TAWEN YOUTH YAZINDULIWA DAR, VIJANA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam VIJANA nchini wametakiwa kutumia fursa zinazopatikana katika sekta za elimu, fedha, uwekezaji, biashara na utamaduni, huku wakitumia...
Serikali yapiga marufuku shughuli za kilimo ndani ya Hifadhi ya Makame
Read the full report from the original source.
KASESELA AWAHIMIZA WANAWAKE MVOMERO KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Richard Atufigwege Kasesela, amewahimiza wanawake wilayani humo kutumia hekima, ujuzi na fursa mbalimbali za kiuchumi kujikwamua kimaisha,...
PROF. SHEMDOE AKAGUA MIRADI YA BILIONI 26 MPANDA, AWATAKA WATUMISHI KUTOA HUDUMA BORA ZINAZOAKISI UWEKEZAJI HUO
Na OWM–TAMISEMI, Mpanda - Katavi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amekagua...
Kamati ya bajeti yasifu mfumo ulinganishaji ada za mikopo
Read the full report from the original source.
NMB, CMC wazindua kampeni ya matrekta kwa wakulima wa korosho.
Benki ya NMB kwa kushirikiana na CMC Agri Limited imezindua kampeni ya Korosho Yangu, Benki Yangu mkoani Mtwara, itakayowezesha vyama vikuu vitano vya ushirika...
VIJANA WAIOMBA SERIKALI KUONDOA VIKWAZO VYA AJIRA KATIKA KILIMO
Na Janeth Raphael -MichuziTv Vijana wanaoshiriki katika sekta ya kilimo wamezitaka Serikali na wadau wa maendeleo kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha kupata...
NAIBU WAZIRI LONDO AAHIDI KUFUATILIA CHANGAMOTO ZA VIWANDA KUKUZA UZALISHAJI WA NDANI
📌 Asisitiza umuhimu wa kuboresha miundombinu na kuhakikisha leseni za viwanda zinaendana na shughuli halisi za uzalishaji; 📌 Serikali kuendelea kuhamasisha ujenzi wa...
MABALOZI WASTAAFU WARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI NIT
Umoja wa Mabalozi Wastaafu Tanzania umeridhishwa na uwekezaji wa Serikali katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ikiwemo vifaa vya kisasa vya kufundishia na...
Wakulima Singida Wahimizwa Kuhakiki Mbegu za Mahindi Kabla ya Kupanda
Wakulima katika Mkoa wa Singida wamehimizwa kuhakiki uhalisi wa mbegu za mahindi na kuchagua aina zinazofaa kwa mazingira ya kilimo katika maeneo yao ili kupunguza...
SACCOS zatakiwa kutoa mikopo yenye tija
Read the full report from the original source.
NSSF NI FURSA YA VIJANA KUJIKWAMUA KIUCHUMI
-Ni wakati wa kufunga Kongamano la Wiki ya Vijana mkoani Rukwa Na Mwandishi Wetu, Sumbawanga Vijana nchini wametakiwa kutumia fursa zinazotolewa na Serikali na...
TBS yataka wajasiriamali vijana wazingatie viwango
Read the full report from the original source.
Page 5 of 14 · 280 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0