The daily briefing.
Latest across Tanzania
‘Tumerishika na maendeleo ya ujenzi miradi ya umwagiliaji’
Read the full report from the original source.
CCM YARIDHISHWA NA UJENZI WA SKULI YA SEKONDARI KAMA
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Ndugu Abdi Mahamoud Abdi, amesema CCM imeridhishwa na hatua iliyofikiwa katika...
MAGHEMBE AZINDUA KITABU CHA MT. FRANSISKO WA ASIZI, AHIMIZA WATANZANIA KUHIFADHI URITHI WA WAFRANSISKANI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Ngwaru Jumanne Maghembe (Mb.), amezindua kitabu “Saint Francis of Assisi in Tanzania: A Living...
Serikali yaokoa bilioni 13.77/- katika ugomboaji wa mizigo
Read the full report from the original source.
Nchi iko salama kwa chakula – Kamati ya Bunge
Read the full report from the original source.
Dkt. Shekalaghe Aongoza Kikao Kazi Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akikaribishwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kuendesha kikao kazi na wajumbe wa menejimenti wa Ofisi...
DC MPYA PANGANI AAHIDI KUWAFIKIA WANANCHI, KUSIMAMIA FURSA ZA MAENDELEO
Na Oscar Assenga, Tanga MKUU mpya wa Wilaya ya Pangani, Mwanaidi Adadi Rajabu, ameahidi kuwatumikia wananchi kwa uaminifu na kusimamia kikamilifu miradi ya maendeleo...
KAMATI YA BUNGE:NCHI IKO SALAMA KWA CHAKULA
Na Mwandishi Wetu,Tabora KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imesema usalama wa nchi unaanza na usalama wa chakula, hivyo wananchi...
SERIKALI YATOA MAAGIZO MATATU KATIKA MRADI WA KUENDELEZA TASNIA YA MAZIWA
Na Janeth Raphael -MichuziTv Serikali imeweka msisitizo katika usimamizi na utekelezaji wa Mradi wa Kuendeleza Tasnia ya Maziwa na Mabadiliko ya Tabianchi, ikitoa...
WATAKA SERIKALI KUENDELEZA MAKONGAMANO YA VIJANA KUJIFUNZA FURSA ZA KIUCHUMI
Jane Mwakyoma, okt 2, 2026 | Rukwa VIJANA wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wameitaka Serikali kuendelea kuandaa makongamano ya uwezeshaji...
KISHINDO DC MPOGOLO AKIWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM ILALA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala imepokea na kuridhia Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kipindi...
Serikali yazindua mwongozo elimu ya fedha kwenye mitaala
Read the full report from the original source.
NICKSON SIMON AKABIDHI OFISI KWA MKUU WA WILAYA YA KIBAHA
Na Mwandishi Wetu, Kibaha Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Nickson John Simon, amekabidhi rasmi ofisi kwa Mkuu mpya wa Wilaya hiyo, Mhe. Fadhil Nkurlu,...
Samia swears in new leaders
Read the full report from the original source.
Tanzania, Oman zaweka historia mpya katika kuimarisha uhusiano sekta ya habari
Read the full report from the original source.
Mbunge Kiswaga awafariji watoto wenye mahitaji maalumu
Read the full report from the original source.
KAMATI YA BUNGE: HATUTAKAA KIMYA MIRADI YA UMWAGILIAJI
MPANDA, KATAVI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imesema haitakaa kimya kuzungumzia mafanikio yanayopatikana katika miradi ya...
Jamhuri: Lissu alikusudia kutishia Serikali-3
Soma hapa...
EWURA YATOA ELIMU KWA WATENDAJI, VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA TABORA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega, Ndg. Shomari Mndolwa, akifungua semina ya kuwajengea uelewa kuhusu majukumu yanayotekelezwa na EWURA, Watendaji Kata, Mitaa...
RC MAKALLA: ARUSHA IPO TAYARI KUWA MWENYEJI WA BUNGE LA DUNIA
•Asema maandalizi yamekamilika, washiriki zaidi ya 2,000 kuhudhuria kutoka mabunge 183 Na Vero Ignatus, Michuzi TV – Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel...
Page 14 of 20 · 388 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0