The daily briefing.
Latest across Tanzania
SERIKALI YAONGEZA NGUVU KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA WALIMU
Na Janeth Raphael -MichuziTv -Bungeni Serikali imesema itaendelea kuajiri walimu kila mwaka na kujaza nafasi zinazojitokeza kutokana na walimu wanaokoma utumishi,...
NANAUKA: SERIKALI YAFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI KWA VIJANA
Na Janeth Raphael - MichuziTv Serikali imeendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia elimu, mafunzo ya ujuzi, mikopo, ajira na...
Salome alipongeza Bunge kwa usimamizi mradi wa Julius Nyerere
Read the full report from the original source.
KASEKENYA ATOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MOTO ILEJE
Mbunge wa Ileje ambaye ni Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya ametoa pole kwa familia zilizoathiriwa na moto ulioteketeza msitu Wilayani Ileje. Mbunge huyo...
Government allocates 960m/- to boost inclusive education in Bagamoyo
BAGAMOYO: CHILDREN with disabilities in Bagamoyo District, Coast Region, are set to benefit from improved access to inclusive education following…
Tutuba: Kuharibu noti kunaathiri gawio la Serikali
Read the full report from the original source.
WAZIRI MKUU AAGIZA MPANGO WA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI KATIKA ELIMU
▪️︎ Asema Serikali inathamini mchango wa taasisi za dini katika maendeleo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amemwelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia,...
NAESA KUIMARISHA UWAJIBIKAJI WA MAAFISA UGANI NCHINI
Na Seif Mangwangi, Michuzi TV WAKALA wa Taifa wa Huduma za Ugani (NAESA) umesema umeweka mfumo wa usimamizi na ufuatiliaji wa maafisa ugani nchini kwa lengo la...
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WABUNGE WANAWAKE UKANDA WA MAZIWA MAKUU
Na Said Mwishehe,Michuzi TV TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wabunge Wanawake kwa mwaka 2026 wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu. Akizungumza leo Oktoba...
DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA BUNGE YA BARAZA LA MAWAZIRI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo (Jumamosi, Oktoba 31, 2026) ameongoza Kikao cha Kamati ya Katiba, Sheria na Bunge ya Baraza la Mawaziri. Kikao hicho...
ABDI APONGEZA KASI MAENDELEO MKOANI KATAVI
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar na Mlezi wa Mkoa wa Katavi, Ndg. Abdi Mahamoud Abdi, amewapongeza viongozi wa mkoa huo kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kuimarisha...
Sakata la mashangingi, Bunge labebeshwa zigo, wadau wataka sheria
Wadau wa masuala ya sheria na utawala bora wamelitaka Bunge liweke msingi wa kisheria wa kudhibiti ununuzi na matumizi ya magari ya kifahari kwa viongozi wa Serikali,...
MV Chambo incident exposes urgent need for stronger maritime safety, disaster preparedness and cross-border coordination
RUVUMA: The recent rescue of 41 passengers from a burning vessel on Lake Nyasa has renewed attention to the importance…
MAMA SAMIA LEGAL AID YAWAFIKIA WANAFUNZI VISIGA, YATOA ELIMU YA KUPAMBANA NA UKATILI
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha TIMU ya watoa huduma wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Awamu ya Pili katika Manispaa ya Kibaha, imewataka wanafunzi wa Kata ya...
SERIKALI KUZINDUA SERA MPYA YA VIWANDA NA JASIRIAMALI NDOGO NA ZA KATI JIJINI DODOMA-MHE KAPINGA
📌 Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa sera hizo; 📌 Waziri Kapinga afanya mkutano na waandishi wa habari...
Jaji Mwambegele Awasisitiza Makarani Uchaguzi Nonde Kuzingatia Sheria
Read the full report from the original source.
Dk Norga Komba: Mji wa serikali Dodoma, nguzo ya Tanzania ya kisasa
Read the full report from the original source.
Mji wa serikali Dodoma, nguzo ya Tanzania ya kisasa
Read the full report from the original source.
MEYA KIBAHA AAHIDI MIFUKO 150 YA SARUJI KWA SHULE YA THE FINEST MKUZA
Na Victor Masangu, Kibaha MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, Dkt. Nicas Mawazo, ameahidi kuchangia mifuko 150 ya saruji kwa ajili ya kuboresha...
OLELESHWA: KERO 102 ZAIBULIWA KATIKA ZIARA YA MBUNGE SIMANJIRO
Na Mwandishi Wetu, Simanjiro Kero 102 zimeibuliwa na wananchi katika ziara ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, James Ole Millya, ambaye pia ni Naibu...
Page 4 of 20 · 388 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0