The daily briefing.
Latest across Tanzania
PSSSF YATUMIA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA KITAIFA KUTOA ELIMU YA HIFADHI YA JAMII
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Paul Kijazi, (katikati), akimuhudumia Mwanachama wa Mfuko kwenye...
WAZIRI MKUU: MAANDALIZI YA KUKABILIANA NA MAAFA YAANZIE NGAZI YA FAMILIA
Na Jane Mwakyoma, Rukwa WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka familia nchini kujiwekea mipango ya kukabiliana na maafa kabla...
Serikali kuendelea kuwekeza katika shughuli za uzalishaji za vijana- Dk Mwigulu
Read the full report from the original source.
SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA SHUGHULI ZA UZALISHAJI ZA VIJANA: DKT MWIGULU
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mkazo katika kuwawezesha vijana na kuzipa...
WANAFUNZI LOIBORSIRET WAASWA KUJIPANGA NA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE
Na Mwandishi Wetu, Simanjiro Wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Loiborsiret, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, wameaswa kutumia muda uliobaki...
MADEREVA BODABODA KATAVI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
Madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda katika Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani ili...
TAASISI REVIVAL EDUCATION TRUST KUSAIDIA WANAFUNZI 100 KUREJEA SHULE
Na Mwandishi wetu SHIRIKA la Revival Education Trust limepanga kuwasaidia wanafunzi 100 kutoka familia zenye changamoto za kiuchumi kurejea shuleni mwaka ujao, ikiwa...
TAASISI ZASHAURIWA KUIMARISHA MAFUNZO YA KULEA NA KUKUZA VIONGOZI WANAWAKE
Na Said Mwishehe,Michuzi TV WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii na Michezo katika Serikali ya Zanzibar, Riziki Pembe, ametoa rai kwa taasisi za umma na za sekta binafsi...
TOSCI YAHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KUIMARISHA USALAMA WA CHAKULA
Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imeendelea kutoa elimu kwa wakulima kuhusu umuhimu wa kutumia mbegu bora, ikieleza kuwa hatua hiyo ni msingi wa...
RAIS DKT. SAMIA KUWA MGENI RASMI KILELE CHA MBIO ZA MWENGE KITAIFA RUKWA.
Jane Mwakyoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru...
Polisi: Msisingizie Mungu ajali zinazotokana na uzembe
Jeshi la Polisi limewataka madereva kuacha kuhusisha ajali za barabarani na mapenzi ya Mungu, likisema nyingi husababishwa na makosa ya kibinadamu yanayoweza...
MWENGE WA UHURU WAMURIKA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA KWELA
-WAZINDUA MIRADI YA ELIMU, AFYA NA MIUNDOMBINU -MAAFISA USAFIRISHAJI WACHANGAMKIA FURSA ZA HIFADHI SKIMU IKIWEMO MAFAO YA MATIBABU Mwenge wa Uhuru umeendelea kuwa...
Serikali, Vodacom Tanzania Foundation Waongeza Upatikanaji wa Mafunzo ya Kidijitali kwa Walimu Nchini
-Ni kituo cha kwanza kati ya 50 vinavyotarajiwa kujengwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini -Kupitia ushirikiano wa TIE na Vodacom Tanzania Foundation, maelfu ya...
WABUNGE WA EALA WAPONGEZA SERIKALI YA SAMIA UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA
NA DENIS MLOWE, ARUSHA WABUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji...
MILLYA AHIMIZA UANGALIZI WA UCHAGUZI WENYE WELEDI AFRIKA
NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, James Kinyasi Millya, ametoa wito wa kuimarishwa kwa...
FAO, WADAU WENGINE WA CHAKULA WAJIPANGA KUIMARISHA USALAMA WA CHAKULA
Wadau wa sekta ya chakula wameendelea kuhamasisha matumizi ya teknolojia na mbinu bora za uzalishaji ili kuhakikisha wananchi wanapata chakula cha kutosha, bora na...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI IBADA KANISA KUU ANGLIKANA - UINGEREZA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili, Oktoba 11, 2026 ameshiriki ibada katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Paulo, jijini London, Uingereza. Ibada...
Mahakama yamaliza mvutano bia ya Serengeti Lite, Hanson’s Lite
Soma zaidi hapa...
Government stresses timely information to unlock opportunities
SUMBAWANGA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has directed local government leaders to ensure young people receive timely information on economic opportunities to...
Mkemia Mkuu atua Morogoro, polisi watatu wazikwa
Timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, imetua mkoani Morogoro kuanza uchunguzi wa kisayansi wa kutambua miili ya watu waliofariki dunia katika...
Page 9 of 20 · 388 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0