The daily briefing.
Latest across Tanzania
MIILI YA ASKARI POLISI 3 WALIOFARIKI KWA AJALI MORO YAAGWA
Miili ya askari polisi watatu waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Oktoba 8, 2026, eneo la Magole, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, imeagwa leo Oktoba...
TOIMA AMPONGEZA TAIKO KWA MISAADA KWA JAMII MANYARA
Na Mwandishi Wetu, Simanjiro MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara, Peter Toima, amempongeza mdau wa maendeleo wa mkoa huo, Taiko Kulunju Ole Tipa,...
TTCL Yakabidhi Vifaa vya Usafi kwa Jiji la Dar es Salaam
Read the full report from the original source.
TRAMEPRO YAGUSWA NA VIFO VYA AJALI MOROGORO, YATOA POLE
Dar es Salaam, Oktoba 10, 2026 Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limetoa salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao...
UJENZI BWAWA LA BILIONI 2 LAKAMILIKA.
Wananchi wa Kata ya Majengo, Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wanatarajia kunufaika na kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la maji la Mwambazi...
VETA Kigamboni college construction reaches 85pc
DAR ES SALAAM: THE construction of Kigamboni Vocational Education and Training Authority (VETA) College has reached 85 per cent, raising…
MKUYU AFRICA YAHIMIZA WANAWAKE, VIJANA KUWEKEZA KATIKA MALI
Mkurugenzi wa Mkuyu Africa, Juneid Othman, amewahimiza wanawake na vijana kuchangamkia fursa za uwekezaji na umiliki wa mali wakiwa katika umri mdogo, akisema hatua...
Kisa Mwabukusi, Mahakama yaamuru Mwita atangazwe magazetini
Soma zaidi...
OLE MILLYA: SIMANJIRO TUSIBEZE UTEUZI WA RAIS
Na Mwandishi Wetu, Simanjiro NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, James Kinyasi Ole Millya, amewataka wakazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani...
CHUO CHA MKWAWA WATHIBITISHA KUSHIRIKI KITONGA MARATHON
NA DENIS MLOWE, IRINGA CHUO Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimeahidi kushiriki katika mbio za Kitonga Marathon zinazotarajiwa kufanyika Oktoba 31, 2026,...
Madawati 1,000 na Miradi mbalimbali kuboresha Elimu Kupitia Nyerere Cycling Tour 2026
Afisa miradi ya jamii wa Vodacom Tanzania Foundation, Deborah Kaluzi (kulia) akikabidhi moja ya madawati yaliyotolewa kwa Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi ya...
SPIKA WA BUNGE LA AUSTRALIA ACHAGULIWA RAIS MPYA IPU, AHAIDI KUIMARISHA DEMOKRASIA
Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha SPIKA wa Bunge la Australia, Milton Dick, amechaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) baada ya kupata kura 182 sawa...
SERIKALI YAWATAKA WAZALISHAJI WA SARUJI KUEPUKA UHUJUMU WA SOKO LA SARUJI.
📌Asema hatua za kisheria kuchukuliwa kwa atakayebainika. 📌wazalishaji wahakikishe saruji inawafikia wananchi Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb)...
Watu 28 wafariki Morogoro, basi na lori zikigongana
Watu 28 wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa limebeba miti aina ya milunda na basi la abiria lililokuwa likitoka Dar es...
WEO,VEO WAPATIWA MAFUNZO YA TAHADHARI YA KUKABILIANA NA EL NINO
Na Mwandishi Wetu-Longido Timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge Uratibu na Wenye Ulemavu), Mamlaka ya Hewa Tanzania TMA pamoja na Shirika la...
RC Nyongo: Serikali haitavumilia urasimu ama vikwazo vitakavyowakimbiza wawekezaji Pwani
Read the full report from the original source.
Serikali yapunguza utitiri wa tozo kwa wasanii
Read the full report from the original source.
Spika Zungu akutana na Spika wa Bunge la Uingereza
Read the full report from the original source.
Wabunge Afrika waunga mkono ajenda ya Rais Samia ya afya ya mama na Mtoto
Read the full report from the original source.
USALAMA WA RELI NI JUKUMU LA KILA MMOJA: LATRA YAWAKUMBUSHA WADAU MOROGORO
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeendelea kutoa elimu kwa wadau ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Usalama wa Reli yanayofanyika katika nchi za...
Page 10 of 20 · 388 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0