Edition Languages open in Google Translate ↗ Region News edition
Tanzania edition · Original

The daily briefing.

Updated 06 Nov 2026 · 17:36EAT (UTC+3) · 448 stories · Page 1 of 23
Lead storySports

Vita ya Pointi Tatu! Everton Kuikaribisha Coventry

MASHABIKI wa soka wanatarajia kushuhudia dakika 90 za ushindani mkali Ijumaa, Novemba 6, 2026, wakati Everton watakapokuwa wenyeji wa Coventry City katika mchezo unaotarajiwa kuwa na mvuto mkubwa. Timu hizo zitakutana kuwania ushindi muhimu huku kila upande ukiwa na dhamira ya kuonyesha ubora...

From Issa MichuziFri, 06 Nov 2026 05:00:00 +0000 · Read story ↗
Stay informed

Latest across Tanzania

Sports
05
Sports · Recently

Mnigeria aamsha morali Dodoma Jiji

KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Vincent Mashami amesema licha ya winga wa timu hiyo, Mnigeria Adetunji Oyeyode kutocheza hadi sasa kutokana na kutokamilika kwa vibali vya...

SourceMwanaspoti↗
06
Sports · Recently

Hii ni rekodi nyingine kwa Barker

Soma zaidi hapa

SourceMwanaspoti↗
07
Sports · Recently

Maxi awapoteza vigogo

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Maxi Mpia Nzengeli, ameendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi Kuu Bara msimu wa 2026-2027, baada ya kuongoza kwa kuchaguliwa mchezaji...

SourceMwanaspoti↗
08
Sports · Thu, 05 Nov 2026 07:11:00 +0000

San Siro Kuwaka Moto! Ac Milan Kukabiliana Na Ferencváros

MICHUANO ya UEFA Europa League inaendelea leo Alhamisi, Novemba 5, 2026, huku macho ya mashabiki wa soka yakielekezwa katika dimba la San Siro nchini Italia, ambako...

SourceIssa Michuzi↗
Advertisement
09
Sports · Recently

Fadlu awagawa mabosi Yanga

Soma zaidi hapa

SourceMwanaspoti↗
10
Sports · Recently

Mayanga apata dawa Ligi Kuu

BAADA ya ushindi wa mechi iliyopita, Mbeya City imesema inahitaji kuendeleza moto Ligi Kuu kuhakikisha inaondokana na presha ndani ya uwanja, huku ikiivimbia Namungo.

SourceMwanaspoti↗
11
Sports · Recently

Shikangwa awasha moto Misri

MSHAMBULIAJI wa FC Masar ya Misri, Jentrix Shikangwa juzi Novemba 04, 2026 alifunga mabao mawili kwenye ushindi wa mabao 3-0 walioupata timu hiyo dhidi ya FUS Rabat...

SourceMwanaspoti↗
12
Sports · Recently

Shalulile mbioni kuvunja rekodi

Soma zaidi hapa

SourceMwanaspoti↗
13
Sports · Recently

Ronaldo announces retirement from international football

PORTUGAL: Portuguese superstar Cristiano Ronaldo has officially announced his retirement from international football. The 41-year-old striker confirmed his decision on…

SourceDaily News↗
14
Sports · 2026-11-05T10:15:30+00:00

VIWANJANI | Simba SC yadhamiria kufanya makubwa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchambuzi wa soka, Eben Hernest amesema hatua ya Simba SC kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya ni sehemu ya kuendelea kupima na kuonesha kiwango cha...

SourceAzam TV Videos↗
15
Sports · Recently

Mabao 44 yafungwa usiku mmoja UEFA, Como yaweka rekodi

USIKU wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), umekuwa wa kipekee kufuatia matokeo ya kushangaza na rekodi zilizowekwa baada ya mabao 44 kupatikana katika...

SourceMwanaspoti↗
16
Sports · Recently

‘Muujiza wa Istanbul’ waigeuka Liverpool

Liverpool ina historia kubwa ya matokeo ya kishujaa mjini Istanbul, lakini safari hii timu ya Andoni Iraola ilifanya comeback ya aina isiyohitajika.

SourceMwanaspoti↗
17
Sports · Recently

Mashabiki wa soka ni soko la mabilioni

Read the full report from the original source.

SourceMwanaspoti↗
18
Sports · Recently

Barker ashtukia kitu Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker amebaini wachezaji wake hawezi kucheza kwa kasi ileile kwa dakika 90, jambo analohitaji kulifanyiwa kazi kwa haraka.

SourceMwanaspoti↗
19
Sports · Recently

Msauzi ataja shida Yanga

LICHA ya kuendelea kupata matokeo mazuri katika mechi zake za hivi karibuni, Yanga bado ina kazi ya kuboresha umaliziaji wa mashambulizi yake, hasa katika kutumia...

SourceMwanaspoti↗
20
Sports · Recently

Simba yaiteka Afrika

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba wameendelea kuonyesha makali yao baada ya kupata ushindi wa 10 mfululizo katika Ligi Kuu Bara msimu wa 2026/27, rekodi inayoiweka miongoni...

SourceMwanaspoti↗

Page 1 of 23 · 448 stories

Your voice matters

Share your feedback

A suggestion or something we can do better? Tell our team.

01Trusted sourcesEvery publisher is reviewed by our editors.
02Regional focusCoverage shaped around East African readers.
03Reader controlChoose the countries and topics that matter.
Unganishwa for Android

Your region, in your pocket.

Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.

↓ Download Android APK · v1.1.0