The daily briefing.
Latest across Tanzania
Wambui mbioni kurejea Simba
KOCHA Mkuu wa Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’ amesema winga wa timu hiyo, Elizabeth Wambui anaendelea kuimarika na wanatarajia atarudi uwanjani baada ya mechi za...
Kimoto: Sasa Singida Black Stars imeiva
KOCHA wa Singida Black Stars, Papy Kimoto amesema ameridhishwa na namna kikosi chake kilivyoimarika baada ya kupata muda wa kutosha kuingiza falsafa yake mpya kwa wachezaji.
Dakika 90 nzito AFCON U-23
Read the full report from the original source.
NGOMA NGUMU: Kanuni kali migusano pigo la kona ilivyobadili mambo Ligi Kuu England
Read the full report from the original source.
Badru: Taifa Stars isiishie kumiliki mpira
KOCHA wa timu za vijana za Yanga, Mohamed Badru, amesema Tanzania bado ina safari ndefu kufikia kiwango cha soka la kimataifa, lakini anaamini uwekezaji unaofanyika...
Barker ataja mambo matatu Dabi ya Kariakoo
Soma zaidi hapa
Mtego wa kikosi cha Yanga unavyoitesa Simba
Soma zaidi hapa
FVS sasa ruksa kutumika kwenye NBC Premier League
FVS SASA ‘RUKSA’: “Tumekuwa ligi pekee ambayo inatumia mfumo huu hapa duniani” Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas amesema...
Ronaldo apewa nafasi nyingine
CRISTIANO Ronaldo amepewa nafasi nyingine ya kurejea kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ureno, licha ya kuondoka kambini kwa kishindo baada ya kutofautiana na kocha...
Haaland ajiachia kwa vigogo wa Hispania
KUTOKANA na kuvutiwa naye kwa kiasi kikubwa kutoka karibu nusu ya nchi za Ulaya, Erling Haaland amepunguza machaguo yake iwapo ataondoka Manchester City na kubaki na...
Ufaransa Kuikaribisha Ubelgiji Nations League
TIMU ya taifa ya Ufaransa itakuwa mwenyeji wa Ubelgiji Jumatatu, Oktoba 5, 2026, katika mchezo wa UEFA Nations League , utakaopigwa kwenye uwanja wa Stade de France,...
Kambi yampa mzuka Morocco
KOCHA Mkuu wa TRA United, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amesema kambi ya zaidi ya wiki moja iliyoweka kikosi hicho visiwani, Zanzibar imekuwa na matokeo chanya, kwa...
Clara Luvanga ana kibarua leo Marekani
MSHAMBULIAJI Clara Luvanga leo ana kibarua Marekani, wakati klabu yake ya Washington Spirit ikiikabili Houston Dash katika mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake (NWSL)...
Singida Black Stars yaipania Dodoma Jiji
Read the full report from the original source.
Manqoba afichua mipango Kuelekea Dabi
Soma zaidi hapa
Siri ya pasi za Toure kwa Oura
Soma zaidi hapa
Libasse aichorea Yanga mstari mwekundu
Soma zaidi hapa
Mgomo: Liverpool yapewa msala wa Man City
MASHABIKI wanaotaka hatua kali dhidi ya Manchester City wameanza kuisukuma Liverpool kuongoza mgomo wa ligi nzima, wakitaka timu zote zikatae kucheza dhidi ya miamba...
Bruno: Ronaldo bado ni alama ya Ureno
KIUNGO wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno, Bruno Fernandes amesema Cristiano Ronaldo bado ni alama kubwa zaidi ya soka nchini hiyo licha ya kuondoka...
Nyota wa Yanga aanza na makali Morocco
Soma zaidi hapa
Page 17 of 22 · 436 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0