The daily briefing.
Latest across Tanzania
Magoli | Simba SC 3-0 De Agosto | CAF Champions League 25/10/2026
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhid ya 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta, na kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya magoli 9-1, kufuatia...
Man United mara saba mastaa wameipinga hadharani
MANCHESTER United imekuwa ikikumbana na kauli za ukosoaji kutoka kwa baadhi ya wachezaji wake, huku Bruno Fernandes na Lisandro Martinez wakiibua mjadala kuhusu mbinu...
Liverpool kunani ikicheza EPL
LICHA ya kuwa na uwezo wa kufunga mabao mengi, Liverpool imeanza msimu wa Ligi Kuu England kwa kiwango cha chini cha ufungaji, ikiwa imefunga mabao tisa pekee katika...
Simba yamaliza kazi CAF ikiifuata Yanga
SIMBA SC imemaliza kwa kishindo hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa 15 de Agosto ya Guinea ya Ikweta mabao 3-0 katika mchezo wa marudiano...
Wachambuzi wafunguka baada ya Yanga kumtimua Manqoba, Simba Singida kibaruani leo CAF
Ni uchambuzi kwenye kipindi cha Sports AM kilichoongozwa na Ibrahim Kasuga. Wachambuzi ni Rashid Kejo, Clecense Kunambi na Philip Nkini, nini kinafuata baada ya Kocha...
Yanga yaachana na Kocha Mkuu Manqoba Mngqithi
Read the full report from the original source.
Highlights| Namungo FC 2-1 Coastal Union | NBC Premier League | 24/10/2026
Azam TV
NBCPL | Gharib Mzingha alizianza hivi dakika 90, mtanange wa TRA United vs Yanga SC
NBCPL | ''Arusha inaibariki Tanzania'', Sehemu ya maneno aliyoanza nayo Kilwaa Finest @gharib_mzinga23 katika simulizi ya dakika 90 ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC...
Mashindano pickleball kufanyika mwezi ujao
KATIKA ulimwengu wa michezo unaoendelea kubadilika kuna michezo inayokuja na upekee wa aina yake, ikichanganya burudani, afya, ushindani na fursa za kijamii.
Katwila mambo safi Geita Gold
GEITA Gold imeamua kuweka pembeni sintofahamu zilizokuwa zikiizunguka baada ya kikao kizito kilichowakutanisha wachezaji, benchi la ufundi na bodi ya klabu, huku...
Hesabu za makundi Afrika
Soma zaidi hapa
Magoli | Namungo FC 2-1 Coastal Union | NBC Premier League | 24/10/2026
#NBCPL: Chuma tatu zote hizi hapa...Walitangulia Wauaji wa kusini, likarudishwa na hatimaye wakaongeza....! FT: Namungo FC 2-1 Costal Union Burudani inaendelea LIVE...
Manqoba awaaga wachezaji Yanga, panga likimpitia
Read the full report from the original source.
Siku ya Kuwinda Ushindi Mkubwa Hii Hapa
LEO hii ushindi mkubwa unakungoja wewe, mechi nyngi zinaendelea hadi katikati ya wiki, kama hukubahatika kushinda wikendi basi huu ndio muda sahihi, ingia kwenye...
Walichokizungumza Makocha wote baada ya mchezo, TRA United vs Yanga SC
#NBCPL: ''Tumecheza na timu nzuri'' Alichokizungumza Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi baada ya mchezo kati yao na TRA United kumalizika kwa suluhu. Kwa upande...
Highlights | TRA United 0-0 Yanga SC | NBC Premier League | 24/10/2026
Azam TV
Azam FC yaweka rekodi CAF
BAO la dakika ya 63 la winga Idd Nado limeipa Azam FC rekodi mpya ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa pili mfululizo, baada ya...
Yanga ngoma ngumu Arusha
MTAAMBIA nini watu! Ndivyo unavyoweza kusema kwa sasa baada ya Yanga kushindwa kutamba katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya TRA United iliyopigwa kwenye Uwanja wa...
TRA UNITED vs YANGA SC |Tukio la 'Red Card' kwa Mudathir Yahya
#NBCPL: Tukio lililosababisha Mudathir Yahya kupewa kadi nyekundu hili hapa...! FT: TRA United 0-0 Yanga SC Inafuata JKT Tanzania vs Kagera Sugar saa 12:15 jioni LIVE...
Kocha Yanga aichambua TRA United kuelekea mchezo wao NBC Premier League
TRA UNITED vs YANGA: “Ni lazima nikiri kwamba tunacheza na timu nzuri sana” Kocha wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi amesema Kocha Hemed Suleima Ali ‘Morocco’ wa TRA...
Page 9 of 22 · 436 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0