The daily briefing.
Latest across Tanzania
Magoli na kadi nyekundu | Simba SC 6-1 Mashujaa FC | NBC Premier League 13/10/2026
Simba SC imeibonda Mashujaa FC kipigo cha mabao 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Wa kwanza kufunga ni Libasse...
Carrick: Naelewa shida zenu
KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amekiri kuelewa sababu zinazowafanya mashabiki wa klabu hiyo kutaka mabadiliko makubwa, kutokana na mwenendo usioridhisha...
Cristiano Ronaldo bado 19
NYOTA wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameendelea kuandika historia katika soka, baada ya kufunga bao lake la 981, akiisaidia Al Nassr kuichapa Neftchi Fergana ya...
Goli la Free-Kick | Muembe Makumbi 0-1 KMKM SC | PBZ Premier League 10/10/2026
#PBZPL What a free-kick….!!! Ni goli la Salim Khamis Babu likiiipa pointi tatu muhimu KMKM SC.. FT: Muembe Makumbi 0-1 KMKM SC #LigiKuuZanzibar #ZanzibarPremierLeague...
Kipigo cha Simba chafichua siri zote Yanga
Soma zaidi hapa
Simba SC 2-1 Yanga SC | Utamu wa Kariakoo Derby kwa dakika 4 | NBC PL 10/10/2026 (Montage)
KARIAKOO DERBY | Pata uhondo wa mechi ya Simba vs Yanga (2-1), iliyopigwa Oktoba 10/10/2026 kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam. Hii ni Ligi Kuu ya NBC...
Mayanga awajia juu mastaa Mbeya City
KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga, amewajia juu wachezaji wake baada ya kipigo cha mabao 3-1 dhidi ya Kagera Sugar, huku akisema makosa ya umakini ndiyo yaliyowagharimu.
‘Fupa gumu’ linalomsubiri mrithi wa Edna Lema Yanga
Baada ya kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema kuna mfupa mgumu unaomsubiri kocha mpya atakayechukua mikoba yake.
Mechi mbili zampa kiburi Barker
Read the full report from the original source.
Dakika 90 za kazi Twiga Stars
Read the full report from the original source.
Harry Kane: Mabao 73 yataongea Ballon d’Or
Read the full report from the original source.
CAF Ilivyozirahisishia Yanga, Simba kutinga makundi CAFCL
Read the full report from the original source.
Mtego utakaomlinda, kumng'oa Manqoba Yanga
Soma zaidi hapa
Goli la Coastal Union dhidi ya Singida BS (1-0) | NBC Premier League 12/10/2026
Goli pekee kutoka kwa Gradi Kiala Lassa limetosha kuipa Coastal Union ushindi kwa kuichapa Singida BS bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu ukipigwa kwenye Dimba la Mkwakwani,...
Coastal Union 1-0 Singida BS | Highlights | NBC Premier League 12/10/2026
Goli pekee kutoka kwa Gradi Kiala Lassa limetosha kuipa Coastal Union ushindi kwa kuichapa Singida BS bao 1-0, mchezo wa Ligi Kuu ukipigwa kwenye Dimba la Mkwakwani, Tanga.
Yanga njia panda Abuya kurejea dimbani
Kiungo wa Yanga, Duke Abuya, anakabiliwa na uwezekano wa kukaa nje ya uwanja kwa muda usiojulikana baada ya kuthibitishwa kupata jeraha la nyama za paja katika mchezo...
Barker afichua alivyoigomea Simba kisa Maema
Soma zaidi hapa
Singida BS’s Aucho tables retirement from international football
DAR ES SALAAM: SINGIDA Black Stars player and Uganda Cranes captain, Khalid Aucho, has announced his retirement from international football,…
Takwimu za mechi ya Kariakoo Derby; Simba SC yatawala maeneo mengi uwanjani.
VIWANJANI: Wachambuzi wa soka Jabir Aziz , Godlisten Muro na Evans Mallya wametoa tathmini yao kuhusu takwimu za mechi ya Kariakoo Derby ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa...
ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Mangungu abebwa juu na mashabiki wa Simba SC
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Mara ya mwisho lini kumuona Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu akinyanyuliwa juujuu kama hivi….??? Hii ni baada ya #DerbyYaKariakoo...
Page 11 of 22 · 436 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0