The daily briefing.
Latest across Tanzania
Chombo ajifananisha na Chama, Mzize
Read the full report from the original source.
Viwanja vinne ‘kuwaka moto’ Ligi Kuu Bara
Read the full report from the original source.
Mamilioni yamwagika Kariakoo Dabi
Soma zaidi hapa
Goli la Namungo FC dhidi ya TRA United (1-0) - NBC Premier League 08/10/2026
Penati iliyoamuliwa kwa FVS (Football Video Support) na kupigwa na Herbert Lukindo dakika ya 12 imeipa Namungo FC pointi tatu muhimu, ikiitandika TRA United bao 1-0...
Namungo FC 1-0 TRA United | Highlights | NBC Premier League 08/10/2026
Penati iliyoamuliwa kwa FVS (Football Video Support) na kupigwa na Herbert Lukindo dakika ya 12 imeipa Namungo FC pointi tatu muhimu, ikiitandika TRA United bao 1-0...
OLBALBAL YATWAA RHINO CUP
TIMU ya Kata ya Olbalbal imetwaa ubingwa wa mashindano ya Rhino Cup baada ya kuifunga timu ya Kata ya Nainokanoka mabao 3-2 katika mchezo wa fainali uliochezwa leo,...
Pamba Jiji FC 4-0 Geita Gold FC | NBC Premier League 08/10/2026
#NBCPL Tazama highlights, Pamba Jiji ilivyoicharaza Geita Gold FC bakora nne kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza; Wachapaji ni Henry Lutonja, Deogratius Mafie, Zabona...
Mashujaa FC 2-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 08/10/2026
Mashujaa FC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Lake Tanganyika Stadium, Kigoma. Mashujaa wametangulia kwa goli...
Magoli | Pamba Jiji 4-0 Geita Gold FC | NBC Premier League 08/10/2026
#NBCPL Hizi hapa bakora zote walizocharazwa Geita Gold FC kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza; Wachapaji ni Henry Lutonja, Deogratius Mafie, Zabona Mayombya na Idriss...
Magoli | Mashujaa FC 2-1 Polisi Tanzania | NBC Premier League 08/10/2026
Mashujaa FC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Lake Tanganyika Stadium, Kigoma. Mashujaa wametangulia kwa goli...
Max Dowman avunja rekodi
Read the full report from the original source.
Pep Guardiola kuishuhudia Man City Etihad
Read the full report from the original source.
Pedro Rodriguez atupa taulo
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Hispania, Pedro Rodriguez, ametangaza kustaafu soka akiwa na miaka 39 baada ya kumaliza safari ya miaka 20 katika mchezo huo.
Ronaldo ampa kongole Messi
CRISTIANO Ronaldo ameweka pembeni ushindani wake wa muda mrefu na Lionel Messi, akimtumia ujumbe wa heshima baada ya nyota huyo wa Argentina kufunga rasmi ukurasa...
Kombe la EPL Kutua Tanzania, Guinness Kuwapa Mashabiki Fursa ya Kulishuhudia Dar es Salaam
Mashabiki wa Ligi Kuu ya England nchini Tanzania wanajiandaa kushuhudia tukio la kipekee baada ya Kombe la Ligi hiyo kutua rasmi nchini kwa mara ya kwanza kupitia...
GUINNESS YALETA KOMBE LA LIGI KUU YA UINGEREZA NCHINI TANZANIA
Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza limewasili Tanzania, kwa mara ya kwanza, likiashiria kuanza kwa ziara yake ya Afrika Mashariki. Kombe hilo limeletwa na bia ya...
Tanzania yaporomoka viwango FIFA, Rwanda yapaa
Tanzania imeanguka kwa nafasi tatu katika chati ya viwango vya ubora wa soka ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa mwezi Oktoba 2026.
Simba yakwepa lawama mauzo tiketi za Dabi
Read the full report from the original source.
Mwamba kastaafu, Aziz KI, Okello wanabaki na urithi
WAKATI nyota wa soka duniani, Lionel Messi, akifunga ukurasa wa miaka 21 ya kuitumikia timu ya taifa ya Argentina, kuna wachezaji ambao safari zao za soka zimejengwa...
Twiga Stars yaifuata Botswana kukiwasha Oktoba 9
TIMU ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, imeelekea Gaborone, Botswana, kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa kufuzu Michezo ya Olimpiki 2028 dhidi ya wenyeji...
Page 15 of 22 · 436 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0