Edition Languages open in Google Translate ↗ Region News edition
Tanzania edition · Original

The daily briefing.

Updated 05 Nov 2026 · 18:46EAT (UTC+3) · 4226 stories · Page 100 of 212
Stay informed

Latest across Tanzania

Top Stories
1981
Uncategorized · Sun, 11 Oct 2026 09:30:00 +0000

NBC ‘Yanogesha’ Mashindano Kilombero Golf Open 2026, Yasisitiza Dhamira yake Kukuza Vipaji Mchezo wa Golf.

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea kuunga mkono maendeleo ya michezo nchini kwa kudhamini mashindano ya siku tatu ya Kilombero Golf Open 2026 yaliyofanyika...

SourceIssa Michuzi↗
1982
Uncategorized · Sun, 11 Oct 2026 17:07:20 +0000

NBC Yaipamba Dabi ya Kariakoo, Yamkabidhi Elie Mpanzu Tuzo ya Mchezaji Bora

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini mkuu wa Ligi Kuu ya NBC, imeongeza msisimko katika Dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC na Yanga SC kwa kuandaa shughuli...

SourceIssa Michuzi↗
1983
National · Sun, 11 Oct 2026 17:00:22 +0000

FAO, WADAU WENGINE WA CHAKULA WAJIPANGA KUIMARISHA USALAMA WA CHAKULA

Wadau wa sekta ya chakula wameendelea kuhamasisha matumizi ya teknolojia na mbinu bora za uzalishaji ili kuhakikisha wananchi wanapata chakula cha kutosha, bora na...

SourceIssa Michuzi↗
1984
Uncategorized · Sun, 11 Oct 2026 17:04:03 +0000

OLE MILLYA KUPAMBANIA SHULE ZA SIMANJIRO KUPATA USAJILI WA BWENI

Na Mwandishi Wetu, Simanjiro NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, James Ole Millya, ameahidi kupambania shule za Wilaya ya Simanjiro,...

SourceIssa Michuzi↗
Advertisement
1985
Business · Sun, 11 Oct 2026 16:56:11 +0000

MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI KUWAJENGEA WAKULIMA UELEWA WA MBOLEA SAHIHI.

Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yanayofanyika kitaifa jijini Tanga yanatoa fursa kwa wakulima kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya mbolea, ubora wa pembejeo...

SourceIssa Michuzi↗
1986
Uncategorized · Sun, 11 Oct 2026 16:59:34 +0000

LEO ILALA KULINOGA MNOOO…NI CITY TO CITY

Na Said Mwishehe HIYOOO LINI HIYOOOO? HIyo leo hiyooo!Hayo yalikuwa sehemu ya misemo iiyokuwa ikitumiwa na wakiambiaji wa mbio za pole maarufu Jogging walipokuwa...

SourceIssa Michuzi↗
1987
Business · Sun, 11 Oct 2026 16:51:59 +0000

MPOGOLO ATAKA KLABU ZA JOGINGI ILALA ZIJADILI UCHUMI,KUDUMISHA AMANI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amezishauri Klabu za Jogingi katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanza kutumia klabu hizo...

SourceIssa Michuzi↗
1988
Uncategorized · Recently

Waziri Homera ashiriki mkutano wa 17 wa Jukwaa la Kimataifa la Nishati Riyadh

Read the full report from the original source.

SourceJamhuri Media↗
1989
Uncategorized · Sun, 11 Oct 2026 16:37:14 +0000

KITONGA MARATHON KUIMARISHA MAHUSIANO YA KAZI KWA KUWAFIKIA MAFINGA MJI YATHIBITISHA KUSHIRIKI

NA DENIS MLOWE, IRINGA MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Bi. Siwema H Jumaa, amewahamasisha watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mafinga kushiriki Mbio za...

SourceIssa Michuzi↗
1990
Business · Sun, 11 Oct 2026 16:29:40 +0000

AZANIA BANK TAWI LA KIBAHA YAAHIDI KUPAMBANA KATIKA KURUDISHA FADHILA KWA WANANCHI

Na Victor Masangu,Kibaha Uongozi wa Azania bank umesema kwamba utaendelea kushirikiana bega kwa bega na serikali ili kuweza kurudisha fadhila kwa jamii katika mambo...

SourceIssa Michuzi↗
1991
Uncategorized · Sun, 11 Oct 2026 16:33:27 +0000

CCM YATANGAZA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

SourceIssa Michuzi↗
1992
Uncategorized · 2026-10-11T16:07:23+00:00

Goli la kwanza la msimu | Posta Rangers 0-1 Shabana FC | SportPesa League Kenya 10/10/2026

#SportPesaLeague Goli la kwanza kabisa la msimu limetoka Shabana FC, na muuaji alikuwa ni Abdul Hafiz Hassan, raia wa Ghana… Hii ni Ligi Kuu ya Kenya, mechi ikipigwa...

SourceAzam TV Videos↗
1993
Sports · 2026-10-11T16:13:01+00:00

Magoli | Ulinzi Stars 0-2 Tusker FC | SportPesa League Kenya 11/10/2026

#SportPesaLeague Magoli mawili, Tusker FC wakianza kwa kicheko ugenini.. Wafungaji ni Alvin Mang’enyi na Victor Mbaoma…. Hii ni Ligi Kuu ya Kenya, mbungi ikipigwa...

SourceAzam TV Videos↗
1994
Sports · 2026-10-11T15:48:23+00:00

Simba SC 2-1 Yanga SC | Mashabiki wa Simba wauchambua ushindi wao ndani ya Sports AM

KARIAKOO DERBY: Tazama raha na furaha ya mashabiki watatu wa Simba SC, Yassin Idd, Sera, William Johnson wakiuchambua ushindi wa timu yao dhidi ya Yanga, ukiwa ni wa...

SourceAzam TV Videos↗
1995
Sports · 2026-10-11T15:57:40+00:00

Simba SC 2-1 Yanga SC | Magoli yote kwa lugha ya Kiingereza | NBC PL 10/10/2026

#KariakooDerby “Elie Mpanzu with a beauty…. The heavens have opened up here in Dar es Salaam” Magoli yote matatu kwa lugha ya Kiingereza kama yalivyoungurumishwa na...

SourceAzam TV Videos↗
1996
Uncategorized · Recently

CCM yamteua Dk Ndilito kwenda kumrithi Ndejembi Chamwino

Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imemteua Dk Netho Ndilito kuwa mgombea ubunge wa Chamwino, Mkoa wa Dodoma.

SourceMwananchi↗
1997
Uncategorized · Sun, 11 Oct 2026 15:36:20 +0000

MISS KINONDONI WAJIPIGIA DEBE KUTOA MISS TANZANIA 2026

MISS Kinondoni wajinadi na Kujisifu kutoa Miss Tanzania huku wakisisitiza kuwa misimu yote ya mashindano hayo Wilaya hiyo imekuwa ikifanya vizuri na ikiwa na upinzani...

SourceIssa Michuzi↗
1998
Uncategorized · Recently

Nyongo awaonya matapeli, madalali wa ardhi

Read the full report from the original source.

SourceJamhuri Media↗
1999
Uncategorized · Recently

NBC adds spark to Kariakoo Derby as Simba’s Mpanzu claims Player of the Match award

DAR ES SALAAM: Simba SC claimed a hard-fought 2–1 victory over arch-rivals Yanga SC in a pulsating Kariakoo Derby at…

SourceDaily News↗
2000
Sports · Recently

Hamtuwezi; JB, wenzake walivyoitambia Yanga, Nature adai haijaisha

Read the full report from the original source.

SourceMwanaspoti↗

Page 100 of 212 · 4226 stories

Your voice matters

Share your feedback

A suggestion or something we can do better? Tell our team.

01Trusted sourcesEvery publisher is reviewed by our editors.
02Regional focusCoverage shaped around East African readers.
03Reader controlChoose the countries and topics that matter.
Unganishwa for Android

Your region, in your pocket.

Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.

↓ Download Android APK · v1.1.0