The daily briefing.
Latest across Tanzania
JKT Queens 1-0 Mashujaa Queens | Highlights | Nusu Fainali | Ngao ya Jamii 30/09/2026
Fatuma Said amefunga goli pekee na kuipa ushindi wa 1-0 JKT Queens dhidi ya Mashujaa Queens, mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii 2026. Ushindi huo umeipeleka...
SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI USHIRIKI WA WADAU KATIKA MAENDELEO YA MAKAZI NCHINI
Na Munir Shemweta Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ushiriki wa wadau katika maendeleo ya makazi, kwa kuzingatia sera, sheria na mipango ya kitaifa....
TANZANIA, ALGERIA ZAPIGA HATUA ZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA TANO
ALGIERS: Tanzania na Algeria zimepiga hatua katika kuimarisha ushirikiano katika sekta tano muhimu, huku nchi hizo zikitarajia kupanua ushirikiano huo katika maeneo...
KIHONGOSI AAWASILISHA TAARIFA YA MAFUNZO YA ITIKADI NA UJENZI WA CCM
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewasilisha taarifa kuhusu mafunzo ya kuongeza uelewa wa itikadi ya CCM,...
CP MKAMA AWATAKA MAAFISA HABARI WA POLISI KUWA WABUNIFU
Kamishna wa Polisi Jamii, CP Alex Mkama, amewataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kutumia maarifa waliyoyapata katika mafunzo kuboresha utendaji wao na kuendana na...
Benki ya NBC Yatambulisha Msimu wa Tano Kampeni ya NBC Shambani Mtwara, DC Tandahimba Asisitiza Wakulima Kuweka Akiba
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa tano wa kampeni yake ya “Wekeza NBC Shambani Ushinde, Tunakuona Mbali Mkulima” katika mikoa ya Mtwara na Lindi...
GST YATOA ELIMU YA MAJANGA, JIOLOJIA NA EL NINO MAMBA MIAMBA SAME
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imetoa elimu kuhusu tahadhari za majanga ya asili, masuala ya jiolojia na El Nino kwa wakazi wa Kijiji cha...
Utekelezaji wa Dira 2050 unahitaji maamuzi magumu
Read the full report from the original source.
Leaders of bus, truck drivers call off the two-day strike after talks with PM Nchemba
Read the full report from the original source.
NEMC orders Morogoro Region’s residents to move away from low-lying areas ahead of El Niño rains
MOROGORO: THE National Environment Management Council (NEMC) has issued three directives to residents of Morogoro Region as part of preparations…
Tanzania, Algeria Zapiga Hatua za Ushirikiano Katika Sekta Tano
BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema katika kipindi cha miezi michache iliyopita...
Cash Storm Yafika Meridianbet Na Milioni 5 Zikisubiri Wachezaji 20
MSISIMKO umeingia Meridianbet baada ya Cash Storm Tournament kutoka Expanse kuanza rasmi, ikiwaleta pamoja wapenzi wa kasino kwa wiki mbili za burudani, ushindani na...
Kipyenga cha Mwisho Kuamua Mshindi
SIKU ya kuacha njumu uwanjani imefika ambapo wababe wa Kimataifa kushuka dimbani hapo baadae kusaka pointi 3 za uhakika. Je nani unamuona ataondoka kidedea? Leo hii...
WAZIRI WA AFYA ATOA MAAGIZO BODI MPYA YA WADHAMINI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameiagiza Bodi mpya ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusimamia kwa karibu ubora wa huduma,...
Tanzania, Qatar sign tax pact to ease cross-border investment
Read the full report from the original source.
WEDNESDAY NIGHT LIVE | Simba, Yanga washindana kwa hoja kuelekea Kariakoo Derby ya 10/10/2026
KARIAKOO DERBY: Kuelekea mechi ya watani wa jadi, Simba vs Yanga itakayopigwa Oktoba 10, 2026, Patrick Nyembera amekutana na mashabiki wawili wakubwa, mmoja Yanga, na...
Ambassador Filip jets in for the 153rd IPU Assembly in Arusha
ARUSHA: THE Secretary General of the Inter-Parliamentary Union (IPU), Ambassador Anda Filip, arrived in Tanzania today, September 30, 2026, at…
Dk Mwigulu akutana na viongozi wa madereva, mgomo wasitishwa
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini leo Jumatano Septemba 30, 2026, huku pande hizo...
SportPesa Bongo Ride brings Tanzania’s daladala culture to online gaming with Raundi 15 za buree kila bet dili
SportPesa Bongo Ride brings Tanzania’s daladala culture to online gaming with Raundi 15 za buree kila bet dili A daladala is rarely seen without being noticed in Dar...
Zanzibar bolsters its preparedness for potential impacts associated with El Niño rains
ZANZIBAR: IN preparation for potential impacts associated with El Niño weather conditions, the Community Health Workers (CHWs) Coordination Unit, in…
Page 172 of 211 · 4206 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0