The daily briefing.
Latest across Tanzania
DKT. MWIGULU: UWEZESHAJI WA WANAWAKE NI UWEKEZAJI KATIKA AFYA MOJA
▪️︎ Aeleza hatua za Tanzania kuwawezesha wanawake katika kilimo WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika...
MAKUNDI MAALUM KUSHIRIKI MIRADI YA MAFUTA NA GESI ASILIA
Na Mwandishi Wetu, Lindi WATU wenye mahitaji maalum mkoani Lindi wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na utekelezaji wa miradi ya kimkakati, ikiwemo...
UNGA 2026: TANZANIA YAIHAKIKISHIA DUNIA UZALISHAJI WA DAWA NA KUBORESHA AFYA AFRIKA
Na John Mapepele – WAF New York WAZIRI wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema Tanzania itaendelea kuweka kipaumbele katika kuimarisha uzalishaji wa ndani wa dawa,...
TAMASHA KUBWA LA SANAA NA UTALII KUUNGANISHA VIJANA NA KUFUNGUA FURSA ZA AJIRA ARUSHA.
Na Karama Kenyunko, Michuzi TV VIJANA,Wasanii na Wadau wa Sanaa na Utalii wanatarajiwa kukutana katika tamasha kubwa la sanaa na utalii la Arusha Arts and Craft...
ASILIMIA KUBWA YA WANAWAKE WANASHIRIKI KILIMO, UFUGAJI - WAZIRI MKUU
-Asema uwekezaji ni lazima ili Afya Moja ifanikiwe katika ngazi ya jamii WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema takribani theluthi mbili ya wanawake walioajiriwa...
SERIKALI YASISITIZA UMUHIMU WA KULINDA MAZINGIRA NA RASILIMALI ZA BAHARI
Na Oscar Assenga, TANGA SERIKALI imesisitiza umuhimu wa kulinda mazingira na rasilimali za bahari, ikisema uharibifu wake unaweza kuhatarisha maisha ya wananchi,...
MAKAMU WA RAIS AWASILI NEW YORK KUMWAKILISHA RAIS SAMIA UNGA81
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratias Ndejembi, amewasili jijini New York, Marekani, kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
DEREVA TARURA AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUMTISHIA DEREVA WA BASI KWA TOYI YA BASTOLA
Na Janeth Raphael – MichuziTv Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Dodoma, Sath John...
RABIA ASISITIZA UMOJA, AMANI NA MSHIKAMANO
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid (MCC) , amesisitiza...
WAZIRI AWESO AKATAA NYONGEZA YA MUDA MRADI WA MAJI WA BILIONI 53.12 TANGA
Na Oscar Assenga, TANGA WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa maji wa hati fungani wenye thamani ya Sh bilioni 53.12 kuongeza nguvu...
MAKAMU WA RAIS KUHUTUBIA KIKAO CHA 81 CHA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi leo Jumanne, Septemba 22, 2026, anatarajiwa kuhutubia Mjadala Mkuu wa Kikao cha 81 cha...
TAEC YAFICHUA MAPUNGUFU YA USALAMA WA MIONZI KATIKA VITUO 16 PWANI
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imeendelea kuimarisha usimamizi wa usalama wa mionzi nchini kupitia operesheni ya ukaguzi wa vituo vinavyotumia vifaa na vyanzo...
KATA 11 NGORONGORO MWENDO MDUNDO RHINO CUP, BINGWA KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA NA YANGA
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imezindua mashindano bab kubwa ya mchezo wa mpira wa miguu yatakayojulikana Kama Rhino Cup kutoa hamasa kwa jamii ya tarafa ya...
MWENYEKITI (UVCCM) GEITA AICHOTA TEKNOLOJIA YA MABASI KUKUZA USAFIRISHAJI CHINA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, ametembelea kiwanda kikubwa cha kutengeneza mabasi cha Yutong kilichopo...
Jumuiya ya Madola Yapongeza Hatua za Maridhiano Tanzania
Kamati ya Mawaziri cha Jumuiya ya Madola wanaosimamia Utekelezaji wa Maadili (CMAG) imetambua na kufurahishwa na ushirikiano mzuri ulioonyeshwa na serikali ya...
Sitoyo Lopokoiyit underscores Absa's confidence in Tanzania's growth potential
Tanzania’s expanding economy and growing digital financial services sector have attracted renewed attention from Absa Group, which has reaffirmed its long-term...
NYONGO AWATAKA WAFUGAJI KUACHA KUINGIZA MIFUGO MASHAMBANI
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo , amewaagiza wafugaji mkoani humo kuacha mara moja kuingiza na kulisha mifugo katika mashamba ya...
MUHIMBILI YAPOKEA MSAADA WA TZS. 23 MIL KUTOKA LIONS CLUB INTERNATIONAL
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo imepokea vifaa vya kutolea huduma za tiba aina ya Infusion Pumps vyenye thamani ya Shilingi milioni 23, vilivyotolewa na Lions...
TANZANIA YAPIGA HATUA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO, YAWANIA KITI BARAZA LA USALAMA UN
NEW YORK, Marekani TANZANIA imetangaza rasmi azma ya kuwania nafasi ya uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) kwa kipindi cha...
WATALAAMU WA USAFIRISHAJI WAKUTANA ARUSHA
-TEKNOLOJIA, UBUNIFU KUTUMIKA KUPUNGUZA GHARAMA ZA USAFIRISHAJI Na Ashura Mohamed – Arusha WATAALAMU wa usafirishaji, ununuzi na mnyororo wa ugavi kutoka ndani na nje...
Page 210 of 211 · 4203 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0