The daily briefing.
Latest across Tanzania
NATCOM KUIMARISHA UHIFADHI WA URITHI PEMBA KUPITIA UTAFITI NA ELIMU
Pemba, Zanzibar | 24 Oktoba 2026 Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (NATCOM) imeeleza dhamira ya kuimarisha uhifadhi wa urithi wa Pemba...
MKURUGENZI MKUU TBS ATAJA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KATIKA SERIKALI AWAMU YA SITA
-Aelezea jinsi shirika lilivyotumia mabilioni ya fedha kusogeza huduma karibu na wananchi -Asema TBS ina jumla ya maabara 14 na zote zimeweza kupata ithibati za...
EL NINO IWEPO AU ISIWEPO, UHIFADHI NA UTALII USILALE – MABULA
Na Mwandishi Wetu, Ngorongoro NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Nkoba Mabula, ameipongeza Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kuboresha miundombinu...
Madawati msaada wa kisheria kuimarishwa magerezani
Read the full report from the original source.
Kabudi aagiza watumishi waachie majengo ya kupanga, waende Mtumba
Read the full report from the original source.
Japan yafadhili miradi Tabora, Ubungo
Read the full report from the original source.
CLEOPATRA CASINO YAZINDULIWA KIBAHA
MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kibaha Dkt Nicas Mawazo amezindua Casino ya Kisasa inayofahamika kana CLEOPATRA iliyopo maeneo ya stendi ya zamani. Akizungumza katika...
Highlights | Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League 27/10/2026
#NBCPL: Wafungaji upande wa Yanga ni Peter Shalulile na Clement Mzize na upande wa Mashujaa FC ni Crispin Ngushi. FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC #NBCPremierLeague...
Historia yaandikwa Mnazi Bay, Waziri Homera atangaza ugunduzi gesi asilia wa futi za ujazo bilioni 223
Read the full report from the original source.
WAREMBO Kuchuana Katika Fainali za Kumpata Mrembo wa Kanda ya Mashariki Novemba 6 , 2026
Na Mwandishi wetu, Mkuranga WAREMBO watachuana katika fainali za kumpata Mrembo wa Kanda ya Mashariki Novemba 6 , 2026 shindano lililopangwa kufanyima Wilayani...
HOMERA ATANGAZA MAPINDUZI YA UMEME VITONGOJINI, AIPONGEZA REA KWA UTEKELEZAJI
WAZIRI wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Homera, amepongeza juhudi za Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, katika kusimamia...
Meridianbet Imekuja na TSh Bilioni 3 Za Mystery Multiplier
MSISIMKO wa kasino mtandaoni unaendelea kupanda huku Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni, ikiandaa fursa ya kipekee kwa wapenzi wa burudani kupitia...
NBCPL | ''Goli limenipa morali sana'' - Clement Mzize
#NBCPL: ''Goli hili limenipa morali sana'' Mshambuliaji wa Yanga SC, Clement Mzize akizungumza baada ya kukabidhiwa Tuzo yake ya 'Man of the Match' FT: Yanga SC 2-1...
Yanga burudani imerudi
YANGA imerudi katika njia ya ushindi baada ya kuichapa Mashujaa mabao 2-1, lakini mashabiki wakaibua hoja, soka la burudani limerejea.
NBCPL | Walichokizungumza Makocha baada ya Yanga SC kubeba alama tatu mbele ya Mashujaa FC
#NBCPL: ''Plan yetu imefanya vizuri'' Kocha Mkuu wa Mashujaa FC, Amani Josiah akizungumzia dakika 90 ambazo zimemalizika kwa kudondosha alama tatu ugenini akisema...
Sassuolo Kukipigania Pointi Tatu na Lazio
KIPINDI ambacho wewe unajiuliza wapi utapiga pesa! wenzako wanajinyakulia Mkwanja kutoka kwa mabingwa wa Odds Kubwa , leo tayari hela ipo kwenye Mchezo wa ligi kuu ya...
Torino Kukabi COMO 1907, Vita Ya Pointi 3 Serie A
HUKU pointi tatu zinapiganiwa, wewe usikae kinyonge tandika jamvi lako leo wakati Klabu ya Torino itakuwa mwenyeji wa Como 1907 katika mchezo wa ligi kuu ya Italia,...
Magoli | Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League 27/10/2026
#NBCPL: Alama tatu zimekwenda kwa ‘Wananchi’ Wafungaji upande wa Yanga ni Peter Shalulile na Clement Mzize na upande wa Mashujaa FC ni Crispin Ngushi. FT: Yanga SC...
Chadema yamwandikia Ruto kuhusu Mwaipaya
Soma zaidi...
Chadema, Magereza zatofautiana kuhusu mgomo wa kula kwa Lissu
Taarifa zinazokinzana kuhusu hali ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, zimeibuka baada ya chama hicho kudai ameanza mgomo wa...
Page 56 of 211 · 4208 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0