The daily briefing.
Latest across Tanzania
WANANCHI SABURI WALIA, BAADHI WADAIWA KUSHIKILIWA MAHABUSU SIKU 20 KWA MGOGORO WA ARDHI
Taharuki imetanda katika Kitongoji cha Saburi, kilichopo Makuyuni, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, kufuatia mgogoro wa ardhi unaohusisha wananchi na mwekezaji...
Ushindi Mkubwa Unakungoa Wewe Pekee
KWA dau dogo tuu unaweza ukatengeneza zaidi ya Mamilioni, mechi kibao za ushindi zipo kwaajili yako. Unasubiri nini sasa? Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari...
Egt Digital Yaendelea Kumwaga Mapesa Kwa Wabashiri
VIJANA wa leo wanapenda vitu vya kisasa, vya haraka na vyenye msisimko, na Meridianbet kwa kushirikiana na EGT Digital wanakuletea Spin Legends Tournament ya milioni...
NMB, CMC wazindua kampeni ya matrekta kwa wakulima wa korosho.
Benki ya NMB kwa kushirikiana na CMC Agri Limited imezindua kampeni ya Korosho Yangu, Benki Yangu mkoani Mtwara, itakayowezesha vyama vikuu vitano vya ushirika...
THE COCA-COLA SYSTEM DRIVES USD 3.6 BILLION ECONOMIC IMPACT AND SUPPORTS OVER 458,200 JOBS ACROSS COMESA REGION, STUDY REVEALS
• In 2024, the Coca-Cola system contributed USD 3.6 billion in value-added economic activity across the COMESA region. • The Coca-Cola system and its value chain...
VIJANA WAIOMBA SERIKALI KUONDOA VIKWAZO VYA AJIRA KATIKA KILIMO
Na Janeth Raphael -MichuziTv Vijana wanaoshiriki katika sekta ya kilimo wamezitaka Serikali na wadau wa maendeleo kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha kupata...
RAIS DKT SAMIA AFANYA UTEUZI WA WENYEVITI WA BODI TAWA,TTB NA TANAPA
DKT. MWIGULU: TUNATAKA KUWA MIONGONI MWA WAZALISHAJI 10 BORA WA CHAKULA DUNIANI
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inalenga kuwa miongoni mwa wazalishaji 10 bora wa chakula duniani kutokana na uwekezaji ambao umefanyika kwenye...
VIJANA WAITWA KUCHANGAMKIA FURSA MGODI WA MWIME 2 GOLD MINE
Na George Maziku, Kahama Uongozi wa mgodi wa dhahabu wa Mwime 2 Gold Mine uliopo katika mtaa wa Ilindi, kata ya Zongomera, wilayani Kahama, mkoa wa Shinyanga...
TASAF ILIVYOWEZESHA UFUGAJI SAMAKI WA VIZIMBA KWA KAYA MASKINI KATIKA MANISPAA YA ILEMELA
-Wanufaika wamshukuru Rais Dk.Samia kwa kuwajengea uwezo kiuchumi Na Mwandishi Wetu, Ilemela MRADI wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba katika Halmashauri ya...
CHATANDA: CCM NI CHAMA IMARA KISICHOYUMBA
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Pius Chatanda (MCC), amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea kuwa imara na kusimamia utekelezaji wa...
NYONGO ASISITIZA WENYE BIMA YA AFYA KUPATIWA HUDUMA BILA VIKWAZO
Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amesisitiza kuwa wananchi wenye bima ya afya wanapaswa kupata huduma bila vikwazo visivyo halali, huku...
SAMIA LEGAL AID AWAMU YA PILI KUZINDULIWA KIBAHA, LENGO KUFIKIA ASILIMIA 50 YA WANANCHI
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani MKOA wa Pwani unalenga kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi hadi kufikia asilimia 50 kupitia kampeni ya...
TANZANIA NA ANGOLA KUFUNGUA FURSA MPYA ZA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
Tanzania na Angola zimeazimia kuimarisha uhusiano wa kihistoria na kidiplomasia kwa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na kubaini fursa mpya za maendeleo kwa manufaa...
SERIKALI KUENDELEA KUIBORESHA LST
Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Seif Shekalaghe ameahidi kuwa Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji mafunzo katika...
NGORONGORO YAWATAKA WATUMISHI KUTUMIA MAFUNZO KUONGEZA UFANISI
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imewataka watumishi wake kuyafanyia kazi mafunzo ya kiutumishi waliyopata ili kuongeza ufanisi, uwajibikaji na ubora wa huduma katika...
JESHI LA MAGEREZA TANZANIA, USHELISHELI ZASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
Ssgt Mawazo Mtondo na Wdrs Irine Nkana – DODOMA. Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP Jeremiah Yoram Katungu, leo Oktoba 23, 2026, amepokea ujumbe wa Maafisa wa Magereza...
TMA YAONYA MAFURIKO, MAGONJWA YA MLIPUKO KUFUATIA MVUA ZA MSIMU
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri mvua za wastani hadi juu ya wastani katika maeneo mbalimbali nchini kuanzia Novemba...
MOROGORO YAZINDUA AWAMU YA PILI YA BIMA YA AFYA KWA WOTE
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Sendiga, amesema Serikali mkoani humo imejipanga kuboresha miundombinu ya afya, upatikanaji wa dawa na vifaa tiba ili kuhakikisha...
NAIBU WAZIRI LONDO AAHIDI KUFUATILIA CHANGAMOTO ZA VIWANDA KUKUZA UZALISHAJI WA NDANI
📌 Asisitiza umuhimu wa kuboresha miundombinu na kuhakikisha leseni za viwanda zinaendana na shughuli halisi za uzalishaji; 📌 Serikali kuendelea kuhamasisha ujenzi wa...
Page 79 of 212 · 4221 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0