The daily briefing.
Latest across Tanzania
Jumatatu Si Ya Kawaida, Meridianbet Kupamba Kasino Kwa Cashback Na Bonus Back
KWA watu wengi, Jumatatu ni siku ya kuanza majukumu mapya huku wakisubiri wiki iende kwa kasi. Lakini kwa wapenzi wa kasino mtandaoni , Jumatatu inaweza kuwa na ladha...
ZAN TIMIZA ETF YAKUSANYA SHILINGI BILIONI 9.46
Mfuko wa uwekezaji wa Zan Timiza Exchange Traded Fund (ETF), unaosimamiwa na Zan Securities Limited, umekusanya shilingi bilioni 9.46 katika mauzo ya awali ya vipande...
Siku ya Kuwinda Ushindi Mkubwa Hii Hapa
LEO hii ushindi mkubwa unakungoja wewe, mechi nyngi zinaendelea hadi katikati ya wiki, kama hukubahatika kushinda wikendi basi huu ndio muda sahihi, ingia kwenye...
OSHA YAGUSA MAISHA YA WAKAZI WA MKOA WA KILIMANJARO
Mgeni Rasmi wa Bonanza la OSHA la Huduma kwa Jamii (OSHA CSR Bonanza 2026) ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dkt. Christopher Timbuka, akiwahutubia washiriki wa...
Yanga njia panda Abuya kurejea dimbani
Kiungo wa Yanga, Duke Abuya, anakabiliwa na uwezekano wa kukaa nje ya uwanja kwa muda usiojulikana baada ya kuthibitishwa kupata jeraha la nyama za paja katika mchezo...
PEMA EVENT, MS ONE AGENCY KUHAMASISHA ELIMU KUHUSU MENOPAUSE
Mtumishi wa Mungu, Isaac Paul Hammoud (IPM) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Oktoba 12, 2016. Mkurugenzi wa PEMA Event, Khairat Ndassiwa...
BoT, NHIF, TIRA, UHAMIAJI NA TBL WASHIRIKI KONGAMANO LA MISA TANZANIA KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA YA HABARI
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA Tanzania), Edwin Soko, amevitaka vyombo vya habari nchini kuimarisha uwezo wao...
RC NYONGO APIGA MARUFUKU WANAFUNZI KUBEBESHWA MAKOSA YA WAZAZI
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amepiga marufuku tabia ya wanafunzi kufukuzwa au kurudishwa nyumbani kwa kushindwa kuchangia chakula...
TOSCI YAHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KUIMARISHA USALAMA WA CHAKULA
Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imeendelea kutoa elimu kwa wakulima kuhusu umuhimu wa kutumia mbegu bora, ikieleza kuwa hatua hiyo ni msingi wa...
UMAHIRI WA WAHITIMU WA VETA WANG’ARA WIKI YA VIJANA SUMBAWANGA
Banda la Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) limekuwa kivutio katika Maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yanayofanyika katika Viwanja vya Shule ya...
NAESA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA UGANI KUTAFSIRI UTABIRI WA MVUA.
Wakala ya Taifa ya Huduma za Ugani (NAESA), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo, umejipanga kutoa mafunzo kwa maafisa ugani katika mikoa 14 inayopata misimu miwili...
RAIS DKT. SAMIA KUWA MGENI RASMI KILELE CHA MBIO ZA MWENGE KITAIFA RUKWA.
Jane Mwakyoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru...
Polisi: Msisingizie Mungu ajali zinazotokana na uzembe
Jeshi la Polisi limewataka madereva kuacha kuhusisha ajali za barabarani na mapenzi ya Mungu, likisema nyingi husababishwa na makosa ya kibinadamu yanayoweza...
Barker afichua alivyoigomea Simba kisa Maema
Soma zaidi hapa
Makonda azindua shule mpya Bugumangala
Read the full report from the original source.
Makonda aipongeza TPA, atoa msisitizo Bandari Mwanza
Read the full report from the original source.
Dr Mkuya drums for Vision 2050 to promote gender equality in leadership
DAR ES SALAAM: ZANZIBAR’S Minister for Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Saada Salum Mkuya, has said Tanzania’s National…
Liverpool kuna nini, Man City ilivyojibu
Read the full report from the original source.
Makonda orders TPA to timely complete expansion of Mwanza North Port
MWANZA: THE Minister for Culture,Arts, and Sports, Paul Makonda, has directed the Tanzania Ports Authority (TPA) to ensure the timely…
Steve Barker ajiamini kuibuka na ushindi dhidi ya Mashujaa.
SIMBA SC vs MASHUJAA |Kocha wa Simba SC, Steve Barker amesema maandalizi waliyofanya kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa FC yanampa imani ya kupata...
Page 93 of 212 · 4224 stories
Share your feedback
A suggestion or something we can do better? Tell our team.
Your region, in your pocket.
Choose your country and topics, save important stories and stay close to trusted local voices.
↓ Download Android APK · v1.1.0