Search the region
22505 stories
Nairobi motorists face more delays as Eldoret Road closure extended
Latest · News
RecentlyWAZIRI KAPINGA ANADI FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI QATA
📌lengo ni kuongeza mauzo na uwekezaji kwenye viwanda vya kuongeza thamani ya malighafi; 📌ujumbe wa Tanzania wakutana na makamu wa kwanza wa chama cha wafanyabiashara na wenye viwanda nchini Qatar; 📌Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba asifu kazi nzuri inayofanywa na Wizara ya viwanda. Doha, Qatar Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, ambae yuko nchini Qatar kwa ziara ya kiserikali amesema,Tanzani ina fursa nyingi za kufanya uwekezaji na biashara na nchi ya Qatar hususani kwenye viwanda vya kuongeza thamani. Mhe Kapinga aneyasema hayo wakati wa mkutano na makamu wa kwanza wa chama cha wafanyabiashara na wenye viwanda nchini Qatar na kuongeza kuwa, mikakati ya Serikali ya kuongeza mauzo ya bidhaa za Tanzania katika soko la Qatar, sambamba na kuvutia uwekezaji wa Qatar nchini, hususan katika viwanda vya kuongeza thamani ya malighafi zinazopatikana Tanzania uko palepale. Amesema kazi kubwa inayofanywa na WIzara ya viwanda na Biashara ni kuhakikisha kunakuwa na mazingira wezeshi ya wawekezaji kuwekeza Tanzania. Awali akitoa wasilisho kwenye mkutano huo mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba na Mhe Mohammed bin Ahmed bin Twar Al Kuwar, Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Ndugu Efraim Mafuru, amesema Tanzania na Qatar, zina fursa za kuongeza mauzo ya bidhaa za Tanzania katika soko la Qatar, pamoja na uwezekano wa kutumia Qatar kama lango la kufikia masoko mapana ya Ghuba. Mikakati hiyo pia inalenga kutumia kikamilifu fursa zinazotokana na nafasi ya Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), pamoja na fursa za kibiashara zinazotokana na mahusiano ya Tanzania na nchi za Ghuba. Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza kazi nzuri inayofanywa na Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na TANTRADE na TISEZA, TPSF na TNCC, kuandaa na kusimamia jukwaa la biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Qatar . Jukwaa hilo linalenga kuwaunganisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Qatar na fursa halisi za biashara na uwekezaji zilizopo Tanzania, pamoja na kuwezesha majadiliano ya moja kwa moja kuhusu maeneo ya uwekezaji, uzalishaji, kuongeza thamani ya malighafi na upanuzi wa masoko. Aidha, Dkt. Mwigulu ameelekeza Wizara kuchukua hatua za haraka kuwaalika QCCI nchini Tanzania, sambamba na kuandaa makongamano ya kibiashara, semina kibiashara mikutano ya fursa za uwekezaji, majadiliano ya kisekta, kwa lengo la kujenga ushirikiano wa karibu na endelevu kati ya sekta binafsi za Tanzania na Qatar.
Mon, 28 Sep 2026 06:30:04 +0000CNC : Sokwe de B-Face et sa réplique, Niruze de Big Fizzo frappées d’interdiction, le buzz assuré
A compter de ce vendredi 25 septembre, les médias classiques et en ligne ont été appelés à ne plus diffuser deux chansons d’artistes burundais bien connus : le single Sokwe de B-Face et le tube Niruze de Big Fizzo. C’est une décision du CNC, le Conseil National de la Communication.
Mon, 28 Sep 2026 06:30:38 +0000US delegation backs fight against period poverty in Kenyan schools
NATIONAL NEWS · 4 hours ago
RecentlyMatiang’i: I'll not exit if Opposition picks another candidate He has promised to fully back whoever will be picked as the joint candidate
He has promised to fully back whoever will be picked as the joint candidate
RecentlyWawekezaji, wananchi Zegerani walilia barabara ya lami km 2 inayounganisha na viwanda Kibaha
Read the full report from the original source.
RecentlyC-CEOs Forum seeks to turn public wealth into public value
ARUSHA: THE 2026 Chairpersons and Chief Executive Officers of Public Institutions Forum (C-CEOs Forum) comes at a critical juncture for…
RecentlyMarriage law review targets child protection, education
DODOMA: THE government is consulting on proposed amendments to selected provisions of the Marriage Act, with the review focusing on…
RecentlyCentrafrique : l’opposition surveillée à l’aide de l’IA
Read the full report from the original source.
RecentlyGermany news: Berlin's Left files complaint against Dobrindt
Read the full report from the original source.
Recently👨🏿🚀TechCabal Daily – ARC-ing for an EV market
Read the full report from the original source.
Recently‘Overseas jobs rest on discipline’
DOHA: PRIME Minister, Dr Mwigulu Nchemba, has said that nation’s efforts to secure more employment opportunities abroad will largely depend…
RecentlyPLO: ‘Political gangsterism’ is running Kenya Lumumba has warned that violence and intimidation have become entrenched in electoral politics.
Lumumba has warned that violence and intimidation have become entrenched in electoral politics.
RecentlyKenyatta University disowns viral memo urging student couples to cohabit
Latest · News
RecentlyPLO: ‘Political gangsterism’ is running Kenya Lumumba has warned that violence and intimidation have become entrenched in electoral politics.
Lumumba has warned that violence and intimidation have become entrenched in electoral politics.
RecentlyMineral sales hit 7.78tri/- in six months
Read the full report from the original source.
RecentlyCurrent SHA provider contracts to expire Wednesday
Providers wishing to continue offering services to SHA beneficiaries have been urged to apply for new contracts and complete the contracting process before October 1, 2026.
RecentlyOYO Didn’t Do This!! Tooro’s New King Becomes A Tiktoker, Makes Adverts Of His Coronation
Read the full report from the original source.
RecentlyThousands Gather in Kyanja to Bid Farewell to Afrigo Band Legend Moses Matovu
Read the full report from the original source.
RecentlyPresident Museveni Commissions Mbale Zoo, urges Ugandans to Tap into Global Tourism Market
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 1014 of 1126 · 22505 stories