Search the region
22504 stories
Duale reveals Ruto’s 2027 vote math Duale said Ruto has substantial geographical base even before campaigns enter the decisive phase
Duale said Ruto has substantial geographical base even before campaigns enter the decisive phase
RecentlySerbia, Kukutana Na Uholanzi Nations League
TIMU ya Taifa ya Serbia itakuwa mwenyeji wa timu ya taifa Uholanzi katika mchezo wa UEFA Nations League 2026/27, utakaopigwa Jumapili, Septemba 27, katika Uwanja wa Rajko Mitić jijini Belgrade. Mchezo huo wa Kundi A2 unatarajiwa kuanza majira ya saa 19:00 usiku, huku timu zote zikiwa na nafasi ya kusaka matokeo muhimu katika hatua hii ya ligi. Timu hii ya taifa ya Serbia itaingia kwenye mchezo huo ikiwa na jukumu la kutumia faida ya kucheza nyumbani ili kuhakikisha kupata pointi mbele ya mashabiki wake. Timu hiyo iko katika kundi moja na mataifa ya Uholanzi, Ujerumani pamoja na Ugiriki, hivyo kila mchezo una umuhimu katika safari ya kumaliza nafasi za juu kwenye msimamo wa kundi. Kwa upande wa Uholanzi, mchezo huo utakuwa sehemu ya mwanzo wa kipindi kipya chini ya kocha mpya Xavi Hernandez . Kocha huyo ameeleza kuwa anataka timu yake icheze kwa kasi, kufanya kazi kwa bidii na kuchukua hatua ya kulazimisha mchezo, huku Virgil van Dijk akiendelea kuwa nahodha wa kikosi hicho. Uholanzi pia imepangwa kukutana na Serbia tena Oktoba 4, lakini safari hii ikiwa nyumbani, jambo linalofanya mchezo wa Belgrade kuwa muhimu katika kuanza kujenga nafasi zao ndani ya Kundi A2. Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Ratiba ya kundi hili pia inaonyesha kuwa Serbia baada ya mchezo huu itakutana na Ujerumani ya kocha Jurgen Kloop mnamo Oktoba 1, wakati Uholanzi itasafiri kucheza na Ugiriki siku hiyo hiyo. Kwa ujumla, mchezo huu kati ya Serbia dhidi ya Uholanzi unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na umuhimu wa pointi katika kundi hilo. Macho yatakuwa kwa namna Serbia itakavyotumia uwanja wa nyumbani na jinsi Uholanzi itakavyoanza kutumia mbinu mpya zitakazo kuwa chini ya Xavi katika kampeni ya michuano ya Mataifa ulaya ( Uefa Nations League ). Karibu Meridianbet ambapo Kipindi hiki ambacho timu za taifa kutoka maeneo mbalimbali duniani zipo kwenye majukumu yao, kuna michezo mikubwa inayosubiriwa na mashabiki, ikiwemo UEFA Nations League, mechi za kufuzu AFCON 2027 na michezo mingine ya kimataifa Bila kusahau Odds kubwa na machaguzi kibao kwenyekila mchezo.
Sun, 27 Sep 2026 04:34:00 +0000Pirates Power Kuitafuta Hazina Yenye Fursa Ya Hadi Mara 5,000
BAHARI kubwa imechafuka, upepo unavuma na safari ya kutafuta hazina inaanza. Kwa wapenzi wa michezo ya kasino wanaotafuta burudani iliyojaa msisimko, Pirates Power kutoka Meridianbet inakualika kupanda jahazi na kuanza safari ya kipekee katikati ya bahari yenye siri na hazina zilizofichwa. Huu si mchezo wa kawaida, bali ni safari inayochanganya burudani, changamoto na nafasi ya kupata ushindi mkubwa huku kila raundi ikifungua ukurasa mpya wa matukio. Kwenye safari hii, kila mzunguko wa mchezo unaweza kuwa hatua muhimu kuelekea kwenye hazina kubwa. Pirates Power inakupa nafasi ya kushinda hadi mara 5,000 ya dau lako, jambo linaloongeza msisimko kila unapozungusha. Ukiwa kama nahodha wa jahazi lako, kila raundi inakupa fursa ya kuendelea kusaka mchanganyiko unaoweza kubadili kabisa safari yako. Ni mchezo unaowaleta pamoja wale wanaopenda burudani ya kasi na changamoto za kusisimua katika ulimwengu wa sloti. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Lakini bahari ya Pirates Power imejaa zaidi ya mawimbi na hazina. Mchezo huu una mistari 20 ya ushindi na njia 6 za kushinda, hivyo kila raundi inaweza kuleta mchanganyiko tofauti wa alama unaoweza kuzalisha ushindi. Alama za Wild zina uwezo wa kuongeza ushindi mara mbili, huku Scatter zikifungua milango ya raundi za bonasi zenye zawadi zinazoongeza ladha ya safari. Na kama hiyo haitoshi, ndani ya bahari hii kuna hazina kubwa zaidi zinazowasubiri mabaharia jasiri. Mini, Major na Grand Jackpot ni sehemu ya mvuto wa Pirates Power, zikiongeza ladha ya kusaka zawadi kubwa ndani ya mchezo. Kila raundi inabeba mshangao wake, na safari inaweza kubadilika ghafla pale alama zinazotafutwa zinapojitokeza. Hivyo, kwa anayependa kuingia kwenye ulimwengu wa michezo yenye mandhari ya kipekee na msisimko wa kila mzunguko, jahazi la Pirates Power liko tayari kuondoka. Sasa ni wakati wa kuchukua nafasi yako kama nahodha wa kweli na kuanza safari yako ya Pirates Power kupitia Meridianbet . Panda jahazini, pitia mawimbi ya bahari ya hazina na furahia kila raundi huku ukifuatilia fursa za ushindi zinazopatikana ndani ya mchezo. Kumbuka, kila safari ina hadithi yake, na katika Pirates Power, kila raundi inaweza kuwa mwanzo wa tukio jipya.
Sun, 27 Sep 2026 04:28:00 +0000Un professeur emprisonné pour agressions sexuelles a été libéré secrètement avant la fin de sa peine, révèle la BBC
Des images filmées en caméra cachée par la BBC révèlent qu'il a été libéré après avoir purgé moins de la moitié de sa peine.
RecentlyOCS accused of defiling minor in Kakamega, offering parents Ksh.20,000 for silence
Read the full report from the original source.
RecentlyIran stands firm on Hormuz plan after US rejection
Read the full report from the original source.
RecentlyU.S. Announces $1.2 Billion Roosevelt Africa Trail Pipeline at First Trade Over Aid Deal During UN High-Level Week
Read the full report from the original source.
RecentlyGlobal Support Grows for Morocco’s Sahara Autonomy plan at UN General Assembly
Read the full report from the original source.
RecentlyHow to ROLEX, a Ugandan Cookbook
Read the full report from the original source.
RecentlyHeavy machinery lands ahead of Dangote launch The facility is designed to process crude oil from the Lokichar fields in Turkana County
The facility is designed to process crude oil from the Lokichar fields in Turkana County
RecentlyTwo people killed after bus crashes on way to Oktoberfest
Read the full report from the original source.
RecentlyAiling widow requests KU Hospital to release son’s body for burial
Read the full report from the original source.
RecentlyNAIBU WAZIRI REGINA ACHANGIA MIFUKO 100 YA SARUJI
Na Mwandishi wetu, Babati NAIBU waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Ndege amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule ya sekondari Mbugwe Wilayani Babati Mkoani Manyara. Pamoja na hayo Naibu Waziri Ndege ambaye pia ni Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Manyara, amekabidhi shilingi milioni moja kwa ajili ya motisha kwa walimu wa shule hiyo. Ametoa mifuko hiyo ya saruji na fedha hizo kwenye mahafali ya wahitimu wa kidato cha nne wa shule hiyo ya sekondari Mbugwe. Pia, amekabidhi sare za michezo kwa wanafunzi wa shule hiyo kwa ajili ya kushiriki michezo kipindi cha mapumziko ya masomo. Akizungumza kwenye mahafali hayo Naibu Waziri Regina amewaasa wanafunzi hao wahitimu kuhakikisha wanajipanga ipasavyo kwenye mitihani ya kuhitimu. Naibu Waziri Regina amesema kwa wanafunzi hao walipofikia ni mwanzo tu wa safari yao ya kimasomo hivyo wazidi kusoma kwa bidii kwa kipindi kifupi kilichobaki kabla ya kufanya mitihani. "Endeleeni kuwa na tabia njema kwenye kipindi chote mtakapokuwa nyumbani kwenu wakati mkisubiria matoleo mara baada ya kufanya mitihani yenu," amesema Naibu Waziri Regina. Hata hivyo, viongozi wa shule ya sekondari Mbugwe wamempongeza na kumshukuru Naibu Waziri Regina kwa moyo wa kujitolea na kuchangia mifuko hiyo 100 ya saruji na fedha shilingi milioni moja. Naibu Waziri Regina amembatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Manyara, Fatuma Tsea, Mwenyekiti wa Wazazi Mkoa Janes Darabe ambaye pia aliwahi kufundisha kwenye shule hiyo na Diwani wa Kata ya Kisangaji Adam Ipingika.
Sun, 27 Sep 2026 15:39:24 +0000Caring for children while rebuilding own future
DAR ES SALAAM: CEREBRAL PALSY (CP) is a group of neurological disorders that affect movement, muscle tone, posture and coordination.…
RecentlyDr. Opul Joseph, PhD: From Development Aid to Economic Transformation: Why Did the Asian Tigers Overtake Uganda-and What Must Uganda Do Differently Now?
An Open Letter to the Government of Uganda, Livelihood Programmes Secretariats, Development Partners and All Stakeholders in Grassroots Economic Transformation Dear Government of Uganda, Livelihood Programme Secretariats
RecentlyEXPOSED: What Moses Kalangwa’s Will Says About His Estate
For nearly a month, a family dispute surrounding the estate of the late businessman Moses Kaliisa Kalangwa has increasingly played out on social media, with some of his children making…
RecentlyWhy EPL faces uncertainty after Man City ruling It appears the chaos and uncertainty are only going to increase now.
It appears the chaos and uncertainty are only going to increase now.
RecentlyLe PAM affirme que plus d’un million de Burundais sont menacés par El Niño entre octobre 2026 et janvier 2027
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto to critics: Focus on your work, stop supervising me Ruto also called on leaders to set a good example, saying they should conduct themselves responsibly
Ruto also called on leaders to set a good example, saying they should conduct themselves responsibly
RecentlyTISEZA named Africa’s top investment agency for third year running
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA) has been named Africa’s Best Investment Promotion Agency…
RecentlyPage 1020 of 1126 · 22504 stories