Unganishwa

Search the region

22498 stories

Uncategorized · The Standard

ODM delegates reject Sakaja using the party for gubernatorial bid

They insisted ODM should not allow an outsider to join the party and use its ticket to contest for the gubernatorial seat

Sat, 26 Sep 2026 18:00:03 +0300
Business · Issa Michuzi

Benki ya Exim Tanzania Yashiriki CEO Golf Day 2026

Benki ya Exim Tanzania imeungana na viongozi wa taasisi, wafanyabiashara, washirika na wadau mbalimbali katika CEO Golf Day 2026, hafla iliyofanyika Septemba 26, 2026 katika Sea Cliff Golf Club, Zanzibar, na kuwakutanisha viongozi wa biashara, wanadiplomasia na wachezaji wa gofu kutoka Tanzania na nje ya nchi. Hafla hiyo inalenga kutumia mchezo wa gofu kama jukwaa la kuwakutanisha viongozi na wadau wa biashara kutoka Tanzania na nje ya nchi, ikiwemo Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, Afrika Kusini na Nigeria, na hivyo kutoa nafasi kwa washiriki kutoka masoko mbalimbali kukutana kujenga mahusiano na kuendeleza mazungumzo kuhusu fursa mbalimbali. Benki ya Exim Tanzania imeshiriki katika hafla hiyo ikiwa ni mmoja wa wadhamini, hatua inayoakisi dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na jumuiya ya wafanyabiashara na wadau mbalimbali, kuimarisha mahusiano na kujenga fursa za pamoja zinazoweza kuchangia ukuaji wa biashara nchini. Mbali na mchezo wa gofu, hafla hiyo ilitoa nafasi kwa viongozi na washiriki kuendelea na mazungumzo na kujenga mahusiano ya kikazi. Mashindano hayo yalihusisha mchezo wa gofu wa mashimo 18, kabla ya washiriki kuhitimisha siku kwa hafla ya chakula cha jioni. Kwa Benki ya Exim Tanzania, ushiriki huo ni sehemu ya kuendelea kuwa karibu na jumuiya ya biashara na wadau wake, wakiwemo wateja. Kwa ujumla, Dhumuni la siku hii ya kipekee ni kujenga mtandao wa kibiashara na ushirikiano wa kijamii, kuweka mazingira ambapo viongozi wa biashara na wadau wanaweza kuungana, kubadilishana mawazo na kuimarisha mahusiano nje ya mazingira ya kawaida ya kazi.

Sat, 26 Sep 2026 08:00:00 +0000
Uncategorized · Rwanda News Agency

Rwanda elected Chairperson of the Group of 77 and China for the year 2027

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

Njeru residents demand modern market, new landfill

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Africa turns PPR commitment into investment push in Rome

DAR ES SALAAM: FOR millions of African families, a sheep or goat is more than livestock. It can be food…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Gachagua opens up on his drinking days He linked his personal experience to his broader campaign against substance abuse.

He linked his personal experience to his broader campaign against substance abuse.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Russell holds off Verstappen to claim imperious victory in Baku

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Citizen Digital

Man City could face 'drastic' sanctions after reported guilty verdict

Read the full report from the original source.

Recently
World · DW Rwanda

Pakistan: Suicide attack at police stop kills at least 11

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Nyoro defends Uhuru, demands disclosure of Dangote refinery shareholders

Nyoro recalled the political differences between Ruto and Uhuru during their time in government and said the President should respect the former Head of State.

Sat, 26 Sep 2026 17:15:00 +0300
Uncategorized · KBC

PS Muoria challenges TVETs to train youth for industry, self-employment

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Harm Reduction Experts Poke Holes in Tobacco Bill, Call For Amendments

Latest · Kenya

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

New nicotine curbs draw heat from traders, youth Businesses and young people want MPs to review some of the proposed restrictions before the law is passed.

Businesses and young people want MPs to review some of the proposed restrictions before the law is passed.

Recently
World · DW Rwanda

China rejects 'Cold War mindset' at UN General Assembly

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

65-year-old woman knocked down, killed while walking to church in Kirinyaga

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

TBS, WMA na FCC wabaini kasoro bidhaa Njombe

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Jamhuri Media

Katibu NEC ataka wenye ulemavu kuchangamkia mikopo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

China reject 'Cold War mindset' at UN General Assembly

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Jamhuri Media

Wakulima wa tumbaku Tabora walilia bei yenye manufaa kwao

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Trump’s H-1B crackdown: For African tech talent, the road to America is getting narrower

Read the full report from the original source.

Recently

Page 1033 of 1125 · 22498 stories