Unganishwa

Search the region

22495 stories

Uncategorized · KBC

Governor Waiguru champions local Govts’ role at New York University forum

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Wanted woman arrested at JKIA with cocaine worth Ksh13.5M

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Embolo follows Xhaka out of Swiss squad over fake Covid documents

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Mikopo ya asilimia kumi yazidi kuinua wananchi Bukoba

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · BBC Afrique

Dîner d'État : Trump et Xi ont affiché leur bonne entente. Voici pourquoi cela ne suffit pas

Malgré les politesses diplomatiques et les cadeaux, peu de choses ont été dites sur les questions de fond qui opposent les dirigeants.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Bali’s tourism lesson: Grow without destroying what attracts visitors

News · 6 hours ago

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Deadly blast rips through Athens building, near Acropolis

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Assets evaluation experts asked to prioritise safety

MARA: EXPERTS conducting the valuation of assets belonging to residents earmarked for relocation to pave the way for construction of…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Europe's biggest leagues demand sweeping FIFA reforms

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

DEEP STORY!! Where Is King Oyo’s Son? Why Babiito Celebrated Oyo’s Death

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Germany news: EU ministers meet for migration showdown

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

UNODC warns technology is fueling faster, borderless crime

Latest · NATIONAL NEWS

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

C-CEOs Forum kuwa chachu ya utekelezaji wa Dira 2050

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WAZIRI AKWILAPO AZINDUA KLINIKI YA ARDHI YA KIDIJITI MTWARA

Na Munir Shemweta, WANMM MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara huku akiwataka wananchi kutumia fursa hiyo kupata elimu na huduma mbalimbali za ardhi, ikiwamo upimaji, upangaji na umilikishaji. Uzinduzi huo umefanyika Septemba 25, 2026 katika Uwanja wa Mashujaa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambapo Dkt. Akwilapo alikabidhi Hatimilki 10 kwa wananchi na hati 75 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala. Amesema, Kliniki ya Ardhi ya kidijiti inatoa huduma za ardhi kwa njia ya kidijiti sambamba na kutoa elimu kuhusu masuala mbalimbali ya ardhi. Kwa mujibu wa Dkt. Akwilapo, huduma hizo za kidijiti kwa sasa zinapatikana mikoa 17 ya Tanzania Bara na kuitaja kuwa ni Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Mbeya, Ruvuma, Njombe, Kagera, Arusha, Tanga na Kilimanjaro. "Wizara inaendelea na maandalizi ya kuingiza mikoa 9 iliyosalia kwenye mfumo huo na baada ya mikoa hiyo kuingizwa, huduma za mfumo wa e-Ardhi zitakuwa zimeenea nchini kote" amesema. Aidha, amewakumbusha wamiliki wa ardhi kutimiza wajibu wao wa kulipa Kodi ya Pango la Ardhi kwa wakati, akisema maendeleo hayawezi kutenganishwa na wajibu huo wa kulipa kodi. “Tunapoongelea maendeleo lazima tujue jukumu la msingi kulipa kodi ya pango la ardhi,” amesema. Ameongeza kuwa, ulipaji wa kodi kwa wakati utasaidia wananchi kuepuka usumbufu unaoweza kusababishwa na riba au hatua za kufutiwa umiliki. Waziri huyo wa Ardhi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini wanaotoa huduma katika Kliniki za Ardhi zinazoendelea kuzingatia utu, weledi na kutoa huduma kwa wakati. Ameonya kuwa Wizara yake haitasita kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya watumishi watakaokwenda kinyume na misingi ya utoaji huduma bora. "Wizara ya Ardhi itaendelea kuboresha utoaji huduma za ardhi huku akibainisha kuwa changamoto ambazo hazitaweza kutatuliwa wakati wa kliniki zitawekewa utaratibu maalumu wa kuzifanyia kazi" ameeleza. Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya, amesema matumizi ya mfumo wa e-Ardhi yatarahisisha upatikanaji wa hatimiliki za ardhi kwa wananchi. Amesema awali wananchi walikabiliwa na mlolongo mrefu katika kupata hati za ardhi katika mfumo wa makaratasi, lakini mfumo wa kidijiti umeleta mabadiliko kwa kurahisisha na kuharakisha huduma. “Awali mlolongo ulikuwa mrefu wakati wa hati za makaratasi, lakini sasa mambo yako mkononi, mambo yanaenda kwa haraka,” amesema. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Fraterny Hassan, amesema lengo la mfumo wa e-Ardhi ni kupunguza gharama na muda wanaotumia wananchi kufuatilia huduma za ardhi. "Mfumo huu unaongeza uwazi kwa kuwa mwananchi anaweza kufuatilia maombi yake hatua kwa hatua bila kulazimika kufika ofisini" amesema. Kwa mujibu wa Hassan, mfumo pia unafupisha muda wa utoaji huduma kwa kuwa maombi yanawafikia maafisa husika na mfumo unaelekeza hatua inayopaswa kufanyika. Kliniki ya Ardhi Kidijiti inaendelea kutolewa katika mikoa mbalimbali nchini, ambapo baada ya uzinduzi wa kitaifa, mikoa yote itaendelea kutoa huduma za Ardhi Kliniki hadi tarehe 3 Oktoba 2026, kwa lengo la kuwafikia wananchi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kliniki ya Ardhi ya Kidigiti katika uwanja wa Mashujaa Manispaa ya Mtwara Mikindani Sept 25, 2026. Sehemu ya wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Kliniki ya Ardhi ya Kidigiti iliyozinduliwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo katika uwanja wa Mashujaa Mtwara Sept 25, 2026 Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Fraterny Hassan akielezea matumizi ya Mfumo wa Kidigiti wa e- Ardhi wakati wa Uzinduzi wa Kliniki ya Ardhi ya Kidigiti katika uwanja wa Mashujaa Manispaa ya Mtwara Mikindani Sept 25, 2026. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akikabidhi Hati Milki za Ardhi kwa wananchi wa Mtwara mara baada ya kuzindua rasmi Kliniki ya Ardhi ya Kidigiti kwa wananchi wa Mtwara katika uwanja wa Mashujaa Sept 25, 2026 . Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Newala Bw. Duncan Thebas mara baada ya kumkabidhi Hati Milki za Ardhi 75 wakati wa uzinduzi rasmi wa Kliniki ya Ardhi ya Kidigiti katika uwanja wa Mashujaa Sept 25, 2026 . Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Pamoja na viongozi wa wilaya ya Mtwara wakiwa katika picha ya Pamoja na wananchi waliokabidhiwa hati milki za ardhi wakati wa uzinduzi rasmi wa Kliniki ya Ardhi ya Kidigiti katika uwanja wa Mashujaa Sept 25, 2026 . (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)

Sat, 26 Sep 2026 09:00:20 +0000
Uncategorized · Capital FM

Kenya pushes new urban climate resilience framework for Africa at UNGA

Latest · Africa

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Kakamega woman killed in suspected panga attack Police linked the attack to a reported love triangle involving the woman’s brother-in-law

Police linked the attack to a reported love triangle involving the woman’s brother-in-law

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA HITMA YA MAREHEMU HAFIDH AMEIR DAR ES SALAAM

Matukio mbalimbali katika Picha Leo Jumamosi ya Septemba 26 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam katika Hitma ya marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan ambaye alifariki dunia Septemba 7 mwaka huu Tukio hilo linaenda sambamba na dua ambayo katika imani ya dini ya kiislamu ni msingi wa ibada ambayo Mwenyezi Mungu (Allah) anawakumbusha wanadamu kujiombea msamaha wao kwa wao na kuwaombea msamaha ndugu zao walio tangulia mbele za haki na kutoa shukrani.

Sat, 26 Sep 2026 08:46:14 +0000
Uncategorized · Iwacu

Kégué, le cœur serré

On l'attendait comme on attend un verdict. Et le verdict est tombé, sec, à la 17e minute. Un à zéro. Pour le Togo. Score final. Ce vendredi 25 septembre 2026, le Stade de Kégué était plein à craquer. Il bruissait, chantait et poussait. En face, les Hirondelles perdues dans cette marée jaune qui ne demandait qu'à s'embraser.

Sat, 26 Sep 2026 08:47:35 +0000
Uncategorized · UN News Burundi

World News in Brief: West Bank demolitions accelerate, urgent support for Sudan, Haiti diplacement, AI hub to boost gender equality

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Man fined Ksh.24 million for trafficking 266kg of bhang

Read the full report from the original source.

Recently

Page 1037 of 1125 · 22495 stories