Search the region
22494 stories
Chameleone asks Afrigo Band for Moses Matovu’s saxophone as memorial souvenir
KAMPALA, UGANDA — Musician Jose Chameleone has made a heartfelt request to the Afrigo Band to be allowed to receive one of the late saxophonist Moses Matovu’s instruments as a…
RecentlyBREAKING: NUP Leaders Accused of Secret Talks With Government Over Sharing Government Positions
Read the full report from the original source.
RecentlyLSK maintains targeted court boycott as judicial accountability reforms stall
News · 5 hours ago
Recently“Nicole Kidman” Hitmaker Adéla Drops Highly Anticipated Debut album
Entertainment · 4 hours ago
RecentlyMan arrested after allegedly hiding 69 rolls of bhang inside rice meant for remandee
crime · 3 hours ago
RecentlyIran offers US deal to reopen Strait of Hormuz in seven days
Latest · News
RecentlyActivist Collins Otieno found along Thika Road Rights defender Hussein Khalid said Otieno was found early Saturday and taken to hospital
Rights defender Hussein Khalid said Otieno was found early Saturday and taken to hospital
RecentlyAssefa seeks 'better than my best' at Berlin marathon
Read the full report from the original source.
RecentlyKAA steps up JKIA flood preparedness as El Niño threat looms
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyMissing ctivist Collins Otieno found along Thika Road Rights defender Hussein Khalid said Otieno was found early Saturday and taken to hospital
Rights defender Hussein Khalid said Otieno was found early Saturday and taken to hospital
RecentlyEngineers urged to prepare disaster-resilient solutions
DAR ES SALAAM: MINISTER for Works Abdallah Ulega has urged local engineers to develop innovative, disaster-resilient solutions as Tanzania prepares…
RecentlyNyandarua women embrace plant-based diets amid health concerns
Latest · Business
RecentlyGHAI: Are you a human rights activist? Maybe we all should be Constitution and human rights not just for lawyers, journalists and activists but for everyone.
Constitution and human rights not just for lawyers, journalists and activists but for everyone.
RecentlyRD Congo: Abategetsi babiri bakuru ba sentare ya gisirikare bapfiriye mu mpanuka y'indege - FARDC
Abo basirikare bompi bari bafise uruhara rukomeye mu manza za gisirikare zijanye n'iyo ntambara ibandanya.
RecentlyKisumu launches 2026 ECD regulations to strengthen early childhood education
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyMBUNGE SHINGO ATUMA UJUMBE KWA MADEREVA, AGUSIA UMUHIMU VIJANA KUWA NA UJUZI
-Afurahishwa mazingira mazuri ya Future World Vocation Istitute,aahidi kupeleka vijana kusoma Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam Bakari Shingo ametoa mwito kwa madereva wote nchini kuhakikisha wanarudi darasani kuongeza ujuzi utakaowezesha kuendesha vyombo vya moto kwa usalama wao na watumiaji wengine wa barabara. Amesisitiza kuna tofauti kubwa ya magari ya miaka ya nyuma na sasa hivyo kwa madereva ili kwenda sambamba na kasi ya teknolojia inayotumika kutengeneza magari njia pekee ya madereva kuifanya kazi hiyo kwa weledi na umakini ni kuhakikisha wanarudi darasani kwani hakuna njia mbadala. Akizungumza Septemba 25,2026 alipotembelea Chuo cha Ufundi Stadi Future World Vocation institute kilichopo Chanika kwa Ndevu jijini Dar es Salaam ambapo pia akiwa katika chuo hicho amepata nafasi ya kuzungumza na mamia ya madereva wanaoendelea na mafunzo ya udereva ili kuuhisha leseni. “Nimepata nafasi ya kupata elimu kuhusu masuala ya udereva.Ujue unapokuwa mwakilishi wa wananchi unapata mambo mbalimbali na kuna jambo nililetewa na madereva wenye leseni ya C plain ambao wengi wanaohoji kwanini warudishwe kusoma wakati walipochukua leseni daraja C plain walisoma kozi zote za daraja E,D na waliambiwa kozi zote za madaraja ya chini zimo ndani ya C plain. “Nikiri baada ya kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Future World Vocation Institute Robert Mkolla amenieliemisha kuhusu nafasi ya madereva kurudi darasani hivyo nami naungana naye kuwaambia madereva warudi chuo kusoma udereva ili kuuhisha leseni zao lakini pia kuyafahamu kwa undani magari yenyewe jinsi ya kuyaendesha lakini na sharia za usalama barabarani kwa ujumla.” Akieleza zaidi Shingo amesema yeye ni dereva tangu enzi za leseni za vitabu na kwamba magari yaliyokuwa wakiyaendesha wakati ule sio yaliyopo sasa kwani kila siku teknolojia inabadilika na hakuna mahali unaweza kupata teknolojia mpya ya magari yaliyopo zaidi ya chuoni. Pia amesema amefurahishwa uwepo wa chuo hicho ndani ya Jimbo la Ukonga na hivyo amemuahidi Mkuu wa Chuo hicho kwamba atahakikisha anapeleka vijana wa jimbo Hilo kujifunza fani mbalimbali zinazotolewa na chuo hicho. “Nimekuwa na utaratibu wa kusomesha vijana katika vyuo mbalimbali vya ufundi na mpaka sasa vijana 700 wanaendelea na mafunzo kupitia fedha za mfuko wa Jimbo,fedha za Mbunge pamoja na fedha za marafiki wa Mbunge. “Hivyo nitazungumza na chuo hiki ili vijana ninaowafadhili wajiunge na masomo kwa ajili ya kupata ujuzi. Mimi hapa nina fani tano na zote nazifanya kwa ufasaha mkubwa na ndio maana kabla ya kuwa Mbunge nilikuwa nimeajiajiri,”amesema. Pia Shingo ametumia nafasi hiyo kuwashauri madereva bodaboda nao kuona haja ya kujifunza fani zenye ujuzi kwani udereva bodaboda una mwisho na kwamba uwepo wa chuo hicho maeneo ya Chanika umefanya kiwe karibu na wananchi. Kuhusu chuo hicho amesema amevutiwa na mandhari mazuri ya kufundishia akitoa mfano kwa madereva wanaojifunza kuendesha magari madogo ndani ya chuo kuna uwanja mkubwa wa kujifunzia kabla ya kutoka nje , Pia amefurahishwa na uwezo wa walimu wanaofundisha fani mbalimbali katika chuo hicho ikiwemo ya udereva urembo na malezi ya watoto wanatumia mbinu za kisasa za kifundisha huku akitoa rai kwa chuo hicho kutoa kozi zake katika kiwango cha kimataifa. Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Future World Vocation Institute Mkola amesema amefurahishwa na ujio wa Mbunge Shingo na kwa nafasi yake anayo majukwaa mengi ambayo atayatumia kuelimisha jamii ya wana Jimbo la Ukonga na maeneo mengine kuhakikisha wanapeleka vijana wao katika chuo hicho kupata ujuzi wa fani mbalimbali. “Tumezungumza na Mbunge kuhusu nafasi yetu kama chuo katika kuhakikisha tunatoa kozi zitakazowezeha vijana wanajiajiri badala ya kusubiria kuajiriwa.Tunaomba ukawe balozi wetu,”amesema na kusisitiza kuna vijana wengi ambao wanamaliza darasa la saba na kidato cha nne ambao badala ya kujiunga na vyuo kupata ujuzi wameamua kuwa dereva bodaboda. Amesema vijana wanapaswa kufahamu kuwa pamoja na kuwa madereva bodaboda lakini wanayo nafasi ya kusoma na fani nyingine zitakazowezesha kujiajiri .”Hatuwezi kuacha vijana wote wawe waendesha bodaboda lazima tuwashawishi wasome na kozi nyingine kwa ajili ya faida yao na taifa kwa ujumla.”
Sat, 26 Sep 2026 06:44:56 +0000Ghana cracks down on religious preaching in public buses
Read the full report from the original source.
RecentlyRubondo lauded as he exits PAU after 42 years ahead of Uganda’s first oil
KAMPALA - Ernest Rubondo has ended more than four decades in Uganda’s petroleum sector, leaving the Petroleum Authority of Uganda (PAU) as the country moves closer to commercial oil production. Rubondo,...
RecentlyTUMIENI JUKWAA LA KARIAKOO FESTIVAL KUKUZA BIASHARA, UWEKEZAJI-LONDO.
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dennis Londo amewataka wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam kutumia fursa ya uwepo wa tamasha la Kariakoo Festival kukuza biashara, uwekezaji na kutumia fursa ya masoko ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika kukuza masoko ya bidhaa zao. Mhe Londo ameyasema hayo leo Septemba 25, 2026 jijini Dar es Salaam wakati akizindua rasmi tamashahilo kwa msimu wa tatu na kuongeza kuwa sekta binafsi ina mchango mkubwa wa takribani asilimia 70 kufanikisha Dira ya Nchi kwa Mwaka 2050 kwenye eneo la uunganishaji wa biashara na ongezeko la mnyororo wa thamani. Mhe Londo amesema Serikali inatambua mchango mkubwa unaotolewa na Soko la Kariakoo kwani linachangia kwa kiasi kikubwa kwenye uchumi wa nchi, soko la ajira na mzunguko wa fedha na injini ya biashara. Akizungumza kabla ya mgeni rasmi, Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Masoko ya Kariakoo Bw.Jossam Mzava amesema umoja wa wafanyabiashara wa soko hilo umeweza kuwaunganisha wadau wote kwenye sekta ya biashara ndani na nje ya nchi kwa maslahi mapana ya kukuza mapato hapa nchini. Tamasha hilo lililobeba kaulimbiu ya; 'Bei shwaa shwaaa' ikimaanisha bei imepunguzwa linawakutanisha wafanyabiashara mbalimbali kwa lengo la kujadili fursa mbalimbali na namna wanavyoweza kutumia masoko ya ndani na nje. Katika hatua nyingine, Mhe Londo ameziagiza taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara kuanza kushiriki tamasha hilo ili kutoa fursa kwa wafanyabiashara kupata huduma na elimu juu ya upatikanaji wa leseni, ushindani wa kibiashara na nembo za ubora.
Fri, 25 Sep 2026 20:30:00 +0000WACHIMBAJI WADOGO WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA MVUA ZA EL NINO.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu amewakumbusha wachimbaji wadogo mkoani Geita kuchukua tahadhari dhidi ya uwepo wa Mvua kubwa za El Nino zinazotarajia kunyesha hivi karibuni nchini. Akifungua mafunzo ya Usalama na Afya kwa wachimbaji wadogo wa madini mkoani Geita, amesema kuwa ni vizuri wachimbaji hao kuchukua tahadhari mapema ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza kutokana na uwepo wa mvua hizo. "Niwatake wachimbaji wote kuendelea kuchukua tahadhari ikiwemo kufuatilia taarifa za utabiri wa Hali ya Hewa toka Mamlaka ya Hali ya Hewa, ili kuchukua tahadhari mapema. Uchimbaji wetu ni wa "underground" hivyo, ni muhimu kujiridhisha kabla ya kuanza kufanya uchimbaji. Na endapo ikatokea madhara ya aina yoyote, basi ni vyema taarifa zitolewe mapema OSHA na Mamlaka zingine husika." alisema Mhe. Deus. Aidha, waziri huyo aliwakumbusha wachimbaji hao kutumia elimu walioipata na Vifaa Kinga vya mfano walivyopatiwa ili kuendelea kukumbushana umuhimu wa matumizi ya Vifaa Kinga na Kuchukua tahadhari. Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda amesema mafunzo hayo ni muendelezo na maelekezo ya mheshimiwa waziri katika kuyafikia makundi mbalimbali na kuyapatia elimu ikiwemo wachimbaji wadogo. Mafunzo kama hayo tayari yamekwishafanyika katika Wilaya za Bukombe na Namungo mkoani Lindi. Bi. Mwenda amesema, wachimbaji wadogo wanakabiliwa na Vihatarishi vingi kutokana na aina ya uchimbaji wanaofanya, ndio maana OSHA iliamua kuyafikia makundi hayo na kuwapa elimu pamoja na kuwapatia PPE kwa lengo la kuhimiza matumizi ya Vifaa Kinga wakati wakitekeleza majukumu yao. Washiriki wa mafunzo ambao wametoka katika mkoa wa Kimadini wa Mbogwe na Geita pamoja na wachimbaji toka nchi jirani ya Uganda, wamepatiwa mafunzo ya namna ya kutambua na kuvidhibiti Vihatarishi sehemu za kazi pamoja na Huduma ya Kwanza. Akizungumza kwa niaba ya Balozi wa Uganda nchini Tanzania, mwakilishi wa ubalozi huo, Brigedia Jenerali Julius Mbaine, amesema ushiriki wao katika maonesho hayo umefungua fursa ya kubadilishana uzoefu na kutambua maeneo ambayo Tanzania na Uganda zinaweza kushirikiana katika sekta ya madini. “Sekta ya madini inatoa jukwaa muhimu la kuimarisha mahusiano. Ubalozi wa Uganda nchini Tanzania uko tayari kusaidia kuimarisha uhusiano wa kitaasisi na kibiashara kati ya nchi hizo mbili, hususan katika kukuza uwekezaji, biashara na mnyororo wa thamani wa madini.” Amesisitiza Brigedia Jenerali Julius. Amesema mazungumzo yaliyofanyika kati ya ujumbe wa Uganda na wadau wa madini Geita yamewapa nafasi ya kuelewa zaidi sekta hiyo nchini Tanzania na kutambua maeneo ya maslahi ya pamoja. Ushiriki wa wachimbaji wadogo wa Uganda katika maonesho hayo unalenga kuwawezesha kujifunza kutoka kwa wadau wa Tanzania na kuona namna teknolojia na maarifa yanavyoweza kutumika kuboresha shughuli za uchimbaji. Kwa Upande wake Mbunge wa Geita Mjini Mhe. Mha. Chacha Mwita Wambura, amepongeza juhudi za OSHA katika kuendelea kusimamia Usalama na Afya Mahali pa Kazi nchini. Amesema kuwa yeye kama mdau wa uchimbaji wa madini anatambua umuhimu wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi kutokana na maeneo hayo kuwa na vihatarishi. Mafunzo ya Usalama na Afya kwa wachimbaji wadogo yameandaliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kwa kushirikiana na mkoa wa Geita ikiwa ni sehemu ya Maonesho ya 9 ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini, yanayofanyika Mkoani Geita.
Sat, 26 Sep 2026 06:31:45 +0000Page 1039 of 1125 · 22494 stories