Search the region
22494 stories
Mastercard Foundation names first winners of $500m higher education prize
ACCRA — The Mastercard Foundation has named five African institutions as the first winners of its Africa Higher Education for Transformation (AHEFT) Prize, a $500 million initiative to reward universities undertaking...
RecentlySerikali yaleta mapinduzi huduma za ardhi Mtwara
Read the full report from the original source.
RecentlyMiddle East Escalation; A Wake-Up Call for Africa’s Energy Future
KAMPALA - The Middle East stands once again at the edge of a dangerous precipice. What began as a targeted military strike on an airport runway has rapidly evolved into a...
RecentlyNHIF, AGA KHAN WASAINI MAKUBALIANO YA HUDUMA ZA SARATANI
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa utoaji wa huduma za matibabu ya saratani kwa wanachama wa NHIF, hatua inayolenga kuongeza upatikanaji wa huduma hizo za kibingwa nchini. Makubaliano hayo yamesainiwa katika hafla iliyofanyika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam, na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene C. Isaka, kwa niaba ya Mfuko huo, pamoja na Mtendaji Mkuu wa Aga Khan Kanda ya Afrika Mashariki, Dkt. Zeenat Sulaiman, aliyesaini kwa niaba ya Taasisi ya Aga Khan. Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Dkt. Isaka amesema ushirikiano huo ni sehemu ya jitihada za NHIF za kuendelea kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa wanachama wake, hususan huduma za kibingwa zinazohitaji utaalamu na teknolojia maalumu. Dkt.Isaka,amesema NHIF inaendelea kupanua wigo na kuboresha ubora wa huduma zinazotolewa kwa wanachama wake, sambamba na kuongeza idadi ya vituo vinavyotoa huduma hizo kupitia mtandao wa watoa huduma wa Mfuko. “NHIF inaendelea kuboresha wigo na ubora wa huduma zinazopatikana kwa wanachama wake na kuongeza wigo wa vituo vinavyotoa huduma hizo. Kusainiwa kwa makubaliano haya ni hatua muhimu katika kuimarisha upatikanaji wa huduma za kibingwa za matibabu ya saratani kupitia mtandao wa watoa huduma wa Mfuko,” amesema Dkt. Isaka. Ameongeza kuwa makubaliano hayo yanaendeleza historia ya ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili na yamekuja wakati ambao Serikali inaendelea kutekeleza mpango wa Bima ya Afya kwa Wote, unaolenga kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya kwa usawa na kwa wakati. NHIF imeeleza kuwa itaendelea kuimarisha ushirikiano na watoa huduma mbalimbali wa afya nchini kwa lengo la kuongeza upatikanaji wa huduma kwa wanachama wake, kuboresha ubora wa huduma na kuhakikisha matibabu yanatolewa kwa ufanisi kwa kuzingatia viwango vinavyotakiwa. Kwa upande wake Mtendaji Mkuu Aga Khan Kanda ya Afrika Mashariki,Dkt. Zeenat Sulaiman amesema Hospitali ya Aga Khan inathamini ushirikiano huo na NHIF, akieleza kuwa makubaliano hayo yanaimarisha dhamira ya taasisi hizo mbili ya kushirikiana katika kuboresha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi. “Ushirikiano huu unaonesha umuhimu wa taasisi za umma na binafsi kushirikiana katika kuimarisha huduma za afya. Tutaendelea kutumia utaalamu, teknolojia na uzoefu wetu katika kutoa huduma za saratani kwa kuzingatia viwango vya kitaalamu,” amesema Dkt. Sulaiman. Kwa mujibu wa makubaliano hayo, wanachama wa NHIF watanufaika na huduma za matibabu ya saratani kwa wagonjwa wa nje katika Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam,Mwamza na kliniki 14 ikiwemo huduma za tiba kwa mionzi na tiba kwa kemikali. Aidha, wanachama wa NHIF watapata fursa ya kuhudhuria kliniki za matibabu ya saratani katika hospitali hiyo na kupata huduma hizo kwa kuzingatia taratibu, masharti na miongozo ya Mfuko. Hatua hiyo inatarajiwa kuongeza wigo wa vituo vinavyotoa huduma za matibabu ya saratani kwa wanachama wa NHIF, huku ikiwapa fursa ya kupata huduma za kibingwa kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu na kutumia teknolojia zinazohitajika katika matibabu ya ugonjwa huo.
Sat, 26 Sep 2026 06:20:41 +0000DMI YATOA WITO KWA WADAU WA UBAHARI
Na Oscar Assenga ,TANGA. CHUO cha Mabaharia Dar es Salaam (DMI) kimewataka wadau wa sekta ya usafirishaji wa majini kushirikiana katika utafiti, mafunzo na ushauri elekezi ili kuandaa wataalamu wenye weledi na uwezo wa kushindana katika soko la ajira ndani na nje ya nchi. Wito huo umetolewa na Makamu Mkuu wa DMI anayesimamia Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi, Profesa Wilfred Kileo, wakati akielezea ushiriki wa chuo hicho katika maadhimisho yaliyofanyika mkoani Tanga. Profesa Kileo alisema DMI imeshiriki katika maadhimisho hayo kutokana na uhusiano wa moja kwa moja uliopo kati ya shughuli za chuo hicho na sekta ya usafirishaji kwa njia ya maji. Alisema chuo hicho kinahusika na utoaji wa elimu na mafunzo ya ubaharia, utafiti pamoja na ushauri elekezi katika masuala mbalimbali yanayohusu sekta hiyo. “Tupo hapa kuwaunga mkono na kuwahamasisha watu wanaohusika na vyombo vya usafirishaji majini, pamoja na watafiti katika masuala ya baharini, kushirikiana nasi ili kujenga Taifa lenye wataalamu wenye weledi na uwezo wa kushindana katika soko la ajira,” alisema. Alisema ushiriki wao pia ni sehemu ya kuunga mkono kauli mbiu ya kuhamisha sera kwenda kwenye utekelezaji, huku akiishukuru Serikali kwa kuandaa maadhimisho hayo mkoani Tanga. Profesa Kileo alisema maadhimisho hayo yamekuwa fursa muhimu ya kuufanya umma wa Tanga kufahamu zaidi shughuli zinazofanywa na DMI, hususan katika kuandaa wataalamu wa sekta ya majini. UBAHARIA SI KAZI YA KUZAMIA Aidha, Profesa Kileo alisema bado kuna mtazamo finyu kwa baadhi ya wananchi kuhusu taaluma ya ubaharia, jambo ambalo linahitaji kubadilishwa kupitia elimu na uhamasishaji. Alisema zamani kulikuwa na dhana kwamba ubaharia ni kazi inayohusisha zaidi watu wanaozamia majini, lakini ukweli ni kwamba taaluma hiyo inahitaji elimu na mafunzo ya kitaalamu yenye viwango. “Baharia ni mtaalamu aliyeiva katika taaluma na ana viwango vyake vya elimu na mafunzo. Hii ni taaluma ya kiwango cha juu inayohitaji maandalizi maalumu,” alisema. Alisema DMI imekuwa ikifanya kampeni mbalimbali katika shule kwa lengo la kuwahamasisha wanafunzi kupenda na kujiunga na masomo yanayohusiana na ubaharia. Kwa mujibu wa Profesa Kileo, kampeni hizo zinalenga kuwajengea vijana uelewa kuhusu fursa zilizopo katika sekta ya usafirishaji wa majini na kuwaandaa mapema kwa masomo yatakayowawezesha kufikia taaluma hiyo. BILIONI 10 VYA VIFAA VYA MAFUNZO Katika hatua nyingine, Profesa Kileo alisema maandalizi ya wataalamu wenye ushindani yanahitaji uwepo wa vifaa maalumu vya kujifunzia na kufanya mafunzo kwa vitendo. Alisema Serikali imeendelea kuwekeza katika vifaa vya mafunzo, ambapo DMI imepata uwekezaji wa karibu Sh bilioni 10 kwa ajili ya vifaa vitakavyowawezesha wanafunzi kujifunza kwa vitendo. Alisema vifaa hivyo ni muhimu kwa sababu vinawapa wanafunzi nafasi ya kufanya mazoezi yanayofanana na mazingira halisi watakayokutana nayo wanapokwenda kufanya kazi baharini. “Tunapoandaa wataalamu wenye ushindani, elimu hiyo inahitaji ushirikiano pamoja na vifaa maalumu vya kufanya mafunzo kwa vitendo. Vifaa hivi vinawawezesha wanafunzi kufanya vitu halisi ambavyo watakwenda kukutana navyo baharini,” alisema.
Sat, 26 Sep 2026 06:23:02 +0000KPMG Receivers Win Legal Round as Court Clears Them to Resume Kampala Cement Receivership Functions
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto: Kenya backs Dangote’s Lamu refinery Ruto says government is removing administrative hurdles ahead of next week’s groundbreaking ceremony
Ruto says government is removing administrative hurdles ahead of next week’s groundbreaking ceremony
RecentlyVETA YASHIRIKI MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI GEITA
Na Mwandishi wetu, Geita MAMLAKA ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA) imeshiriki maonyesho ya kitaifa ya tisa ya teknolojia ya madini yanayofanyika mjini Geita kwa kuitaka jamii kujiunga na VETA ili kupata ujuzi. Mkufunzi wa bidhaa za ngozi kutoka chuo cha VETA Dakawa Morogoro, Hamidu Shabani akizungumza na waandishi wa habari ameiasa jamii kujiunga na VETA ili wapate ujuzi. Hamidu amesema VETA inazidi kupiga hatua kubwa kwani wameongeza kampuni ya Ujuzi ICL kampuni tanzu inayomilikiwa na VETA. "VETA hivi sasa wanafunzi wanajifunza utengenezaji na uuzaji wa bidhaa za ngozi, mfano viatu, mikanda na mikoba," amesema Hamidu. Amesema uuzaji wa bidhaa zote zinazotengenezwa na wabunifu kutoka vyuo vya VETA nchini kupitia duka linaloitwa 'Ujuzi Shop' lililopo kwenye maonyesho hayo na viwanja vya VETA Dodoma makao makuu. Amewakaribisha wananchi wa Geita na washiriki wa maonyesho hayo kufika kwenye banda la VETA na kuuliza maswali na kupata maelezo ya kina juu ya uelewa kuhusu VETA. Mmoja kati ya wakazi wa Manispaa ya Geita, Elias Makelemo amesema amefika banda la VETA na kuvutiwa na namna utengenezaji wa bidhaa za ngozi ulivyo. Makelemo amesema bidhaa za VETA za ngozi ikiwemo viatu, mikoba na mikanda ni imara iliyotengenezwa kwa ustadi mkubwa mithili ya bidhaa kutoka bara la Ulaya kumbe imetengenezwa na VETA.
Sat, 26 Sep 2026 06:17:57 +0000Thailand: Bangkok flooding triggers disaster declaration
Read the full report from the original source.
RecentlyGILBERT KAZIBWE | PML Daily CORRESPONDENT
KAMPALA - Team Uganda is seeking to extend its winning run at the Jubilee Live Free Bike Race when the fifth edition of the competition gets underway at Uhuru Gardens in...
RecentlyTeam Uganda targets fifth straight Nairobi cycling title
KAMPALA - Team Uganda is seeking to extend its winning run at the Jubilee Live Free Bike Race when the fifth edition of the competition gets underway at Uhuru Gardens in...
RecentlyINEC sets Nov 4 to fill Chamwino seat
DODOMA: THE Independent National Electoral Commission (INEC) has set November 4, 2026, as the date for a parliamentary by-election in…
RecentlyKING OYO NEVER DID THIS!! New King Of Tooro Under Fire For Making Adverts Of Fundraising, Are You A Blogger Or King?
Read the full report from the original source.
Recently'Bottle Claus': Kipchoge's 'hero' helping runners chase Berlin marathon glory
Read the full report from the original source.
RecentlyMissing activist Collins Otieno found dumped along Thika Road, rushed to hospital
Read the full report from the original source.
RecentlyMan convicted over 266kg bhang trafficking, fined Ksh24M
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto: Kenya 100% behind Dangote’s Lamu refinery project Ruto says government is removing administrative hurdles ahead of next week’s groundbreaking ceremony
Ruto says government is removing administrative hurdles ahead of next week’s groundbreaking ceremony
RecentlyWakulima watakiwa kuzingatia ubora wa korosho
Read the full report from the original source.
RecentlyMsalato airport set for completion in December
DODOMA: CONSTRUCTION of the Msalato International Airport in Dodoma has entered its final phase, with the infrastructure package 89 per…
RecentlyOpenAI tools post user images from ChatGPT online
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 1040 of 1125 · 22494 stories