Unganishwa

Search the region

22491 stories

Uncategorized · Rwanda Inspirer

Why protecting the ocean is becoming an economic necessity

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

ILANI YA CCM 2025–2030 NI JUMUISHI KWA MAKUNDI YOTE YA KIJAMII,ITATEKELEZWA - RABIA

TABORA, Tanzania Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amesema Ilani ya CCM ya mwaka 2025–2030 ni jumuishi na inalenga kutekeleza mahitaji na matarajio ya makundi yote ya kijamii nchini. Rabia amesema hayo leo, Septemba 25, 2026, wakati akiendelea na ziara ya CCM katika Mkoa wa Tabora yenye lengo la kusikiliza, kuzungumza na wananchi pamoja na kutafuta majawabu ya changamoto zinazowakabili. Katika ziara hiyo, Rabia amekutana na wananchi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii ambao walipata fursa ya kuwasilisha changamoto zao na kutoa maoni kuhusu masuala yanayogusa maisha yao na maendeleo ya maeneo yao. Amesema CCM imeweka katika Ilani yake ya 2025–2030 mipango inayolenga kuhakikisha makundi yote ya kijamii yanashirikishwa na kunufaika na juhudi za Serikali katika kuleta maendeleo. “Ilani ya CCM ya 2025–2030 ni jumuishi kwa makundi yote ya kijamii. CCM itatekeleza ahadi zote ilizowaahidi wananchi,” amesema Rabia. Amesema Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuonesha kwa vitendo dhamira ya kutekeleza ahadi zinazotolewa kwa wananchi, akisisitiza kuwa kila kundi la kijamii lina nafasi na umuhimu katika kuchangia maendeleo endelevu ya Taifa. Rabia amesihi wananchi kuendelea kutoa maoni na kuwasilisha changamoto zao kupitia viongozi wa CCM na Serikali ili ziweze kufanyiwa kazi kwa mujibu wa mipango na vipaumbele vilivyowekwa. Amesema CCM itaendelea kuwa karibu na wananchi kwa kusikiliza changamoto zao na kuhakikisha majawabu yanapatikana kwa lengo la kuboresha maisha yao na kuimarisha maendeleo ya Taifa.

Fri, 25 Sep 2026 19:51:54 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Counties spend Ksh.17B on travel as pending bills hit Ksh.172B - Controller of Budget

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

How Makerere scheme gave hope to 4,000 sex workers to age with dignity

Nearly 4,000 sex workers have been offered a path towards financial security and alternative livelihoods through a social security scheme supported by researchers at Makerere…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Supreme Court lifts recusal of four judges in Ksh.4.5B Tuju-EADB dispute

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Pakistan's Sharif rails against India, praises Trump at UNGA

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

CCM Tanga shwari, Sh Bil 35 kupeleka maji Mkinga

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Le Renouveau du Burundi

Commune Gisuru : A Kabuyenge, la Coopec rapproche les services financiers des acteurs économiques

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

News Brief: Election rigging ghosts resurface These are the stories making the headlines

These are the stories making the headlines

Recently
Uncategorized · Rwanda Inspirer

Women and girls with disabilities call for greater inclusion in decision-making

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Africa needs its own AI solutions, not borrowed ones, says expert

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Xi wraps up US visit with trip to National Archives

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Tuvalu urges decisive global action as rising seas threaten its future

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

Madagascar’s Gen Z ‘betrayed’ after ushering in new rule

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Motorcycle used in fatal shooting of lawyer Mbobu recovered

A Nairobi court has granted DCI 15 days to continue detaining four suspects arrested in connection with the killing

Recently
Uncategorized · UBC

UN rights chief ‘deeply alarmed’ by escalating fighting in Ethiopia

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

RDC : vacciner les soignants contre Ebola

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

Embolo follows Xhaka out of Swiss squad over fake Covid documents

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Detectives recover motorcycle allegedly used to ferry gunman in lawyer Kyalo Mbobu murder

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

British climber dies after falling 60m on Spanish mountainside The man fell into a gully while descending from the summit of Torrecerredo.

The man fell into a gully while descending from the summit of Torrecerredo.

Recently

Page 1044 of 1125 · 22491 stories