Search the region
22465 stories
Sifuna eyes Ruto showdown as he switches to UDP These are the stories making the headlines
These are the stories making the headlines
RecentlyTANZANIA YAONESHA UWEZO WAKE KIMATAIFA KUTOKOMEZA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI
Na Hassan Kimweri, WAF – New York Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe, amesema Tanzania inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kukabiliana na changamoto za magonjwa ikowemo saratani ya mlango wa kizazi kwa kuimarisha chanjo, uchunguzi wa mapema, utambuzi na matibabu ya ugonjwa huo kwa wakati. Dkt. Magembe ameyasema hayo Septemba 23, 2026 pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) jijini New York, Marekani katika mkutano wa ngazi ya juu wa wadau ulioandaliwa na 'Business Council for International Understanding' (BCIU) ambao umelenga kuharakisha juhudi za kutokomeza saratani ya mlango wa kizazi. "Tanzania imepiga hatua katika lengo la kwanza la mkakati wa kimataifa wa 90-70-90, ambapo zaidi ya asilimia 95 ya wasichana wamefikiwa na chanjo dhidi ya Virusi vya Human Papilloma (HPV), lakini pia kuna umuhimu wa kuongeza kasi katika uchunguzi na matibabu," amesema Dkt. Magembe Aidha, Dkt. Magembe amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inaendelea kuongeza uwekezaji na kupanua huduma za uchunguzi, hususan maeneo ya vijijini, ikiwemo kutumia mfumo wa wanawake kujichukulia sampuli za HPV DNA ili kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma hizo. Katika hatua nyingine, Dkt. Magembe amesema Serikali imesambaza vifaa 359 vya 'thermocoagulation' na mashine 33 za LEEP, huku wataalamu 4,032 wa afya wakipatiwa mafunzo ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi. Pia, amesema, Serikali ya Tanzania inaendelea kujaribu matumizi ya teknolojia ya akili mnemba (AI), ikiwemo mfumo wa SEVIA, katika kuboresha huduma za uchunguzi. Mwisho, Dkt. Magembe amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa Serikali, sekta binafsi, wadau wa maendeleo na jamii katika kuondoa unyanyapaa na kuongeza uhitaji wa huduma, ambapo Tanzania inalenga kuhakikisha kila msichana anapata chanjo, kila mwanamke anapata uchunguzi bora na kila anayehitaji matibabu anapata huduma kwa wakati na kwa gharama nafuu kupitia mpango wa Bima ya Afya kwa wote.
Thu, 24 Sep 2026 18:57:45 +0000Ethiopia's military says it killed hundreds of TPLF rebels
Read the full report from the original source.
RecentlyKipruto aims to go one better in Chicago as Kenya Marathon Dinner Welcomes Elite Runners to Illinois
Latest · Athletics
RecentlyMuturi disowns fake quote attacking Sifuna Muturi says the statement circulating online was fabricated and intended to create divisions.
Muturi says the statement circulating online was fabricated and intended to create divisions.
RecentlyFour killed in separate incidents as police seize 48 AK-47 rounds in Kitui
Read the full report from the original source.
RecentlyFake news: Muturi disowns quote calling out Sifuna Muturi says the statement circulating online was fabricated and intended to create divisions.
Muturi says the statement circulating online was fabricated and intended to create divisions.
RecentlyRAIS SAMIA AKIHIMIZA MATUMIZI MADOGO YA MAFUTA, JETOUR YAJA NA TEKNOLOJIA MPYA
Katika kipindi ambacho dunia inakabiliwa na changamoto za upatikanaji wa mafuta na kupanda kwa gharama za nishati, matumizi ya magari yenye teknolojia inayowezesha kupunguza utegemezi wa mafuta yanaendelea kuwa sehemu muhimu ya kukabiliana na changamoto hiyo. Tanzania nayo haiko nje ya mazingira hayo, huku Serikali chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ikiendelea kuhimiza matumizi yenye ufanisi ya nishati na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya mafuta. Katika kuunga mkono jitihada hizo za Serikali na kuwapa Watanzania fursa ya kutumia usafiri unaozingatia matumizi bora ya nishati, JETOUR Tanzania imezindua JETOUR Club pamoja na kutambulisha magari mawili mapya yenye teknolojia ya plug-in hybrid, JETOUR G700 na JETOUR F700, yanayochanganya matumizi ya umeme na mafuta. Hatua hiyo inalenga kuongeza chaguo kwa Watanzania wanaohitaji magari yenye uwezo wa kusafiri katika mazingira mbalimbali huku yakitoa fursa ya kutumia umeme katika safari fupi na mafuta katika safari ndefu, tofauti na magari yanayotegemea mafuta pekee. Uzinduzi huo umefanyika chini ya kaulimbiu ya “Africa Expedition 2025”, ukiwa sehemu ya mpango wa JETOUR Tanzania, kwa kushirikiana na Africarriers Group, wa kuimarisha uwepo wa chapa hiyo katika soko la Tanzania na wakati huo huo kuunganisha teknolojia ya magari ya kizazi kipya na uzoefu mpana wa umiliki. Mkurugenzi Mtendaji wa JETOUR Tanzania, Zain Pirbhai, amesema kampuni hiyo inalenga kuwapa wateja magari yanayokidhi mahitaji ya matumizi ya kila siku, safari za masafa marefu pamoja na shughuli za nje, huku teknolojia ya plug-in hybrid ikitoa unyumbufu katika matumizi ya nishati.
Thu, 24 Sep 2026 18:24:39 +0000CCM INAENDELEA KUSHUGHULIKIA MATATIZO YA WANANCHI - RABIA
Singida, Tanzania Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea kutimiza wajibu wake wa kushughulikia changamoto na matatizo yanayowakabili wananchi kwa vitendo. Rabia amesema hayo leo, Septemba 24, 2026, alipokuwa katika ziara mkoani Singida, ambapo amepokelewa katika Ofisi za CCM Mkoa wa Singida na baadaye kutembelea Jengo la Wazazi katika Hospitali ya Mkoa wa Singida, mjini Singida. Akiwa hospitalini hapo, Rabia amejionea utekelezaji wa Ilani ya CCM, hususan katika utoaji wa huduma za afya kwa wanawake na watoto. Katika ziara hiyo, pia ametembelea vikundi vya wajasiriamali na kusikiliza changamoto mbalimbali zinazowakabili, huku akitoa maelekezo ya namna ya kuzitatua. Aidha, amekutana na kusikiliza maoni na changamoto za makundi mbalimbali ya kijamii, yakiwemo viongozi wa dini, wazee, machifu, wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, mafundi gereji, mafundi ujenzi, wanamichezo, wanafunzi wa vyuo, walimu, machinga, mawinga, mama na baba lishe, watu wenye mahitaji maalum, wajane na wagane, vyama vya ushirika pamoja na maafisa usafirishaji. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Rabia amesema CCM itaendelea kuwa karibu na wananchi na kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa ufumbuzi kwa kuzingatia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025–2030. “CCM itaendelea kutimiza wajibu wake kikamilifu wa kushughulikia changamoto pamoja na matatizo ya wananchi, kama ilivyoahidi katika Ilani yake ya 2025–2030. Hivyo, wananchi waendelee kuiamini CCM kwani ipo kazini kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa ufumbuzi wa moja kwa moja,” amesema Rabia.
Thu, 24 Sep 2026 18:26:16 +0000Two Ugandan teenagers, suspected dealer arrested in Ksh.5M Ruai bhang bust
Read the full report from the original source.
RecentlySifuna to be unveiled as UDP presidential aspirant in October- Natembeya
Read the full report from the original source.
Recently'Tampered IEBC servers, rejected ballots,' Moses Kuria claims how 2013 elections were rigged to favour Uhuru
Read the full report from the original source.
RecentlyPolice arrest prime suspect in killing of Afrigo Band’s Moses Matovu
Police have arrested a 41-year-old man they describe as the prime suspect in the killing of Afrigo Band founding member Moses Matovu, who died on Thursday after he was attacked in...
RecentlyMbobu killing: Detectives arrest third suspect The rider is suspected of monitoring Mbobu before he was fatally shot along Magadi Road.
The rider is suspected of monitoring Mbobu before he was fatally shot along Magadi Road.
RecentlyJournal 17hTU (24.09.26)
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlySh8.2bn meth haul incinerated under court supervision as 6 Iranians stand trial
News · 7 hours ago
RecentlyJudge temporarily overturns Trump’s White House media ban
Latest · World
RecentlyTrump and Xi hold US-China talks in Oval Office
Read the full report from the original source.
RecentlyKakamega: Two arrested for posing as EACC detectives, demanding Ksh.100K bribe
Read the full report from the original source.
RecentlyWhite House restores access to media outlets banned by Trump CNN, Politico and MS NOW were allowed back into the White House after some of their staff were earlier turned away.
CNN, Politico and MS NOW were allowed back into the White House after some of their staff were earlier turned away.
RecentlyPage 1066 of 1124 · 22465 stories