Search the region
22457 stories
In Tanzania, the sea is moving inland – and taking livelihoods with it
Read the full report from the original source.
RecentlyKariobangi Sharks, Mombasa United agree to playoff The first leg will be played in Mombasa on October 1, with the return leg scheduled for Nairobi on October 6.
The first leg will be played in Mombasa on October 1, with the return leg scheduled for Nairobi on October 6.
RecentlyTaRL approach hailed for boosting literacy, numeracy skills in Tanga region
TANGA: THE Teaching at the Right Level (TaRL) approach that groups children according to their actual level of understanding, rather…
RecentlyTASAC YAWEKA MKAZO USALAMA WA ABIRIA BAHARINI
Na Oscar Assenga,Tanga SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewataka wamiliki na waendeshaji wa vyombo vya usafiri majini kuhakikisha wana vifaa vya kutosha vya uokoaji ili kuwawezesha abiria kujinusuru wakati wa dharura. Aidha, abiria wametakiwa kuzingatia maelekezo yanayotolewa na manahodha, hususan wakati chombo kinapokumbana na hitilafu au changamoto inayoweza kuhatarisha maisha yao. Kauli hiyo hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kapteni Mussa Mandia, wakati wa mazoezi ya utafutaji na uokoaji wa abiria yaliyofanyika katika Bahari ya Hindi, mkoani Tanga. Mandia alisema mazoezi hayo yalilenga kuonesha namna shughuli za utafutaji na uokoaji zinavyofanyika wakati wa dharura, huku akisisitiza umuhimu wa abiria kufuata maelekezo ya manahodha na kutumia vifaa vya kujiokoa. “Hii ni sehemu ya kuonesha namna utafutaji na uokoaji wa abiria unavyofanyika wakati wa safari. Natumaini itawakumbusha madereva na abiria umuhimu wa kuzingatia maelekezo ya nahodha, kuvaa vifaa vya kujiokoa na kutoa taarifa za dharura mapema,” alisema. Aipongeza Serikali Katika hatua nyingine, Mandia aliipongeza Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa hatua zinazochukuliwa kuboresha miundombinu ya usafiri na uchumi wa bahari nchini. Alisema maboresho yaliyofanyika katika Bandari ya Tanga yameongeza uwezo wa bandari hiyo kuhudumia meli kubwa, hatua aliyosema imeendelea kufungua fursa za kiuchumi na kuitangaza Tanzania kimataifa. “Tunaipongeza Serikali kwa juhudi kubwa za kuboresha miundombinu ya usafiri na uchumi wa bahari. Maboresho makubwa ya Bandari ya Tanga yameongeza uwezo wa bandari na kuleta matokeo chanya katika shughuli za bandari hii,” alisema. Mandia pia alitaja hatua ya Serikali kuwezesha kupatikana kwa boti nne maalumu kwa ajili ya shughuli za utafutaji na uokoaji, ambazo zimewekwa katika maeneo mbalimbali likiwamo Bandari ya Tanga, Ziwa Victoria na Kigoma. Alisema pia kuna boti maalumu ya kutoa huduma kwa wagonjwa iliyopo mkoani Mwanza. Tanzania yazingatia mikataba ya IMO Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Uchukuzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa maandalizi ya maadhimisho hayo yanayofanyika kitaifa mkoani Tanga, Stella Katondo, alisema Tanzania inaendelea kutekeleza mikataba ya kimataifa inayosimamiwa na Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Majini (IMO) kuhusu utafutaji na uokoaji. Katondo alisema Serikali imekuwa ikiandaa mazingira wezeshi yatakayosaidia kuimarisha usalama wa usafiri wa majini na kuhakikisha uokoaji wa maisha unakuwa kipaumbele wakati wa dharura. “Tunafanya haya kwa kuzingatia kwamba Tanzania kama mwanachama tumeridhia mkataba wa kimataifa wa utafutaji na uokoaji unaosimamiwa chini ya SOLAS na IMO. Tuna wajibu wa kuokoa maisha kwanza, ndiyo maana tunazingatia taratibu zote,” alisema. Alisema Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi inaendelea kuhakikisha kunakuwa na wataalamu wenye weledi na wanaokidhi viwango vya kimataifa katika eneo la utafutaji na uokoaji. Wataalamu kujiweka tayari Naye Mkaguzi wa Meli za Kitaifa na Kimataifa pamoja na vyombo vidogo kutoka TASAC, Mhandisi Ally Diwani, alisema kutokana na maboresho yanayoendelea kufanywa na Serikali katika sekta ya usafiri wa majini, wataalamu wanapaswa kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kujiweka tayari kukabiliana na dharura. Alisema mazoezi hayo ni muhimu katika kuhakikisha wataalamu wanakuwa tayari wakati wote kwa ajili ya kufanya shughuli za utafutaji na uokoaji pale inapohitajika.
Thu, 24 Sep 2026 13:55:30 +0000LIVE: Climate change is here - What happens next is still in our hands
Read the full report from the original source.
RecentlyLes défis des agriculteurs, au cœur d’une foire d’exposition-vente des produits agricoles et d’élevage
Read the full report from the original source.
RecentlyEU to condemn war in Ukraine at G20 even if Putin attends
Read the full report from the original source.
RecentlyUS-China talks on trade, AI between Trump, Xi beckon
Read the full report from the original source.
RecentlyEthiopia's army says it has repelled attacks on fresh fighting The military says its soldiers inflicted casualties as fears grow of a resumption of a full-blown civil war.
The military says its soldiers inflicted casualties as fears grow of a resumption of a full-blown civil war.
RecentlyLATRA generates 2.13tri/- from land transport’s ticket sales between 2022/23 and 2025/26 financial years
Read the full report from the original source.
RecentlyAfrican Scientists Face Research Funding Strain as US Health Funding Shifts
Read the full report from the original source.
RecentlyZanzibar meets GAVI in talks to bolster immunization services in the Isles
DAR ES SALAAM: THE Zanzibar’s Ministry of Health Principal Secretary, Dr Mngereza Mzee Miraji, has held talks with Gavi’s Tanzania…
RecentlyTanzania touts for women’s participation in peace and security processes in Great Lakes region
Read the full report from the original source.
RecentlyZanzibar equips its community health workers with skills to tackle climate change effects
ZANZIBAR: ZANZIBAR’S Ministry of Health has urged healthcare providers and Community Health Workers (CHWs) to make full use of the…
RecentlyMwangi sets sights on successive KAGC wins as series heads to Nanyuki Open
Latest · featured
RecentlyNatembeya: Luhyas not interested in being Ruto’s number 2
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania calls for stronger efforts to bolster maternal health, survival of women, newborns and children
NEW YORK: VICE President, Deogratius Ndejembi, speaking on behalf of President Samia Suluhu Hassan, has called for stronger efforts to…
RecentlyKindiki directs agencies to fast-track flood mitigation works ahead of El Niño
Deputy President Kithure Kindiki has directed government agencies to speed up flood mitigation works in Nairobi as the city prepares for the expected El Niño rains. Kindiki, who chaired a…
RecentlyPetition seeks to block third term for AFC boss George Kubai
Business · 4 hours ago
RecentlyAfrica’s AI ambitions have a disability data problem. A new initiative wants to solve it.
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 1071 of 1123 · 22457 stories