Unganishwa

Search the region

22453 stories

Uncategorized · Isango Star

Amb. Gasamagera Wellars yatorewe guhagararira imitwe ya Politiki muri Sena

Amb. Gasamagera Wellars yatorewe guhagararira mu Nteko ihuriro ry’Igihugu nyunguranabitekerezo ry’imitwe ya politiki nk’umusenateri nyuma yo gutangwa nk'umukandida na FPR Inkotanyi. Agiye gusimbura Senateri Mukabalisa Donatilla uherutse kwitaba Imana.

Thu, 24 Sep 2026 14:47:13 +0200
Uncategorized · Capital FM

Fury vs Joshua announced for 11 December in Cardiff

Latest · Boxing

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

KNUT protest transfer of 15,000 members to KUPPET TSC boss Everleen Mitei says they acted as per court order

TSC boss Everleen Mitei says they acted as per court order

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Pointi 3 Kwenda Kwa Nani Leo?

MECHI za Kimataifa Duniani kuanza leo ambapo tayari wakali wa ubashiri wamekuwekea machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi hizo. Ingia kwenye akaunti yako na uwe mshindi sasa. Alhamisi hii tutaenda kushuhudia mechi ya kibabe ya UEFA Nations League kati ya Uholanzi dhidi ya Ujerumani huku timu zote mbili zikiwa zimejiandaa vyema kabisa kupata ushindi mnono kwenye hili Kundi lao ambalo wapo. Timu zote mbili zina makocha wapya hivyo hii inakuwa mara yao ya kwanza kukutana ambapo kocha wa Uholanzi ni Xavi Hernandez ambaye amekabidhiwa kijiti cha kuinoa timu hiyo, huku kwa upande wa Ujerumani wao wana Jurgen Klopp ambaye anahitaji kurejesha matumaini kwa klabu hiyo kubwa Duniani. Hii ni mechi ya kwanza wa Xavi Hernandez akiwa na Uhalonzi kama tunavyojua ni kocha ambaye anapenda timu icheze kwa kumiliki mpira na kushambulia lango la mpinzani inapopata nafasi hiyo. Lakini pia timu hiyo ina wachezaji wakubwa na wenye uwezo mzuri akiwepo Van Dijk, De Jong, Gakpo Memphis Depay na wengine wengi. Mkwanja mrefu upo kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator , Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Vilevile kwa upande wa Jurgen Klopp hii ni mechi yake ya kwanza akiwa kama kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Ujerumani baada ya kuchukua mikoba ya Nagelsmann huku kocha huyo mwenye mafanikio makubwa akiwa ni tumaini kwenye Taifa hilo. Ujerumani wakiwa kama washindi wa Kombe la Dunia 2014 wana wachezaji wenye uwezo mkubwa kabisa kama vile Joshua Kimmich, Musiala, Floarian Wirtz, Hevertz na wengine wengi ambao wanaungana kutengeneza kikosi hiki chenye uwezo mkubwa kabisa Duniani. Uholanzi itataka kumiliki mpira na kujenga mashambulizi kwa utulivu, wakati Ujerumani chini ya Klopp inaweza kutafuta kutumia presha zaidi kwenda kwa mpinzani wao. Kwa upande mwingine, kama Ujerumani itaruhusu Uholanzi kumiliki mpira kwa muda mrefu bila kuweka presha sahihi, De Jong, Reijnders na Gravenberch wanaweza kuanza kuutawala mchezo. Jisajili hapa. Timu hizi mbili zimeshakutana sana na mara ya mwisho Ujerumani ndiye ambaye aliibuka mshindi. Je leo hii nani ataibuka na ushindi?. Odds Kubwa zipo kwenye mechi hii, hivyo bashiri sasa. Mechi nyingine ni hii ya Norway dhidi ya Denmark ambapo wenyeji wanaingia kwenye mchezo huu wakihitaji kufanya mashambulizi zaidi kwenda kwa mpinzani kwani wana mshambuliaji hatari Duniani Erling Haaland na ni salaha kubwa sana kwenye kikosi hicho. Ukiachilia kuwa na mshambuiliaji huyo, pia wana wachezaji wenye uwezo wa kuleta kasi pembeni na kusaidia kutengeneza nafasi, huku Martin Ødegaard akiwa muhimu katika kuunganisha kiungo na safu ya ushambuliaji. Kinachoweza kuwa muhimu ni namna Norway itakavyomtafuta Haaland. Ikiwa Denmark itafanikiwa kumtenga na mipira, Norway inaweza kulazimika kutumia zaidi mashambulizi ya pembeni. Huku Denmark wao wanaingia kwenye mchezo wakiwa na uzoefu mkubwa wa kucheza mechi za kiwango hiki. Hii si timu inayotegemea mchezaji mmoja pekee; nguvu yake kubwa ipo katika mpangilio wa timu, matumizi mazuri ya mpira na uwezo wa kucheza kwa nidhamu. Eneo la kiungo litakuwa muhimu sana. Denmark ikifanikiwa kudhibiti tempo na kuwazuia Ødegaard pamoja na viungo wa Norway kupata nafasi ya kupiga pasi za mwisho, itapunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya Haaland. Lakini Denmark pia lazima iwe makini inapopoteza mpira. Norway ina uwezo wa kubadilisha mchezo kutoka kujilinda kwenda kushambulia kwa kasi, hasa ikiwa Ødegaard atapata nafasi ya kuanzisha mashambulizi. Mechi mbili za mwisho kukutana kati yao Denmark aliondoka na ushindi, hivyo hii ni mechi ya kisasi kwa kina Haaland na wenzake. Suka jamvi hapa.

Thu, 24 Sep 2026 04:30:00 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Uhuru is shooting himself in the foot over Raila's 2022 win; MP Kitany says

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

KOMBO: WANAWAKE MUHIMU KUPATA SULUHISHO LA AMANI MASHARIKI MWA DRC

Na Mwandishi Wetu, New York WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesema ushiriki wa wanawake katika michakato ya amani ni muhimu katika kupata suluhisho endelevu kwa changamoto za usalama katika eneo la Maziwa Makuu, hususan Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mhe. Kombo ameyasema hayo katika Mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu kuendeleza Ajenda ya Wanawake, Amani na Usalama katika juhudi za amani eneo la Maziwa Makuu, uliofanyika pembezoni mwa Kikao cha 81 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, jijini New York, Marekani. Amesema hali ya usalama Mashariki mwa DRC inaendelea kuwa ya kutia wasiwasi, huku wanawake na wasichana wakikabiliwa na changamoto mbalimbali, ikiwemo kuhama makazi, ukatili wa kingono na ukosefu wa mahitaji muhimu. Kutokana na hali hiyo, Mhe. Kombo amesema Tanzania imesisitiza umuhimu wa utekelezaji wa Azimio Na. 1325 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, linalohimiza ushiriki wa wanawake katika kuzuia na kutatua migogoro, pamoja na kujenga na kudumisha amani. Amesema Tanzania imeandaa Mpango wa Kwanza wa Kitaifa wa Wanawake, Amani na Usalama wa 2025–2029, uliozinduliwa Agosti 19, 2025, unaolenga kuongeza ushiriki na uongozi wa wanawake katika masuala ya amani na usalama, pamoja na kuimarisha ulinzi na mifumo ya urejeshaji inayozingatia jinsia. Aidha, Mhe. Kombo amesema Tanzania itaendelea kushiriki katika juhudi za kikanda kupitia Mkutano wa Kimataifa wa Maziwa Makuu (ICGLR), ikiwemo utekelezaji wa Mpango wa Kikanda wa Kizazi cha Pili na Mkakati wa Upatanishi na Uratibu unaozingatia jinsia. Amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi za eneo la Maziwa Makuu katika juhudi za kujenga amani, usalama na utulivu wa kudumu. Kwa upande wake, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika kuhusu Wanawake, Amani na Usalama, Mhe. Balozi Liberata Mulamula, amesema wanawake hawapaswi kuishia kushirikishwa katika michakato ya amani, bali wanapaswa kupewa nafasi, mamlaka na msaada unaowawezesha kushiriki kikamilifu katika maamuzi yanayounda amani. Amesema ushiriki wa wanawake katika maamuzi ya amani ni muhimu katika kuhakikisha suluhisho zinazopatikana zinakuwa shirikishi, endelevu na zinazingatia mahitaji ya makundi mbalimbali katika jamii.

Thu, 24 Sep 2026 12:47:57 +0000
Uncategorized · PML Daily

Uganda calls for stronger regional cooperation against terrorism in Africa

NEW YORK – Uganda has called for closer regional collaboration, coordinated border management and predictable funding for African-led peace and security operations to counter terrorism and violent extremism on the contin

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Global powers with the most submarines In 2026

In 2026

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Germany news: Berlin officially withdraws Olympics bid

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kura

Can Rwanda make agriculture a career young people actually want?

Across Rwanda, agriculture remains a major source of work. But for many young people, farming still means small plots, uncertain income, and seasonal work. A

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

LATRA yapanua matumizi ya teknolojia, yaongeza udhibiti wa usafiri

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Ways to Whiten Your Nails Naturally

DAR ES SALAAM: WHITENING your nails can be done with simple, natural ingredients from your kitchen. Here are some effective…

Recently
Uncategorized · PML Daily

Govt confirms Edward Rukidi Nyaboongo I as new Tooro King, coronation set for September 29

KAMPALA — The Government has formally recognised Prince Edward Rukidi Kijanangoma as the successor to the late King Oyo Nyimba Kabamba Iguru Rukidi IV, paving the way for his coronation as...

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MBUNGE WA KILINDI SALEHE MHANDO AUNGANA NA WANANCHI WAKE KUSUKUMA MAENDELEO JIMBONI KWAKE .

MAMIA ya wananchi wa Kata ya Pagwi, Wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, wamejitokeza kwa wingi kumlaki Mbunge wa Jimbo la Kilindi, Mhe. Salehe Mbwana Mhando, wakati wa ziara yake katika Vijiji vya Pagwi, Lumotio na Chamtui. Ziara hiyo imekuwa ya aina yake baada ya Mhe. Mhando kuonyesha kwa vitendo mshikamano na wananchi katika kusukuma maendeleo, ikiwemo kubeba mwenyewe mifuko ya saruji mabegani kuelekea eneo la ujenzi wa Zahanati ya Pagwi. Katika ujenzi huo unaotekelezwa kwa nguvu za wananchi, Mhe. Mhando alikabidhi mifuko 50 ya saruji pamoja na Sh500,000 taslimu kwa ajili ya kuunga mkono ujenzi huo. Mbunge huyo pia aliahidi kuongeza mifuko mingine 100 ya saruji, akisema hatua hiyo inalenga kuongeza kasi ya kukamilika kwa zahanati hiyo na kuwawezesha wananchi kupata huduma za afya karibu na makazi yao. Zahanati hiyo inatarajiwa kupunguza adha ya wananchi wa Pagwi ambao wamekuwa wakilazimika kusafiri hadi Lumotio kufuata huduma za afya. Akizungumza na wananchi wakati wa ziara hiyo, Mhe. Mhando alisema ataendelea kuifuatilia Kata ya Pagwi na kusukuma mbele hoja za maendeleo, akisisitiza kuwa changamoto za wananchi zinapaswa kutafutiwa ufumbuzi hatua kwa hatua. “NITAITIFUA TIFUA PAGWI HADI KIELEWEKE,” alisema Mhe. Mhando, akiahidi kuendelea kufuatilia kwa karibu masuala ya maendeleo katika kata hiyo. Alitaja maeneo ya kipaumbele kuwa ni pamoja na barabara, maji, umeme, afya na madaraja, akisema miundombinu bora ni muhimu kwa maendeleo ya wananchi na shughuli zao za kiuchumi. BARABARA SUNYA–PAGWI–MAKELELE Mhe. Mhando pia alizungumzia changamoto ya barabara ya Sunya–Pagwi–Makelele, akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuifuatilia ili kurahisisha usafiri na usafirishaji wa bidhaa kwa wananchi. Aidha, aligusia changamoto ya Daraja la Makelele, linalounganisha maeneo ya Lumotio na Makelele, akisema wakati jitihada za kupata daraja la kudumu zikiendelea, ni muhimu kutafutwa kwa haraka kwa daraja la muda ili wananchi wasikwame katika shughuli zao. Alisema pia kuna umuhimu wa kuendelea kufungua mawasiliano ya barabara katika njia za Sunya–Lumotio–Makelele–Sambu–Songe, pamoja na Kikunde–Chamtui–Lumotio–Sunya. UMEME WAFIKA MALALI NA MASIMBA Katika sekta ya umeme, Mhe. Mhando alisema maeneo ya Malali na Masimba tayari yamefikiwa na huduma hiyo, huku akisisitiza kuwa jitihada zitaendelea ili maeneo mengine nayo yaunganishwe na umeme. ATOA SHILINGI MILIONI MOJA UJENZI OFISI YA KIJIJI. Akiwa katika Kijiji cha Chamtui, Mhe. Mhando alitoa Sh 1 milioni kwa ajili ya ununuzi wa bati zitakazotumika katika upauaji wa jengo la Ofisi ya Kijiji hicho. Mbali na hilo, alilipia ada vijana watano kutoka Chamtui kwenda kupata mafunzo ya ufundi katika Chuo cha VETA, hatua inayolenga kuwawezesha kupata ujuzi wa kuwaongezea fursa za kujiajiri na kushiriki katika shughuli za kiuchumi. MICHEZO YAPATA MSUKUMO Mhe. Mhando pia alitoa jezi kwa timu mbalimbali za soka katika maeneo aliyotembelea, zikiwemo Lipuli FC ya Chamtui, Mikocheni FC ya Mtakuja, Azam FC ya Chang’ombe na Toto FC ya Nyamaleni. Aidha, alikabidhi jezi kwa timu mbili za Kijiji cha Pagwi pamoja na jozi moja kwa ajili ya wanafunzi. WANANCHI TUMEONA JITIHADA ZA MBUNGE WETU Kwa upande wao, wananchi wa Kata ya Pagwi walimshukuru Mhe. Mhando kwa kuwafikia, kuwasikiliza na kushirikiana nao katika kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili. Walisema wamefarijika kuona Mbunge wao akijikita katika masuala yanayogusa maisha yao moja kwa moja, yakiwemo afya, barabara, maji, umeme, madaraja, elimu na fursa kwa vijana. Wananchi hao pia walimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuunga mkono utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini. Ziara ya Mhe. Mhando katika Kata ya Pagwi imeweka msisitizo katika ushirikiano kati ya wananchi na viongozi katika kutafuta ufumbuzi wa changamoto za maendeleo, huku ahadi na michango iliyotolewa ikitarajiwa kuongeza kasi ya utekelezaji wa baadhi ya miradi katika eneo hilo.

Thu, 24 Sep 2026 12:34:44 +0000
Uncategorized · Radio Publique Africaine

Le flou persiste autour des fonds destinés à l’alimentation des détenus au Burundi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Waterborne diseases in Kirinyaga drop by 63pc after Mwea water project

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Who are the 7 officials in Nyoro’s People’s Party team? The party has released details of the officials’ education, careers and areas of experience.

The party has released details of the officials’ education, careers and areas of experience.

Recently
Uncategorized · UBC

Fame Mukisa Lands Major Media Sponsorship Deal as Fame Events NL takes Center Stage in Amsterdam

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

Speaker Oboth Brokers Truce in BOU- SACCOs Licencing Stand-off, Directors MoFPED to Draft Amendment Bill

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Kaya zaidi ya 40 zaagizwa kuhama Same

KILIMANJARO: ZAIDI ya kaya 40 katika Kijiji cha Marieni, Kata ya Chome, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, zimeagizwa kuhama makazi…

Recently

Page 1072 of 1123 · 22453 stories