Search the region
22453 stories
Rwanda urges UN to address FDLR and mercenary threat in eastern DR Congo
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya among countries facing acute food insecurity report
Read the full report from the original source.
RecentlyIPOA begins probe into death of man found hanging at Naromoru police cell
Read the full report from the original source.
RecentlyL’instrumentalisation d’une communauté meurtrie : Comment Pacifique Nininahazwe a vendu son âme à Kigali sur le dos des Banyamulenge
Dans une mise au point d’une rare sévérité, l’organisation Banyamulenge Global Advocacy (BGA) démonte la mascarade d’un opposant burundais en exil qui, sous couvert de défendre les Banyamulenge, tente de réhabiliter le mouvement armé RED-Tabara, responsable de milliers de morts depuis 2017....
Thu, 24 Sep 2026 12:04:58 +0000Rwanda’s key crop production rises during 2026 Season B
Read the full report from the original source.
RecentlyUNEB Registers 1.63 Million Candidates for 2026 National Examinations
Read the full report from the original source.
RecentlyAirtel, Starlink launch satellite service for phones outside mobile coverage
Read the full report from the original source.
RecentlyNSSF declares record Shs5.44 trillion interest payout to savers
KAMPALA — The National Social Security Fund (NSSF) has announced a record 22.53 per cent interest rate for members for the 2025/26 financial year, with Shs5.44 trillion set to be credited...
RecentlyJustice Has No Expiry Date: What the Charging of Dr Vincent Bajinya Means for Genocide Fugitives Worldwide
Read the full report from the original source.
RecentlyUganda Pushes Gender Equality and Regional Security Agenda at UN General Assembly
Read the full report from the original source.
RecentlyIs Nigeria’s higher education sector ready for a true digital leap?
Read the full report from the original source.
RecentlyWays to create colour combos
DAR ES SALAAM: MONOCHROMATIC colour scheme: Use one colour in varying tints and shades. Analogous colour scheme: Use three colours…
RecentlyTG GOODNESS GROUP NYAMITONDO GEITA WASHIRIKI MAONYESHO YA MADINI
Na Mwandishi Wetu, Geita KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya TG Goodness Group, iliyopo Nyamitondo mkoani Geita, imeshiriki katika Maonyesho ya Tisa ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini, yanayofanyika katika Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Manispaa ya Geita. Akizungumza katika maonyesho hayo, Katibu Mkuu wa mgodi huo, John Jande Richard, amesema baadhi ya wachimbaji wa kampuni hiyo wameshiriki maonyesho hayo na kupata mafunzo mbalimbali kwa wachimbaji wadogo yaliyotolewa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA). Jande amesema licha ya kuwa ni mara ya kwanza kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo kushiriki katika maonyesho hayo, wameweza kunufaika na elimu mbalimbali, hususan kuhusu usalama na afya katika shughuli za uchimbaji wa madini. Amesema pia wamepata fursa ya kusikiliza nasaha zilizotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sanga, wakati akifungua mafunzo kwa wachimbaji wa madini. “Maonyesho ni mazuri, wachimbaji wengi wameshiriki na tumepata elimu kuhusu uchimbaji wa madini kwa usalama kupitia kaulimbiu ya ‘Tuamini Kazi Yako, Jikinge na Ajali,’” amesema Jande.
Thu, 24 Sep 2026 11:57:53 +0000« Je n'ai jamais ressenti une telle chaleur » : le témoignage d'un survivant qui a vu mourir 33 de ses codétenus au Nigeria
La BBC pénètre à l'intérieur de la prison où les détenus étaient piégés dans des conditions suffocantes et exiguës.
RecentlyUS Commends Rwanda For Delivering as Kinshasa Dodges Peace Deal
Read the full report from the original source.
RecentlyMoses Matovu killed in love triangle – police
Afrigo Band co-founder and veteran musician Moses Matovu’s death stemmed from a confrontation involving his girlfriend Rose Tumusiime and her former boyfriend, the police have…
RecentlyNDEJEMBI: SIFURI TATU NI MUHIMU KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema utekelezaji wa Ajenda ya Sifuri Tatu ni muhimu katika kuokoa maisha ya mama, watoto wachanga na watoto, na kuchangia ujenzi wa afya bora, nguvu kazi na maendeleo endelevu barani Afrika. Mhe. Ndejembi amesema hayo Septemba 23, 2026 jijini New York, Marekani, alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu kuharakisha utekelezaji wa Ajenda ya Sifuri Tatu kwa ajili ya uhai wa mama na mtoto barani Afrika. Mkutano huo uliandaliwa na Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC), pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA). Amesema Afrika bado inakabiliwa na kiwango kikubwa cha vifo vya kina mama na watoto licha ya hatua mbalimbali za maendeleo zilizopigwa katika sekta ya afya. Kwa mujibu wa Mhe. Ndejembi, Afrika inachangia takribani asilimia 70 ya vifo vya kina mama duniani na karibu theluthi mbili ya vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano, huku sehemu kubwa ya vifo hivyo ikiwa inaweza kuzuilika. Amesema Ajenda ya Sifuri Tatu inalenga kufikia sifuri ya kujifungua nyumbani bila msaada wa mtaalamu mwenye ujuzi, sifuri ya vifo vinavyoweza kuzuilika vya mama na mtoto mchanga, na sifuri ya watoto wasiopata chanjo. Mhe. Ndejembi amesema kufikia malengo hayo kunahitaji kuimarishwa kwa huduma za afya ya msingi, kuongezwa kwa wataalamu wenye ujuzi, kuboreshwa kwa mifumo ya rufaa, upatikanaji wa dawa na vifaa tiba muhimu, pamoja na kuhakikisha fedha zinafika katika ngazi ya utoaji huduma. Aidha, amesema Tanzania imeendelea kujenga uzoefu katika kuimarisha huduma za afya ya msingi na huduma za dharura kwa mama na mtoto mchanga, ikiwemo mfumo wa rufaa wa kidijitali wa m-Mama, pamoja na mifumo ya ufuatiliaji wa vifo vya kina mama na watoto. Amesema uzoefu huo unaonesha umuhimu wa kuunganisha uongozi wa kisiasa, uwekezaji na utekelezaji wenye uwajibikaji ili kuboresha matokeo ya afya na kuhakikisha huduma zinazookoa maisha zinawafikia wananchi kwa wakati. Mhe. Ndejembi ametoa wito kwa viongozi barani Afrika kuimarisha uwajibikaji wa kisiasa, kuongeza uwekezaji katika huduma zinazookoa maisha na kuhakikisha ahadi zinazotolewa zinafanyiwa kazi hadi katika ngazi ya utekelezaji. “Hakuna mwanamke anayepaswa kupoteza maisha kwa kukosa usafiri, damu au huduma yenye ujuzi, wala mtoto anayepaswa kupoteza maisha kwa kukosa huduma inayoweza kuokoa maisha au chanjo,” amesema. Amesisitiza kuwa kaulimbiu “Jiongeze Tuwavushe Salama” ni wito wa kuchukua hatua kwa ajili ya kuhakikisha kila mama, mtoto mchanga, mtoto na kijana anapata fursa ya kuishi na kukua katika mazingira yenye afya bora.
Thu, 24 Sep 2026 11:52:47 +0000Unions demand reforms at Busia border as traders bear cost of AfCFTA
Read the full report from the original source.
RecentlyUNGA: Netanyahu, Abbas to speak as Middle East dominates day
Read the full report from the original source.
RecentlyNSSF: It is 22.53 Percent to members
✳ Year – Interest 2012 ✅10.00% 2013 ✅11.23% 2014 ✅11.50% 2015 ✅13.00% 2016 ✅12.30% 2017 ✅11.23%…
RecentlyPage 1073 of 1123 · 22453 stories