Unganishwa

Search the region

22448 stories

Uncategorized · Jamhuri Media

Naibu Waziri wa Fedha ashiriki kikao cha majadiliano cha AU kuanzisha ukadiriaji wa mikopo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Watanzania wanaorejea Afrika Kusini kutibiwa bure

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WAKULIMA KARATU WAPATA MATUMAINI MAPYA KUPITIA VISIMA VYA UMWAGILIAJI

KARATU, ARUSHA Wakulima wadogo katika Wilaya ya Karatu mkoani Arusha wamepata matumaini mapya ya kuongeza uzalishaji na kipato kufuatia utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa visima vya umwagiliaji unaofadhiliwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Mradi huo unaotekelezwa kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), unalenga kutatua changamoto ya muda mrefu ya uhaba wa maji ya umwagiliaji, hususan katika Kata ya Baray, ambayo ni miongoni mwa maeneo yanayoongoza kwa uzalishaji wa zao la kitunguu linalosambazwa katika masoko ya ndani na nje ya nchi. Furaha na matumaini mapya yamezidi kutanda miongoni mwa wakulima wa Kanda ya Datoga baada ya kukamilika kwa uchimbaji wa visima viwili vitakavyowezesha umwagiliaji wa hekta 66.5 za mashamba. Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa visima hivyo iliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Dk. Lameck Karanga, mkulima Gilbert Makirija alisema awali wakulima walilazimika kusubiri maji ya umwagiliaji kwa siku 11 hadi wiki tatu, hali iliyokuwa ikiathiri uzalishaji wao. Alisema uwepo wa visima hivyo, pamoja na miundombinu ya kusambaza maji hadi mashambani na matanki ya kuhifadhia maji, sasa utawasaidia wakulima kupata maji ya uhakika na hivyo kuwezesha uzalishaji endelevu na kuongeza kipato cha familia. Kwa upande wake, Afisa Kilimo wa Kata ya Baray, Jaffet Petro, alisema ukosefu wa maji ulikuwa moja ya vikwazo vikubwa vya uzalishaji katika eneo hilo. Alisema kati ya hekta zaidi ya 5,600 zinazofaa kwa kilimo katika kata hiyo, ni takribani hekta 3,000 pekee zilizokuwa zikitumika, huku zaidi ya hekta 2,600 zikiwa hazitumiki kutokana na changamoto ya upatikanaji wa maji. Alisema hali hiyo sasa inatarajiwa kubadilika kutokana na upatikanaji wa maji ya uhakika, ambayo yatawezesha maeneo yaliyokuwa hayatumiki kuanza kuzalisha, kuongeza tija ya kilimo na kuimarisha uchumi wa wananchi wa Kata ya Baray na Mkoa wa Arusha kwa ujumla. Akizungumzia kasi ya utekelezaji wa mradi huo, Dk. Karanga alisema ndani ya wiki mbili tangu Waziri wa Kilimo alipofanya ziara katika eneo hilo na kupokea kero za wananchi, tayari visima 11 kati ya 30 vilivyopangwa kuchimbwa katika Wilaya ya Karatu vimekamilika. Alisema visima hivyo vinachimbwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo Dumbechand, Jobaj, Mbuga Nyekundu na Laghangareri. Dk. Karanga alimshukuru Rais Samia kwa uwekezaji huo wa kimkakati na kuwataka wananchi kulinda na kutunza miundombinu ya umwagiliaji ili iweze kudumu na kuleta tija kwa wananchi kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa Meneja wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Mkoa wa Arusha, Mhandisi Willium, mradi huo unahusisha uchimbaji wa visima 30 katika Kata za Baray, Chemchem, Mang’ola, Endamaghan, Daa na Rhotia. Alisema visima hivyo vina kina cha kati ya mita 80 na 110, huku kila kisima kikiwa na uwezo wa kutoa kati ya lita 30,000 na 45,000 za maji kwa saa. Mhandisi Willium alisema mpango huo pia unahusisha upimaji wa maeneo, usanifu, uwekaji wa pampu, matanki yenye uwezo wa kuhifadhi lita 10,000 za maji pamoja na mifumo ya usambazaji wa maji hadi mashambani. Aidha, mradi huo unatarajiwa kutoa fursa za ajira za kudumu kwa vijana wenye ujuzi wa ufundi bomba, ambapo vijana sita watapatiwa ajira katika kila eneo litakalotekelezwa mradi huo. Utekelezaji wa mradi huo unatarajiwa kuongeza eneo la kilimo cha umwagiliaji, kuongeza uzalishaji na tija ya mazao pamoja na kuchochea ukuaji wa uchumi wa wakulima katika Wilaya ya Karatu.

Thu, 24 Sep 2026 11:24:52 +0000
Uncategorized · The Standard

DCI arrest police officer suspected of killing lawyer Kyalo Mbobu

DCI arrests Police Constable Julius Cheruiyot over alleged involvement in killing of lawyer Mbobu in Nairobi on September 9, 2025; recover suspected murder weapon.

Thu, 24 Sep 2026 13:33:24 +0300
Uncategorized · Watchdog Uganda

From remittances to industrial capital: Ambassador Muhindo calls for strategic diaspora partnerships

KAMPALA, UGANDA — Uganda should deepen its engagement with citizens living abroad by turning diaspora remittances, expertise, technology and global business networks into productive investments that can support industria

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Wazalendo SACCO Highlights Growth And Investment At National Cooperatives Conference

Wazalendo SACCO has showcased its institutional transformation, financial growth and investment initiatives at the National Cooperatives Conference held at Makerere University Business School. The conference brought toge

Recently
Uncategorized · Capital FM

Mumias shareholder challenges CMA over access to information

Business · Quick read

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania envisions 99 percent completion of its AFCON preps by Dec 2026

DAR ES SALAAM: TANZANIA has intensified its preparations for the African Cup of Nations (AFCON), as the government targets a…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

WATU WAWILI WAFARIKI, ASKARI WANNE WAJERUHIWA KATIKA VURUGU KILOSA

Watu wawili wamefariki na askari wanne wa Jeshi la Polisi wamejeruhiwa katika vurugu zilizotokea baada ya tukio la mauaji katika eneo la Tindiga, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro leo Septemba 24, 2026 tukio hilo lilitokea Septemba 23, 2026, majira ya saa 7:00 mchana katika eneo la Mashamba ya Bondeni, Kitongoji cha Legeza Mwendo, Kijiji cha Malangali, Kata ya Tindiga. Taarifa hiyo imesema Festo Selias Chaula, maarufu Walter, mkulima na mkazi wa Tindiga, alijeruhiwa baada ya kukatwa kichwani kwa kitu chenye makali na kupigwa kwa vitu butu sehemu mbalimbali za mwili. Baada ya tukio hilo, Jeshi la Polisi lilianza kuwafuatilia na kuwakamata watu waliodaiwa kuhusika kabla ya kuwapeleka Kituo cha Polisi Kilosa kwa mahojiano. Hata hivyo, wakati watuhumiwa hao wakisafirishwa na askari kwa gari la Polisi aina ya Toyota Hilux pamoja na pikipiki tatu, kundi la watu lilifika eneo hilo na kuanza kuwashambulia askari na watuhumiwa. Kwa mujibu wa Polisi, watu hao waliodaiwa kuwa wanachama wa chama cha wakulima walitumia silaha mbalimbali za jadi, zikiwemo visu, mapanga, mishale, mikuki, marungu na mawe. Katika vurugu hizo, askari wanne walijeruhiwa, huku Polisi ikitumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wamekusanyika katika eneo hilo. Katika vurugu hizo Kelvin Mhagama, mkulima na mkazi wa Kichangani, alijeruhiwa na kitu chenye makali na baadaye alifariki akiwa anapatiwa matibabu hospitalini. Vurugu hizo pia zilisababisha uharibifu wa mali za Polisi, ambapo pikipiki yenye namba PT 3131, aina ya SANLG, ilichomwa moto na kuteketea. Gari la Polisi aina ya Toyota Hilux, lenye namba PT 5877, nalo liliharibiwa baada ya kupigwa kwa mawe.

Thu, 24 Sep 2026 11:18:47 +0000
Uncategorized · UN News Burundi

Equality ‘ends at the doors of the Security Council’, Kenya’s Ruto tells General Assembly

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

IGAD urges shift from crisis response to prevention as East Africa’s hunger crisis deepens

Latest · Africa

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania suspends construction permits along the shores of Lake Victoria heading to El Niño rains

MWANZA: THE Tanzania government has suspended the issuance of construction permits and other approvals involving the dumping of soil and…

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania sees plenty of fortunes in hosting Miss World pageant

DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government says the Miss World pageant, which is expected to be held in Tanzania, will…

Recently
Uncategorized · The Standard

Stakeholders support Tobacco control law, propose measures to tighten regulation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · TechCabal East Africa

Meta Connect 2026: Everything Meta announced, from glasses to Muse

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

MANISPAA YA IRINGA YAWEKA BAYANA AFUA KUKABILIANA NA EL NINO, EBOLA

Na Atley Kuni, WAF-Iringa Mganga Mkuu wa Manispaa ya Iringa, Dkt. Godfrey Mbangali, amesema Manispaa hiyo imejizatiti na kujiandaa kukabiliana na changamoto zinazoweza kujitokeza kutokana na El nino na Ebola. Dkt. Mbangali, ameyasema hayo Septemba 23, 2026 wakati wa zoezi maalum la Ufanyaji wa tathmini ya mfumo wa uratibu wa shughuli za afya hususani kipindi hiki ambapo nchi ikiwa kwenye tishio la Ebola na Mvua za El nino zilizo tolewa utabiri na mamlaka za hali ya hewa. "Tayari Manispaa imeainisha maeneo muhimu yenye changamoto, ikiwemo Kata za Itamba na Ruaha ambazo zipo maeneo ya mabondeni, na imeanza kutoa elimu kwa wananchi kuhusu tahadhari zinazopaswa kuchukuliwa kabla ya kutokea kwa mafuriko", amesema Dkt. Mbangali. Kuhusu ugonjwa wa Ebola, Dkt. Mbangali amesema kupitia Hospitali ya Manispaa ya Frelimo, wamefanikiwa kuandaa chumba maalum kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wanaoweza kuwa na dalili za ugonjwa huo. Aidha, wataalamu wamepatiwa mafunzo maalum ili kuwa tayari kukabiliana na hali ya dharura endapo itatokea. Dkt. Mbangali amesema Halmashauri hiyo imekuwa ikipata fursa ya kushiriki mafunzo ya mara kwa mara kuhusu utayari na mwitikio wa maafa, jambo linalosaidia kuimarisha uwezo wa kukabiliana na majanga. Akizungumza wakati wa zoezi la kuwajengea uwezo, Mratibu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Chipole Mpelembe, amewataka viongozi kuhakikisha wajumbe wote muhimu wanajumuishwa katika kamati za kukabiliana na maafa. Ametaja baadhi ya wajumbe muhimu kuwa ni Afisa Habari wa Manispaa pamoja na Mratibu wa Afya Shuleni, akisisitiza kuwa ushirikishwaji wa wadau mbalimbali ni muhimu katika kuhakikisha taarifa na huduma muhimu zinawafikia wananchi kwa wakati.

Thu, 24 Sep 2026 11:12:09 +0000
Uncategorized · KT Press

At UNGA81, Rwanda Challenges the UN to measure its Legitimacy Through Results, Not Promises

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KT Press

Ten Years After Kigali Amendment, the Race to Deliver on Sustainable Cooling Begins Again

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Isango Star

Iran yaburiye ko intambara ishobora kugera mu nyanja y’u Buhinde

Iran yatangaje ko intambara ishobora kwaguka ikagera mu nyanja y’u Buhinde mu gihe Leta Zunze Ubumwe za Amerika zaba zongeye kuyigabaho ibitero. Ni mu gihe imirwano yamaze kuva mu kigobe cy’u Buperesi no ku muhora wa Hormuz ikagera ku nyanja Itukura.

Thu, 24 Sep 2026 13:00:48 +0200
Uncategorized · The Observer Uganda

Four people acquire HIV every hour in Uganda

At least four people acquire HIV/Aids every hour in Uganda, according to 2025 data presented by the Uganda AIDS Commission (UAC). Brian Masimbi, principal statistician at UAC, said the country recorded about 34,400 new H

Recently

Page 1074 of 1123 · 22448 stories