Search the region
22438 stories
President Ruto continues push for Africa representation in UN Security Council
Read the full report from the original source.
RecentlyMatatu driver denied bail over 'Manyoka' stint that killed 3 in Enterprise Road crash
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania, Vietnam begin to implement JPC meeting’s resolutions on political, diplomatic and socio-economic ties
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Vietnam have agreed to implement resolutions reached during the Second Session of the Joint Commission…
RecentlyNDEJEMBI AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA AFYA YA MAMA NA MTOTO UNGA81
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Viongozi kuhusu Afya ya Mama na Mtoto uliofanyika jijini New York, Marekani. Mkutano huo uliandaliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Africa CDC) na kufanyika pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA81). Mkutano huo uliwakutanisha viongozi kutoka nchi mbalimbali za Afrika pamoja na viongozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa na wadau wa maendeleo, kwa ajili ya kujadili masuala yanayohusu afya ya mama na mtoto. Miongoni mwa waliohudhuria ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Mkurugenzi Mkuu wa Africa CDC, Dkt. Jean Kaseya, pamoja na Mwenza wa Rais wa Benin, Bi. Nathalie Vilette Wadagni. Aidha, mkutano huo ulihudhuriwa na wawakilishi wa taasisi na mashirika ya maendeleo, wakiwemo Gates Foundation, Global Fund, Gavi, UNFPA, UNICEF, Susan Thompson Buffett Foundation, Beginning Fund, pamoja na viongozi kutoka Umoja wa Afrika (AU). Mkutano huo ni sehemu ya jitihada za kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na wa Afrika katika kuboresha afya ya mama na mtoto, hususan katika kupunguza vifo vinavyoweza kuzuilika na kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wanawake na watoto.
Thu, 24 Sep 2026 09:59:58 +0000Police recover 48 AK-47 rounds hidden in meat on bus DCI said ammunition was recovered during routine security operation conducted by a multi agency security team
DCI said ammunition was recovered during routine security operation conducted by a multi agency security team
RecentlySERIKALI YAONGEZA HATUA ZA KUBORESHA USTAWI WA PUNDA NCHINI.
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeendelea kuchukua hatua za kuboresha ustawi wa punda nchini, ikiwemo kuingiza masuala ya mnyama huyo katika mitaala ya mafunzo ya wataalamu wa mifugo kuanzia ngazi ya cheti na diploma pamoja na kuandaa mwongozo maalumu wa matibabu ya punda. Hayo yamebainishwa Septemba 23, 2026, katika kikao Maalum kati ya wadau wa Mnyama punda na Ofisi ya Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo, ambapo Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo Tanzania, Dkt. Benezeth Lutege Malinda, amesema hatua hizo zinalenga kuhakikisha wataalamu wanaomaliza mafunzo wanakuwa na uelewa kuhusu punda na huduma zinazohitajika, akieleza kuwa awali kulikuwa na pengo katika mitaala ya mafunzo ya mifugo kuhusu mnyama huyo. Dkt. Malinda amesema Serikali pia imeendelea kushirikiana na wadau katika kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa punda katika jamii, akieleza kuwa mnyama huyo hutumika kubeba maji, kuni na mizigo, kusaidia shughuli za kilimo na katika baadhi ya maeneo kusaidia watoto kufika shuleni, amesema pia mwitikio wa viongozi na jamii katika maadhimisho ya Siku ya Punda Duniani umeendelea kuongezeka, hatua inayosaidia kuongeza uelewa kuhusu ustawi wa mnyama huyo. Amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau imeandaa mwongozo wa matibabu ya punda, ambao unawasaidia wataalamu kutoa huduma kwa mnyama huyo, wakiwemo wataalamu waliopata mafunzo kabla ya masuala ya punda kuingizwa katika mitaala, aidha, amesema Serikali imeendelea kuchukua hatua za kudhibiti uchinjaji na biashara ya punda pamoja na mazao yake kwenda nje ya Tanzania. Mkurugenzi wa INADES Formation Tanzania, Jacqueline Nicodemus, amesema kikao hicho kililenga kumtambua punda katika huduma za mifugo zinazotolewa nchini pamoja na kushughulikia hatua za kumtambua punda kama mnyama asiyehusika na matumizi ya chakula kupitia Gazeti la Serikali, ameeleza kuwa wamepata hakikisho kutoka Serikalini kuhusu hatua zinazoendelea za kuhakikisha wanyama kazi, akiwemo punda, wanatambuliwa katika mfumo wa huduma za afya ya mifugo, utambuzi wa mifugo na magonjwa ya mifugo. Jacqueline amesema wamepata taarifa kuhusu mchakato wa kanuni ya uchinjaji wa kibinadamu wa wanyama, Humane Slaughter Regulation, 2024, ambao amesema umefikia hatua nzuri na unatarajiwa kukamilika mwaka huu au mwanzoni mwa mwaka 2027, ameishukuru Serikali, Waziri wa Mifugo na Uvuvi pamoja na watendaji wa Wizara kwa ushirikiano katika kuhakikisha wanyama kazi wanatambuliwa na kupewa uzito katika mipango na bajeti zinazohusu sekta ya mifugo. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Shirika la kutetea wanyama la ASPA (Arusha Society for the Protection of Animals) Livingstone Masija, amesema punda amekuwa msaidizi mkubwa katika shughuli za kiuchumi na kijamii, lakini bado anakabiliwa na changamoto ya kutopatiwa huduma za afya kama wanyama wengine, ambapo punda anahitaji matibabu, chanjo na huduma nyingine za mifugo, huku akiiomba Serikali kumtambua zaidi kama mnyama kazi na kuchukua hatua za kuimarisha ulinzi na ustawi wake ili aendelee kuwa na mchango katika jamii.
Thu, 24 Sep 2026 09:55:32 +0000À Abidjan, la situation complexe de déplacés dans une école
Read the full report from the original source.
RecentlyBabu Owino clarifies Mwananchi Party registration timelines
Read the full report from the original source.
RecentlyKamati yaipongeza Bulyanhulu utekelezaji CSR
Read the full report from the original source.
RecentlySamia calls for faster action on maternal, child survival in Africa
Read the full report from the original source.
RecentlyAfrigo Band Musician Matovu Moses Dies After Suspected Attack in Kampala
Read the full report from the original source.
RecentlyThe real lesson of Uber’s departure from Nigeria
Read the full report from the original source.
RecentlyWhite Smoke in FKF PL as Kariobangi Sharks, Mombasa United Agree on Playoff
Latest · featured
RecentlyREA yatunukiwa cheti cha mlipakodi bora kwa taasisi za umma
Read the full report from the original source.
RecentlyPumba Zilizogeuka Dhahabu
Mashine inaanza kunguruma majira ya saa tatu asubuhi. Ndani ya banda la…
RecentlyTanzania, Norway commit to cement their 60-year cooperation by advancing development projects on shared priorities
NEW YORK: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Dr Mahmoud Thabit Kombo, has held talks with…
RecentlyRCMRD launches biodiversity outlook for 24 Eastern and Southern African countries
NAIROBI – The Regional Centre for Mapping of Resources for Development (RCMRD) has launched a biodiversity publication covering 24 countries in Eastern and Southern Africa, weeks before governments meet in Armenia...
RecentlyJNIA, KIA earn prestigious awards from ACI Africa, heighten Tanzania’s profile in aviation industry
ABUJA: JULIUS Nyerere International Airport (JNIA) and Kilimanjaro International Airport (KIA) have earned three prestigious awards from Airports Council International…
RecentlyTwo arrested after allegedly taking Sh30,000 to kill EACC probe
Latest · NATIONAL NEWS
RecentlyThe $6.8M credit engine hidden inside a Nigerian cassava patch
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 1076 of 1122 · 22438 stories