Search the region
22625 stories
Mbarire threatens UDA boycott of IEBC meetings
“When we got here, we found certain people who came early and decided that there were certain seats earmarked for certain people. They were not officials of IE
RecentlyTrump, Putin na Xi bumvikanye ku kugabanya ibyago byaterwa n’intwaro kirimbuzi
Perezida wa Leta Zunze Ubumwe za Amerika, Donald Trump, uwa Repubulika y’Uburusiya, Vladimir Putin, n’Ubushinwa, Xi Jinping, biyemeje gufatanya mu kugabanya ibyago byo gukoresha intwaro kirimbuzi no gukumira ikwirakwira ryazo. Ni mu gihe ibihugu byabo bitatu bifite hafi 90% by’intwaro nk’izo ziri ku Isi.
Thu, 19 Nov 2026 16:12:00 +0200U Rwanda rwitabiriye Imurikagurisha Mpuzamahanga ry’Ubukerarugendo bwo ku rwego rwo hejuru, Luxperience 2026
Read the full report from the original source.
RecentlyOpposition leaders walk Out of IEBC Meeting Over 2027 Election Concerns
Kalonzo said he and his team had attended the meeting in good faith but did not receive the same commitment from the commission
RecentlyPourquoi le Burkina Faso est accusé de vouloir réduire au silence ses critiques à l'étranger ?
L’organisation Human Rights Watch dénonce les mandats d’arrêt et les demandes d’extradition émis par les autorités burkinabè, qui visent des dizaines de personnes vivant à l’étranger.
RecentlyKakamega stakeholders raise concerns over procurement, county spending
Counties · 4 hours ago
RecentlyKalonzo leads opposition leaders in IEBC meeting walkout
Kalonzo said he and his team had attended the meeting in good faith but did not receive the same commitment from the commission
RecentlyMAVUNDE: TANZANIA KUSITISHA UUZWAJI WA MADINI GHAFI NJE YA NCHI
Na Janeth Raphael -MichuziTv Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, amesema Serikali haitaruhusu madini yanayozalishwa nchini kusafirishwa nje ya nchi yakiwa ghafi, badala yake itahakikisha yanachakatwa, kusafishwa na kuyeyushwa ndani ya Tanzania ili kuongeza thamani ya rasilimali hizo na kukuza uchumi wa Taifa. Amesema msimamo huo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuhakikisha Tanzania inanufaika zaidi na utajiri wake wa madini kwa kujenga uwezo wa ndani wa kuyachakata na kuyaongezea thamani kabla ya kuingia katika masoko ya kimataifa. Mavunde ameyasema hayo leo, Alhamisi, Novemba 19, 2026, wakati akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026), unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam. Amesisitiza kuwa Serikali inalenga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji na usafishaji wa madini barani Afrika, huku akieleza kuwa hakuna madini yatakayeruhusiwa kutoka nchini bila kufanyiwa hatua za kuongeza thamani. "Hakuna jiwe hata moja litatoka kwenda nje ya nchi halijachakatwa, halijasafishwa, halijayeyushwa. Mambo yote yatafanyikia ndani ya nchi," amesema Mavunde. Akieleza hatua zilizofikiwa katika kutekeleza mkakati huo, amesema Tanzania tayari ina viwanda vinane vya kusafisha dhahabu kwa kiwango cha ubora wa 999.9, huku kiwanda cha GGR kilichopo mkoani Geita kikiwa katika hatua za mwisho za kupata ithibati ya Shirika la LBMA. Aidha, amesema Serikali inaendelea kusukuma mbele uwekezaji katika uchakataji wa madini ya nikeli na shaba, ambapo viwanda 16 vinaendelea kujengwa katika maeneo mbalimbali nchini. Pia, kuna mradi wa kiwanda kikubwa cha kutenganisha madini tembo (mineral separation plant) katika eneo la Tajiri, wilayani Pangani, mkoani Tanga. Katika hatua nyingine, Mavunde amebainisha kuwa maandalizi ya mradi mkubwa wa kuyeyusha madini ya ferro-niobium katika Bonde la Songwe, mkoani Mbeya, yanaendelea. Mradi huo unatarajiwa kuwa miongoni mwa viwanda vikubwa duniani katika uzalishaji wa madini hayo, ukiwa wa nne kwa ukubwa duniani. Amesema utekelezaji wa miradi hiyo utaongeza thamani ya madini yanayozalishwa nchini, kuchochea ukuaji wa viwanda, kuvutia wawekezaji zaidi na kutengeneza fursa nyingi za ajira kwa Watanzania, badala ya nchi kuendelea kutegemea mauzo ya madini ghafi. Mkutano wa TMIC 2026 umeandaliwa na Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Chemba ya Migodi Tanzania, ukiwakutanisha zaidi ya wadau 1,700 kutoka ndani na nje ya nchi kwa lengo la kujadili fursa za uwekezaji, changamoto na mwelekeo wa maendeleo ya sekta ya madini nchini.
Thu, 19 Nov 2026 13:58:41 +0000President Museveni, Tanzania’s Suluhu launch $30m vehicle assembly plant in Mpigi
President Yoweri Kaguta Museveni and his Tanzanian counterpart, H.E Dr. Samia Suluhu Hassan, have launched a $30 million Double Q Automotive Assembly Plant in Nakirebe, Mpigi District, in a major…
RecentlyBlame genetics, not diapers; Experts say after Kikuyu elders’ outcry over small penises in initiates
Read the full report from the original source.
RecentlyWalemavu Iringa waipongeza BoT kwa elimu ya fedha, wataka ifikie wengi zaidi
Read the full report from the original source.
RecentlyHFM banks on Arsenal partnership to grow Kenya’s financial trading market
Markets · 3 hours ago
RecentlyGolf Series head to Kisii for grand finale qualifying showdown
Latest · Golf
RecentlyKalonzo leads opposition walkout from IEBC meeting
Kalonzo said he and his team had attended the meeting in good faith but did not receive the same commitment from the commission
RecentlyNchi za EAC zatakiwa kupitia mikakati ya ulinzi ili kukabiliana na vitisho vipya vya kiusalama
Read the full report from the original source.
RecentlyYas yasherehekea ‘Mwaka wa Viwango’ na watengeneza maudhui katika usiku wa utamaduni na ubunifu
Yas Tanzania imesherehekea “Mwaka wa Viwango” pamoja na washawishi (influencers) na watengeneza maudhui walioshiriki kuunda mwaka huu, katika usiku wenye mandhari ya Kiswahili uliofanyika Mikocheni, ukiwa na muziki wa moja kwa moja na onesho la ngoma ya Kigoma. Wanamuziki G-nako na Hamadai, wasanii walioimba wimbo wa kampeni ya “Magifti ya Viwango”, walitumbuiza moja kwa moja mbele ya wageni. Mwaka huu, Yas imefanya kazi na washawishi 30 na watengeneza maudhui zaidi ya 100 kote Tanzania. Kwa pamoja, walisimulia hadithi za nchi inayozidi kuunganishwa, kuanzia vichekesho na mtindo wa maisha hadi uwezeshaji wa vijana, ujasiriamali na maisha ya kila siku ya kidijitali. Sauti zao zimeisogeza chapa ya Yas karibu zaidi na jamii inazozihudumia, na kuonyesha jinsi usimulizi wa hadithi za kwetu unavyoweza kuwafikia hadhira mbali zaidi ya mipaka ya Tanzania. “Watengeneza maudhui ni miongoni mwa wasimulizi wa hadithi wenye nguvu zaidi wa wakati wetu,” alisema Christina Murimi – Meneja wa Uhusiano na Mawasiliano - Yas Tanzania. “Mwaka wa Viwango umekuwa kuhusu kuinua viwango katika ubora wa mtandao, katika huduma na katika fursa tunazosaidia kuzifungua. Kufanya kazi na washawishi 30 na watengeneza maudhui zaidi ya 1o0 kunaonyesha kinachotokea pale chapa na jamii vinapokua pamoja. Usiku wa leo ni njia yetu ya kusema asante.” Watengeneza maudhui waliohudhuria walisema ushirikiano huo uliwasukuma kubuni zaidi. “Kufanya kazi na Yas kwa mwaka mzima kumenipa nguvu. Nimepewa changamoto ya kufikiri nje ya boksi na kutengeneza maudhui yanayoziba pengo kati ya malengo ya kampuni na utamaduni wa Kitanzania,” alisema Willy Nkya. Kwa kuujenga usiku huu kuzunguka mila za Kiswahili na ngoma ya Kigoma, Yas inasisitiza kuwa mustakabali wa kidijitali wa Tanzania umejikita katika urithi wake, huku utamaduni ukibaki kiini cha jinsi hadithi zinavyosimuliwa mtandaoni. Kuangalia mbele, Yas inasema itaendelea kuunga mkono jamii ya wabunifu wa Tanzania kupitia ushirikiano endelevu, msaada kwa watengeneza maudhui na mafunzo.
Thu, 19 Nov 2026 06:30:00 +0000Why Much of Africa’s Research Still Fails to Reach the People It Is Meant to Help
Read the full report from the original source.
RecentlyUtatu haki jinai watakiwa kuimarisha ushirikiano
Read the full report from the original source.
RecentlyUbu noneho nakorera I Kampala nkarara i Kigali - Teddy Kaberuka.
Read the full report from the original source.
RecentlyDr Samia urges EAC bloc to advance vehicle-making industry to reduce imports of second-hand vehicles
Read the full report from the original source.
RecentlyPage 124 of 1132 · 22625 stories