Unganishwa

Search the region

22626 stories

Uncategorized · Rwanda News Agency

Maroc/ accélération du développement de l’industrie nationale de défense et de sécurité/ séance de travail présidée par Sa Majesté le Roi Mohammed VI

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Morocco / Accelerating the Development of the National Defense and Security Industry / Working Session Chaired by His Majesty King Mohammed VI

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Nairobi forum puts Africa’s voice at centre of global AI governance debate

Latest · Africa

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Terrorism Case Against CHADEMA Youth Leader Widens as Missing Chips Seller Turns Up in Segerea Prison

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Maxence Melo Wins Netherlands Human Rights Embassy Tulip Award

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Tanzania, Uganda Push Rail Link and Lake Trade as Samia, Museveni Warn Against Economic Fragmentation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Tundu Lissu’s Unfinished Journey

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Chanzo

Tanzania Unveils Upgraded National ID Meant to Replace a Wallet Full of Cards

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

KEPROBA, EATTA sign strategic partnership to strengthen global competitiveness of Kenyan tea

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

FC Barcelone na Kinshasa: Abakomisiyoneri babirwaniyemo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

155 arrested as Kirinyaga intensifies war on illicit alcohol, drugs

News · Quick read

Recently
Uncategorized · Capital FM

Marathoner Ronald Korir slapped with lengthy doping ban

Athletics · 5 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

High feed costs, weak markets constrain Kenya’s dairy productivity

Agriculture · 5 hours ago

Recently
National · Capital FM

Maraga-led opposition coalition proposes sweeping changes to Elections Act

Elections · 4 hours ago

Recently
Uncategorized · Capital FM

Frontier Minerals eyes local refining of Mrima Hill rare earths to boost Kenya’s mineral value

Latest · News

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Panic as MV Mwanza, the largest ship on Lake Victoria, crashes onto Bismark Rock

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Where young people spend time online and how often

Snapchat follows fifth with an eight per cent median and a zero per cent to 18 per cent range. WhatsApp ranks sixth at a seven per cent median

Recently
Uncategorized · Daily News

VP Ndejembi tasks Minerals Ministry to effectively manage the research fund

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Expanse Fortune Spins: Zungusha Spins, 3,000,000! Inakusubiri

MERIDIANBET inakuletea msisimko mpya wa kasino kupitia kampeni ya Expanse Fortune Spins , inayowapa wapenzi wa michezo ya Expanse Slots fursa ya kushiriki katika ushindani wa kuwania sehemu ya zawadi nono zenye thamani ya jumla ya TZS 3,000,000. Ni wakati wa kufurahia burudani huku ukipambana kupata nafasi nzuri kwenye orodha ya vinara. Kupitia kampeni hii, kila spin inayokidhi vigezo inakuwa sehemu ya safari yako ya kushiriki katika ushindani. Kadiri unavyoendelea kucheza michezo inayostahili kwa kuzingatia masharti yaliyowekwa, ndivyo unavyopata nafasi ya kusonga mbele kwenye msimamo wa washiriki. Kinachofanya Expanse Fortune Spins kuvutia zaidi ni fursa ya kushiriki kwa dau la kuanzia la TZS 500 pekee. Hii inakupa nafasi ya kuingia kwenye kampeni kupitia michezo ya Expanse Slots inayoshiriki na kuanza kufuatilia maendeleo yako katika mbio za kuwania zawadi. Zaidi ya kufurahia michezo hiyo, kampeni hii inakupa changamoto ya kupanda kwenye orodha ya vinara. Kila mshiriki ana nafasi ya kuonesha ushindani wake kwa kutumia spins zinazokidhi vigezo, huku akifuatilia nafasi yake katika msimamo wa kampeni. Kwa hiyo, kama unapenda michezo ya kasino yenye ushindani, Expanse Fortune Spins ni kampeni inayokupa sababu nyingine ya kutembelea Meridianbet. Chagua mchezo unaostahili, shiriki kwa kuzingatia masharti na fuatilia orodha ya vinara kadiri kampeni inavyoendelea. Usikose kujiunga na msisimko huu! Tembelea kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, fungua michezo ya Expanse Slots inayoshiriki na anza safari yako ya kuwania sehemu ya zawadi za TZS 3,000,000 kupitia Expanse Fortune Spins . Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Expanse Fortune Spins inakukaribisha kwenye ushindani wenye zawadi zinazovutia! Soma masharti ya kampeni kabla ya kushiriki, ili uwe miongoni mwa washindi. Jiunge sasa ufurahie ushi wa TZS 3,000,000 leo.

Thu, 19 Nov 2026 05:00:00 +0000
Sports · Issa Michuzi

Lazio Azidi Kuendeleza Moto Serie A

LIGI kuu ya Italia, SERIE A inazidi kunoga huku baadhi ya timu zikipambania nafasi ya juu, na leo tutaitazama Lazio ambayo msimu huu imekuwa ni timu ya kuogopwa vibaya sana chini ya kocha mkuu Gattuso. Klabu ya Lazio chini ya kocha mkuu Genarro Gattuso imeanza Serie A kwa kiwnago kizuri huku ikiwa ni moja ya klabu ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kuwania ubingwa kwenye ligi hiyo kule Italia. Baada kucheza mechi mechi 11, inashika nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 29, ikifuatiwa kwa karibu na Inter yenye pointi 28 na Roma yenye pointi 27. Lazio imeshinda mechi 9 na kutoka sare 2 bila kupoteza hata mchezo mmoja, huku ikifunga mabao 25 na kuruhusu 9 pekee. Takwimu hizi zinaonyesha uimara wake katika safu zote mbili. Kwenye michezo yake ya hivi karibuni, Lazio iliifunga Juventus mabao 3-0 ugenini, Sassuolo mabao 6-2 na Cagliari mabao 2-1, kabla ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Napoli. Matokeo hayo yanaonyesha uwezo wa timu kushambulia kwa nguvu na pia kupambana katika michezo migumu. Ondoka na pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker , Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Chini ya Gennaro Gattuso, Lazio imeanza msimu huu kwa kiwango cha kuvutia. Baada ya mechi 11 za Serie A, inaongoza ligi ikiwa na pointi 29, baada ya kushinda michezo 9 na kutoka sare mara 2 bila kupoteza. Imefunga mabao 25 na kuruhusu 9 pekee. Hata hivyo, ushindani ni mkubwa kwa sababu Inter ina pointi 28 na Roma pointi 27, hivyo Lazio haina nafasi kubwa ya kulegeza bidii. Katika michezo ya hivi karibuni, Lazio imeonyesha uwezo mkubwa wa kushambulia kwa kuifunga Juventus mabao 3-0, Sassuolo mabao 6-2 na Cagliari mabao 2-1. Pia ilipata sare ya bao 1-1 dhidi ya Napoli. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa mechi ya Lazio. Matokeo haya yanaonyesha kuwa timu ina uwezo wa kupata mabao dhidi ya wapinzani wakubwa na wadogo. Gattuso ameifanya Lazio icheze kwa nguvu, nidhamu na kasi, huku wachezaji tofauti wakichangia katika upatikanaji wa mabao. Suka jamvi hapa. Vilevile kwenye michuano ya Coppa Italia, safari ya Lazio imeishia mapema baada ya kuondolewa na Mantova katika raundi ya kwanza kwa kupoteza mabao 2-0. Hili ni pigo kwa klabu, ambayo sasa haina nafasi ya kuwania taji hilo msimu huu. Lazio haishiriki michuano mikubwa ya Ulaya kama vile UEFA, Europa League wala Conference League msimu huu. Hivyo, nguvu zake zimeelekezwa zaidi kwenye Serie A, ambako ina nafasi ya kupigania ubingwa bila kuwa na ratiba ya mechi za Ulaya. Changamoto inayoweza kuathiri mwenendo wa Lazio ni majeraha ya baadhi ya wachezaji muhimu. Mattia Zaccagni, Nuno Tavares na Josip Sutalo wametajwa kuwa na matatizo ya kiafya, jambo linaloweza kuathiri mipango ya Gattuso endapo watakosekana kwa muda mrefu. Jisajili hapa. Timu hiyo inaonekana kuwa na mwanzo mzuri wa msimu na ina nafasi ya kuendelea kupambana kuwania ubingwa wa Serie A. Hata hivyo, itahitaji kudumisha kiwango chake, kuimarisha kikosi wakati wa changamoto za majeraha na kuhakikisha haipotezi pointi katika michezo dhidi ya timu zinazoshika nafasi za chini. Wikendi hii Lazio itacheza dhidi ya Lecce tarehe 21 Novemba 2026 katika uwanja wa Olimpico.

Thu, 19 Nov 2026 12:30:58 +0000

Page 126 of 1132 · 22626 stories