Unganishwa

Search the region

22368 stories

Uncategorized · The Citizen

Samia’s Uganda, Ethiopia visits open new opportunities

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

School meals: Sh3bn to last just 63 days, MPs told

MPs have been told the proposed allocation would only sustain the programme for approximately 63 school days, leaving learners without meals for 117 days.

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

The Netflix case; Cannibalise your products before the market does

Cannibalism? Aaah, this is a dangerous word in corporate strategy. It appears in board papers, risk registers and investment committees with a sure red flag.…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Protests, call for crackdown on illicit brew in Kirinyaga

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Arteta backs 'brilliant' Gyokeres after Arsenal waste chances to beat Dortmund

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Intrigue ratchets up as UN struggles to pick its new leader

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Yanga yawatisha waarabu kiaina

Soma hapa!

Recently
Uncategorized · The Citizen

Tracking system with in-cab cameras to curb road risks

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

Matumaini mapya ujenzi wa bwawa la Olimpiki - 3

Soma hapa!

Recently
Sports · Mwanaspoti

Straika Yanga ataja wanne Simba

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwanaspoti

Yanga vs Waalgeria CAF damdam

YANGA itakuwa na dakika ngumu za kwanza kwenye mechi za makundi ya Ligi ya Mabingwa msimu huu, itakapokuwa mwenyeji wa MC Alger ya Algeria, itakayopigwa katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, wiki...

Recently
Sports · Mwanaspoti

Mambo matano yanayoitesa Yanga

Soma hapa!

Recently
Sports · Mwanaspoti

Nyota wa watatu wa kuchungwa Orlando Pirates

Soma zaidi!

Recently
Uncategorized · The Citizen

Government lines up water projects for public-private partnership

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

NABII SUGUYE ACHANGIA VIFAA ,VYAKULA KATIKA VITUO VIWILI VYA WATOTO YATIMA TANGA

Na Oscar Assenga, Tanga KIONGOZI na mwanzilishi wa huduma ya kiroho ya The Word of Reconciliation Ministries (WRM) Nabii Mkuu Nicolaus Suguye, amefika jijini Tanga na kulakiwa kwa shangwe za kifalme, huku akianza ziara yake kwa kuwakumbatia watoto yatima kabla ya kuanza huduma ya maombezi ya siku tano. Suguye, ambaye anafahamika kwa mikusanyiko mikubwa ya maombi, aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tanga majira ya saa 10:00 asubuhi na kulakiwa na wenyeji wake waliomwandalia ngoma ya asili ya Msanja, iliyompa burudani kabla ya kuelekea moja kwa moja kwenye shughuli za kijamii na kukutana na wakazi wa Tanga kwenye viwanja vya kijiji cha miaka 21. Nabii Suguye aliongoza ujumbe wake moja kwa moja kwenye vituo viwili vya kulelea watoto yatima ili kupeleka tabasamu na kuwakumbusha wahitaji kuwa jamii inawajali. Katika kituo cha Goodwill Children Home, kilichopo Mwakidila, kilichoundwa kulea watoto yatima, wajane, na watu wasiojiweza, alikutana na uongozi pamoja na watoto 35 wanaohifadhiwa hapo na alikabidhi misaada ya chakula, sabuni, taulo za kike, na mahitaji mbalimbali ya kibinadamu. Mratibu wa kituo hicho Sayeed Idarus alimshukuru kwa moyo huo wa kipekee, huku akitoa wito kwa jamii kujitokeza kuwasaidia watoto hao au hata kufuata taratibu za kisheria kuwaasili ili wawape faraja ya kifamilia. Baada ya hapo, Suguye alielekea eneo la Bombo katika kituo cha Nyumba ya Furaha (Casa de la Familia) kilichopo chini ya Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga. Kituo hicho, kilianzishwa mwaka 2005 kwa lengo la kusaidia watoto wanaoishi katika maisha hatarishi na yatima kupitia ustawi wa jamii, kwa sasa kinahifadhi watoto 85, huku mtoto mwenye umri mdogo kabisa akiwa na mwaka mmoja. Katika kituo hicho, Nabii huyo alitoa msaada mkubwa uliohusisha vyakula, magodoro, na kufikia uamuzi wa kutoa mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa jengo la ghorofa linaloendelea kujengwa ili kuwahifadhi watoto wanaofika na watawa (Ma-sister) wanaowahudumia. Aidha, kituo hicho kinajishughulisha na shughuli za ujasiriamali ikiwemo kuoka mikate kwa ajili ya biashara ili kusaidia gharama za uendeshaji wa huduma za watoto hao. Sister Aireen Augostino Kafuka alimshukuru kwa upendo na huruma yake, akisema msaada huo umekuja wakati sahihi na kuleta faraja kubwa kwa watoto hao nanuongozi mzima wa watawa hao. Akizungumzia uamuzi huo, Suguye alisisitiza kuwa kusaidia hakuhitaji mtu kuwa tajiri mkubwa, bali kunatokana na moyo wa upendo wa kusaidia wanyonge. Alisema hakutoa msaada huo kwa kificho kama maandiko yanavyosema, bali ametoa kwa uwazi ili kuhamasisha jamii kuona umuhimu wa kuwasaidia watu wenye mahitaji kama watoto yatima hao. Aanza Huduma Rasmi ya Maombi na Maombezi Tanga Katika hatua nyingine, ujio wa Nabii Suguye Mkoani Tanga unaenda sambamba na uzinduzi wa huduma maalum ya maombi na maombezi ya siku tano inayoanza Jumatano, Novemba 25 hadi Jumapili. Huduma hiyo, itakayofanyika kwenye viwanja vya kijiji cha miaka 21, inalenga kuwaombea wananchi wanaokabiliwa na changamoto mbalimbali za kimaisha, ikiwemo umaskini, maradhi sugu yaliyoshindikana hospitalini, na matatizo ya kiroho. Suguye alieleza kuwa milango iko wazi kwa kila mwenye uhitaji wa faraja, uponyaji, na mafundisho ya kiroho wa madhehebu yote ya dini.

Wed, 25 Nov 2026 06:21:11 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

Kutoka kwenye dira mpaka utekelezaji: Sekta binafsi ina wajibu wa kuifanya Dira 2050 kuwa uhalisia

Na Manish Govindji, Afisa Mtendaji Mkuu wa Liquid Intelligent Technologies Tanzania Uzinduzi wa waraka wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 tarehe 3 Agosti umeweka msisitizo mpya kuhusu nafasi ya sekta ya biashara katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya muda mrefu ya nchi. Mwezi Agosti, Rais Samia Suluhu Hassan alipozindua nyenzo za utekelezaji, ufuatiliaji na kuharakisha maendeleo ya Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 , ushirikiano imara zaidi kati ya Serikali na sekta binafsi ulikuwa miongoni mwa masuala yaliyopewa kipaumbele. Sekta ya biashara inatarajiwa kuwa na mchango mkubwa katika uwekezaji, uzalishaji wa ajira, ubunifu na ukuaji wa uchumi. Uzinduzi huo ulifuatia kutangazwa rasmi kwa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 jijini Dodoma mwezi Julai 2025, na ulihusisha pia kusainiwa kwa Tamko la Pamoja kati ya Serikali na sekta binafsi. Ahadi hiyo inalenga kuimarisha uwajibikaji na ushirikiano wakati Tanzania ikielekea kufikia uchumi wa dola trilioni moja za Marekani na kipato cha wastani cha dola 7,000 za Marekani kwa kila mwananchi ifikapo mwaka 2050. Nafasi ya sekta binafsi Inatarajiwa kuwa takribani asilimia 70 ya utekelezaji wa Dira 2050 utatokana na sekta binafsi, jambo linaloweka wajibu kwa kampuni zinazofanya biashara nchini Tanzania kutathmini namna uwekezaji na uwezo wao unavyoweza kuchangia katika kufikia malengo ya uchumi wa taifa. Hali hii inatoa fursa, lakini pia inaleta wajibu. Kwa kampuni za teknolojia kama Liquid Intelligent Technologies Tanzania, wajibu huo unajumuisha kusaidia kujenga miundombinu, ujuzi na uwezo wa kidijitali ambao biashara zinahitaji ili kukua na kushindana katika uchumi wa kidijitali. Uzalishaji, uwekezaji, ajira na ubunifu ni mambo muhimu katika azma ya Dira 2050 ya kuifanya Tanzania kuwa uchumi shindani wenye kipato cha juu. Teknolojia ya kidijitali inaweza kusaidia kufanikisha malengo hayo kwa kuwezesha biashara kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kupanua shughuli zake na kushindana katika masoko ya ndani na ya kikanda. Ingawa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kupanua upatikanaji wa huduma za kidijitali, changamoto inayofuata ni kubadilisha upatikanaji huo kuwa shughuli za kiuchumi zenye matokeo yanayopimika. Miundombinu ya mawasiliano na muunganisho wa kidijitali bado ni msingi muhimu, lakini mageuzi ya kidijitali sasa yamevuka hatua ya kuunganisha biashara pekee. Kampuni zinazidi kutegemea mifumo ya huduma za wingu (cloud), usalama wa mtandao, huduma za data na nyingine za kidijitali ili kuongeza uzalishaji na kufikia masoko mapya. Miundombinu ya kidijitali inazidi kuwa sehemu muhimu ya miundombinu ya uchumi. Teknolojia kama kichocheo cha ukuaji Miongoni mwa vikwazo vilivyobaki ni namna baadhi ya taasisi zinavyoitazama teknolojia. Biashara nyingi bado zinaona mageuzi ya kidijitali kama gharama badala ya kuwa kichocheo cha ukuaji. Taasisi zinazofanya vizuri zaidi ni zile zinazotumia teknolojia kuboresha huduma bora wa wateja, ufanisi, ufanyaji wa maamuzi na uwezo wa kushindana. Kama sehemu ya makampuni ya Cassava Technologies, Liquid inahudumia zaidi ya biashara 2,000 nchini Tanzania kupitia mfumo jumuishi wa huduma za kidijitali unaojumuisha muunganisho wa mawasiliano, vituo vya kuhifadhi na kuchakata data, huduma za wingu, usalama wa mtandao, suluhisho za akili unde (AI) na huduma za malipo. Uzoefu wahuduma hizi unaipa kampuni uelewa wa vikwazo halisi vinavyokabili taasisi, ikiwemo upungufu wa ujuzi, wasiwasi kuhusu usalama wa data na mifumo, pamoja na kutokuwa na uhakika kuhusu namna uwekezaji katika teknolojia ya kidijitali utakavyoboresha shughuli zao. Upitishaji wa teknolojia pia unategemea mazingira mapana yanayoiwezesha. Upatikanaji wa umeme wa uhakika, muunganisho wa mawasiliano, mifumo salama na huduma za malipo ya kidijitali zinazopatikana kwa urahisi ni muhimu ili biashara ziweze kuwekeza kwa kujiamini na kutumia zana za kidijitali kwa ufanisi. Uwezo wa rasilimali watu ni muhimu vilevile Sekta binafsi pia ina wajibu wa kusaidia kukuza watu watakaounda na kuendesha uchumi wa kidijitali. Tanzania itahitaji ujuzi mbalimbali wa kidijitali, pamoja na ubunifu, ujasiriamali na uwezo wa kutatua changamoto. Liquid Tanzania inachangia katika eneo hili kupitia programu kama ProjeKt Inspire, inayotoa mafunzo ya vitendo katika sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati (STEM) kupitia shughuli zinazofanyika shuleni, programu za vijana, maendeleo ya walimu na nyenzo za kujifunzia. Kampuni pia imeunga mkono Tuzo za TEHAMA, zinazotambua mafanikio na ubunifu katika sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano nchini Tanzania, na kutoa fursa kwa vipaji vya ndani na suluhisho za kiteknolojia kutambulika zaidi. Mipango hii inaonesha namna ushiriki wa sekta binafsi unavyoweza kwenda zaidi ya uwekezaji wa mitaji na kujumuisha kukuza ujuzi na uwezo wa ubunifu unaohitajika kwa maendeleo ya uchumi ya muda mrefu. Kufikia uwezo halisi wa Tanzania Kwa kuangalia mbele, Tanzania ina uwezo wa kuwa kitovu kinachoongoza cha huduma za kidijitali katika Afrika Mashariki na Kati, ikiwa na fursa ya kutoka katika nafasi ya kuwa mtumiaji mkuu wa teknolojia na kuwa mzalishaji na msafirishaji wa huduma za kidijitali. Kosa kubwa litakuwa kuzingatia huduma za kidijitali bila kuimarisha misingi inayozitegemeza. Mageuzi ya kidijitali lazima yawe jumuishi, ya gharama nafuu na yaungwe mkono na ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi na watoa huduma za teknolojia. Kwa sekta binafsi, hapo ndipo mabadiliko kutoka kwenye matarajio na mipango kwenda kwenye utekelezaji yanapoweza kuonekana kwa vitendo. Kufikia matarajio ya Dira 2050 kutahitaji kampuni si tu kutumia fursa mpya zinazojitokeza, bali pia kuwekeza katika miundombinu, ujuzi na uwezo wa kibiashara unaowezesha fursa hizo kufikiwa na kuleta matokeo halisi. Pichani ni: Manish Govindji, Afisa Mtendaji Mkuu wa Liquid Intelligent Technologies Tanzania.

Wed, 25 Nov 2026 06:15:39 +0000
Uncategorized · The Observer Uganda

Feeling fine is not a test result

Greet anyone in Uganda and the answer comes back before you finish asking: “I am fine.” We say it at the gate, on the phone,…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Chicken run: Australia police charge woman after poultry heist

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

FATUMAH HUSSEIN: When Hope Turns into Frustration: How Youth Exclusion, Broken Promises and Economic Hardship Threaten Peace and National Security

Every society makes an unspoken promise to its young people: study hard, work hard, contribute to your community and you will have an opportunity to build a better future. It…

Recently
Uncategorized · KBC

MPs question Ksh553M pending bills at Deputy President’s office

Members of the National Assembly Departmental Committee on Administration and Internal Security have questioned the recurrence of pending bills at the Office of the Deputy President, demanding an explanation for…

Recently

Page 13 of 1119 · 22368 stories