Search the region
22642 stories
Bonge la Mpango: NMB yatangaza washindi 20 wa kwanza
Benki ya NMB imetangaza washindi 20 wa kwanza wa kampeni yake ya Bonge la Mpango ‘Weka na Ushinde’, inayolenga kuhamasisha utamaduni wa kuweka akiba miongoni mwa Watanzania. Washindi hao wametangazwa kufuatia droo iliyofanyika jana katika Soko la Mwanjelwa, jijini Mbeya, ambapo kila mmoja amejishindia Sh 100,000. Akizungumza wakati wa droo hiyo, Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Wogofya Mfalamagoha, alisema benki hiyo imetenga Sh milioni 600 kwa ajili ya zawadi mbalimbali kupitia kampeni hiyo, inayolenga kuwajengea wateja nidhamu ya kuweka akiba ili kufikia malengo yao ya kifedha. Mbali na zawadi za fedha taslimu za Sh 100,000 kwa kila mshindi wa droo za kila wiki na Sh 500,000 kwa kila mshindi wa droo za kila mwezi, wateja wana fursa ya kujishindia pikipiki 20 (bodaboda) na magari matatu mapya, yakiwemo mawili aina ya Ford Ranger na Toyota Land Cruiser moja maalumu kwa shughuli za utalii. Kampeni hiyo, itakayohitimishwa Januari 31, 2027, inawahamasisha wateja wa NMB kuweka akiba kwa malengo huku wakipata fursa ya kujishindia zawadi mbalimbali. Droo za kampeni hiyo zinafanyika chini ya usimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania. #NMB #BongeLaMpango #WekaNaUshinde.
Thu, 19 Nov 2026 04:00:00 +0000Mbadi, AG Oduor found guilty of contempt, to be sentenced next week
Court finds Treasury CS Mbadi and AG Oduor guilty of contempt for failing to disclose Kenyas sovereign bond agreements.
Thu, 19 Nov 2026 10:37:19 +0300Sifuna speaks out on Babu Owino fallout in Linda Mwananchi
Latest · Politics
RecentlyMWENDA TEZI NA OMO MAREJEO NGAMANI.
Ngorongoro imeendelea kung’ara katika ramani ya utalii wa kimataifa baada ya wageni kutoka Safari Club International ya Marekani, pamoja na washiriki kutoka Afrika Kusini, Msumbiji, Malawi na Uganda, kuvutiwa na maajabu ya eneo hilo na kuahidi kuwa mabalozi wa utalii wa Tanzania katika mataifa wanayotoka. Wageni hao waliduwazwa na maajabu ya Ngorongoro ikiwa ba pamoja na kushuhudia wanyama wakubwa watano Big Five, na makundi ya Pundamilia, Nyati, Nyumbu, swalabna nyani wakifurahia maisha Ngorongoro ambayo ni kivutio bora cha utalii Afrika. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya wanyamapori, Wizara ya Maliasili na Utalii, amesema ziara hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali katika kuitangaza Tanzania kimataifa na kuunga mkono kampeni ya The Royal Tour inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ziara hii imethibitisha msemo wa wahenga usemao Mwenda tezi na omo marejeo ngamani Kwani Hifadhi hii imeendelea kuwa daraja la kuitangaza Tanzania kupitia uzoefu halisi wa wageni, ambapo kila anayefika Ngorongoro hupata uhalisia wa ndoto yake kwa kushuhudia maajabu ya wanyamapori, malikale na urithi wa utamaduni, maporomoko ya maji, mchanga unaohama, kasoko za Ngorongoro, Empakai na Olmoti.
Thu, 19 Nov 2026 07:38:46 +0000‘Tuko Pamoja: Kigezi’ Earns Best Documentary Nomination at 2026 iKON Awards
Read the full report from the original source.
RecentlyEQUITY GROUP’S JAMES MWANGI: The barefooted herdboy from Nyagatugu, central Kenya, shepherding the transformation of African banking
Read the full report from the original source.
RecentlyAgricultural innovations eye European markets
ITALY: TANZANIA’S locally developed agricultural innovations are gaining opportunities to reach international markets, as global platforms open doors for investment,…
RecentlyUganda’s Economy Surpasses $70bn as Government Targets $100bn Before 2030
Read the full report from the original source.
RecentlyXi, Trump and Putin: Why the World Needs Major Powers to Manage Their Differences
Fifth Estate · 5 hours ago
RecentlyBuurman strikes late to inspire Chelsea beat PSG and close on last eight
Football · 4 hours ago
RecentlyKisumu stakeholders rally support for Lake Victoria restoration
Latest · Counties
RecentlyMaanzo: UDA stole ‘Usawa ni Sawa’ slogan from Sifuna
The Makueni senator claims Sifuna first popularised the slogan during the launch of The Equitable Party on October 4.
RecentlyTanzania’s Mollel makes top-10 start in Lagos
LAGOS: TANZANIAN professional golfer Nuru Mollel (pictured) is flying the country’s flag as its sole representative at the SDT-EAS 11…
RecentlyAbushiri set for Palmeiras’ trial –Hersi
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans president Hersi Said said that the club is working to secure international trial opportunities for…
RecentlySurviving two months with children at home
DAR ES SALAAM: THE school bells have gone silent, uniforms have been put away, and school bags are resting in…
RecentlyZanzibar inflation rises to 5.06pc in October
ZANZIBAR: ZANZIBAR’S annual inflation rate accelerated to 5.06 per cent in October from 4.33 per cent in September, driven by…
RecentlyTanzania grapples with stablecoin growth amid regulatory loopholes
Read the full report from the original source.
RecentlyNile Breweries Celebrates Farmers in Sebei Region
Read the full report from the original source.
RecentlyMoH launches distribution of 10.8m treated mosquito nets in 18 counties
The campaign comes against the backdrop of gains made, with the country recording a 34 per cent decline in confirmed malaria cases
RecentlyFarming family’s journey towards resilience
TANZANIA: WHEN heavy rains swept t h r o u g h Ruhita village in Kigoma Region, Ms Yusita Buhagwa…
RecentlyPage 136 of 1133 · 22642 stories