Unganishwa

Search the region

22654 stories

Uncategorized · The Standard

Ruto struggles to address the pain of the cost of living, defends record

President William Ruto on Wednesday defended his administration's record, saying the country is on an upward trajectory.

Thu, 19 Nov 2026 00:00:00 +0300
Uncategorized · Chimpreports

Half of Uganda’s Manufacturing Capacity Lies Idle, Ggoobi Reveals

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Chimpreports

Fraudsters Target Schools, Demand Shs 200,000 to Alter UNEB Continuous Assessment Scores

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Techweez

TikTok and ICC Launch Digital Commerce Labs to Help Kenyan Businesses Turn Views Into Sales

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Truck drivers stranded at Kenya-Ethiopia border after ethnic clashes paralyse key trade route

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Two suspects arrested for demanding Ksh.75K bribe to release title deeds in Kajiado

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Afrique

Vidéo — Sénégal : Thieppe pleure ses fils disparus en mer

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

US Pentagon chief Hegseth signs military deal in Venezuela

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Would Ukraine trade land for NATO membership or protection?

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

TANZANIA NA FINLAND KUIMARISHA DIPLOMASIA YA AMANI NA UPATANISHI WA MIGOGORO

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa James Kinyasi Millya (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Finland nchini, Mheshimiwa Anna Marrifield, pamoja na ujumbe wa CMI – Martti Ahtisaari Peace Foundation ulioongozwa na Bi. Tiina Kukkamaa-Bah. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara, tarehe 18 Novemba, 2026 jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Millya amesisitiza umuhimu wa kuandaa Mpango Kazi wa mwaka 2027 wa kutekeleza Hati ya Makubaliano kati ya Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim na CMI. Mpango huo utajikita katika mafunzo ya upatanishi kwa wanadiplomasia vijana na kuimarisha diplomasia ya kuzuia migogoro katika Ukanda wa Maziwa Makuu. Balozi Marrifield ameishukuru Tanzania kwa kuendeleza ushirikiano na Finland katika biashara, uwekezaji na maendeleo. Pia ameeleza utayari wa Finland kuimarisha ushirikiano na Tanzania katika majukwaa ya kimataifa, yakiwemo yale ya Umoja wa Mataifa, kuhusu masuala yenye maslahi ya pamoja. Vilevile, ameeleza pia utayari wa CMI kushirikiana na Tanzania katika upatanishi na kuzuia migogoro kupitia majukwaa mbali mbali ya mazungumzo.

Wed, 18 Nov 2026 18:40:41 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

DKT. ABBASI AONGOZA MAANDALIZI YA TUZO ZA WORLD TRAVEL AWARDS SERENGETI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Novemba 18, 2026 ameongoza kikao cha Kamati ya Maandalizi ya Hafla ya Ugawaji Tuzo za World Travel Awards (WTA) zinazotarajiwa kufanyika Desemba 12, 2026 katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Akizungumza katika kikao hicho, Dkt. Abbasi amesisitiza kuwa tukio hilo ni la kimataifa na lenye hadhi kubwa, hivyo maandalizi yote yanapaswa kuzingatia ukubwa na umuhimu wake ili kuhakikisha linafanyika kwa viwango vya kimataifa. Amesema Tanzania inapata fursa adhimu ya kuitangaza zaidi nchi kimataifa kupitia tukio hilo, huku Serengeti ikiwa mwenyeji wa wageni na wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kutoka sehemu tofauti duniani. Serengeti, inayotambulika kimataifa kwa tukio la kipekee la uhamaji wa mamilioni ya Nyumbu (Wildebeest Migration), inatarajiwa kuwa jukwaa la kuonesha uzuri wa vivutio vya Tanzania na ubora wa huduma za utalii.

Wed, 18 Nov 2026 19:53:04 +0000
Uncategorized · Yaga Burundi

Que change l’IA pour les jeunes au Burundi ?

L’intelligence artificielle a fait une entrée fracassante dans notre quotidien. Elle rédige, traduit, corrige, dessine, analyse, programme et répond parfois mieux que certains services clients. Nous lui confions des tâches qui, il y a quelques années encore, nécessitaient du temps, […] L’article Que change l’IA pour les jeunes au Burundi ? est apparu en premier sur Yaga Burundi .

Wed, 18 Nov 2026 19:50:28 +0000
Business · Issa Michuzi

TANZANIA, UGANDA KUKATA VIKWAZO VYA BIASHARA, KUFUNGUA FURSA ZA MASOKO

Na Janeth Raphael -MichuziTv Tanzania na Uganda zimekubaliana kuharakisha hatua za kuondoa vikwazo vya biashara, kupanua masoko ya bidhaa zinazozalishwa katika nchi hizo na kuboresha miundombinu ya usafirishaji, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza biashara, uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi baina ya mataifa hayo mawili. Makubaliano hayo yamefikiwa Novemba 18, 2026, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alipoanza ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini Uganda kwa mwaliko wa mwenyeji wake, Rais Yoweri Kaguta Museveni. Rais Samia aliwasili Ikulu ya Entebbe na kupokelewa rasmi na Rais Museveni kabla ya kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamejadili namna ya kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi, kuongeza biashara na uwekezaji, kurahisisha upatikanaji wa masoko pamoja na kuondoa vikwazo vinavyoathiri usafirishaji wa bidhaa kati ya Tanzania na Uganda. Akizungumza katika mazungumzo hayo, Rais Samia amesema nchi hizo zimepiga hatua katika utekelezaji wa makubaliano ya awali yaliyohusu biashara, uwekezaji, nishati, usafiri na miundombinu, huku akisisitiza umuhimu wa kuongeza kasi ya utekelezaji wake ili kuleta matokeo yanayotarajiwa. Ameeleza kuwa changamoto za usafiri na usafirishaji ni miongoni mwa mambo yanayokwamisha ukuaji wa biashara kati ya nchi hizo, akibainisha kuwa Tanzania inaendelea kuboresha miundombinu ya usafiri ikiwemo reli na bandari. Amesema Tanzania ipo tayari kushirikiana na Uganda katika utekelezaji wa mradi wa reli ya kisasa utakaounganisha Isaka na maeneo ya mpakani mwa Uganda, huku maboresho na upanuzi wa Bandari za Dar es Salaam na Tanga vikilenga kurahisisha usafirishaji wa bidhaa katika ukanda wa Afrika Mashariki. “Tanzania itaendelea kushirikiana na Uganda kwa moyo wa watu wamoja, hatima moja. Sasa ni wakati wa kuharakisha utekelezaji wa tuliyokubaliana,” amesema Rais Samia. Aidha, ameipongeza Uganda kwa kuanza ujenzi wa ubalozi wake katika Mji wa Serikali Dodoma, ikiwa ni nchi ya kwanza kuanza ujenzi wa ubalozi katika mji huo tangu kuzinduliwa kwake. Kwa upande wake, Rais Museveni amesema biashara kati ya Tanzania na Uganda inapaswa kuzingatia mahitaji na fursa zilizopo katika kila nchi, akitolea mfano wa mchele unaozalishwa Tanzania ambao una soko kubwa nchini Uganda kutokana na ubora na bei yake, pamoja na sukari inayozalishwa Uganda ambayo ina mahitaji katika soko la Tanzania. Amesema Uganda ina ziada ya sukari, hivyo ni muhimu nchi hizo kuruhusu biashara yenye manufaa kwa pande zote mbili. Rais Museveni ameonya dhidi ya shinikizo la ndani la kuzuia bidhaa kutoka nchi jirani, akieleza kuwa hatua hizo zinaweza kudhoofisha uzalishaji na kuathiri uhusiano wa kibiashara. Amesisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kushirikiana katika usimamizi wa rasilimali, uzalishaji na upatikanaji wa masoko kwa manufaa ya wananchi. Viongozi hao pia wamejadili ushirikiano katika sekta ya nishati, hususan usafishaji wa mafuta na miradi ya viwanda. Rais Museveni amesema Uganda inapanga kujenga kiwanda kidogo cha kusafisha mafuta Hoima na kuunga mkono ujenzi wa kiwanda kikubwa zaidi jijini Tanga, Tanzania. Kwa pamoja, viongozi hao wamehimiza kuharakishwa kwa utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa ili kuimarisha uchumi na kuongeza manufaa ya ushirikiano kwa wananchi wa nchi hizo mbili.

Wed, 18 Nov 2026 19:45:38 +0000
National · Issa Michuzi

AWESO AOMBA RADHI WAKAZI PANGANI -KIBAHA KUCHELEWA MRADI WA MAJI, ATOA MAAGIZO

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, ameiwasilisha kwa Serikali kero ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Pangani na maeneo mengine ya jimbo hilo, akilalamikia kusuasua kwa utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Pangani–Kibaha wenye thamani ya Sh bilioni 9.8 ambao hadi sasa umefikia asilimia 13 pekee. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Stendi ya Zamani ya Maili Moja, Kibaha, Novemba 18, 2026, mbele ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Koka alisema mradi huo uliosainiwa mwaka 2023 umepitia changamoto mbalimbali na kuchelewa kukamilika licha ya wananchi kuwa na matumaini makubwa ya kupata huduma ya maji. Alisema mradi huo sasa una takribani miaka mitatu tangu kusainiwa, lakini maendeleo yake hayaridhishi, hali inayowafanya wananchi kuendelea kukabiliwa na changamoto ya maji. "Wananchi wamekata tamaa, mbali na Kata ya Pangani kukosa maji, wananchi wa Lulanzi, Viziwaziwa na Kilimahewa wanataabika kwa maji," alisisitiza Koka. Mbunge huyo alitaja pia changamoto nyingine kuwa ni uhitaji wa huduma ya usafiri wa mwendokasi, ujenzi wa barabara ya Kongowe–Soga–SGR kwa kiwango cha lami pamoja na kukamilishwa kwa sehemu iliyobaki ya barabara ya Tamco–Mapinga, akieleza kuwa ni miundombinu muhimu katika kukuza uchumi na kurahisisha usafirishaji. Aliongeza kuwa hakuna sababu ya wananchi kusubiri hadi tenki likamilike ndipo wapate maji, hivyo akamuagiza Mkurugenzi wa DAWASA kusimamia kwa karibu utekelezaji wa mradi huo ili huduma ianze kupatikana kadri miundombinu inavyokamilika. Kwa upande wake, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alisema kuchelewa kwa mradi huo hakukutokana na uzembe wa mbunge wala taasisi husika, bali Serikali ilielekeza fedha katika baadhi ya miradi mikubwa ya kimkakati. Alieleza baada ya kukamilika kwa miradi hiyo ya kimkakati, Serikali inaendelea kuelekeza nguvu katika kukamilisha miradi mingine na kuhakikisha wakandarasi wanalipwa ili kazi ziendelee, huku akiwaomba wananchi kuwa na subira wakati hatua hizo zikiendelea.

Wed, 18 Nov 2026 19:36:02 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Ex-NBA forward Deng Adel headlines Nairobi City Thunder's BAL Elite 16 recruitment

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

BILA KITAMBULISHO CHA NIDA HAKUNA NDOA-KAJI

-Ni baada ya kufanyika maboresho yanayowezesha kubeba taarifa zote za mwananchi -Sasa hadi kundi lako la damu,namba ya mlipa kodi zote zitapatikana ndani ya NIDA Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kibaha WANANCHI wanaotarajia kufunga ndoa nchini watalazimika kutumia Kitambulisho cha Taifa (NIDA) kuthibitisha utambulisho wao, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuunganisha mifumo ya usajili na utambuzi wa watu na taasisi mbalimbali za Serikali. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kaji, wakati akielezea maboresho ya kitambulisho kipya cha taifa, akisema Serikali inalenga kujenga mfumo mmoja wa kidijitali utakaounganisha taarifa muhimu za mwananchi kuanzia kuzaliwa hadi kufariki. Amesema NIDA inaendelea na mazungumzo na taasisi mbalimbali, ikiwemo viongozi wa dini, ili kuunganisha mifumo yao na mamlaka hiyo, hatua itakayowezesha taarifa za ndoa, vyeti vya kuzaliwa na talaka kuthibitishwa kupitia utambulisho mmoja. Ameongeza mfumo huo pia utasaidia kudhibiti matumizi ya vitambulisho vya watu wengine, ikiwemo wageni wanaotumia utambulisho wa Watanzania kupata huduma ambazo hawastahili. Akizungumza leo Novemba 18,2025 katika uzinduzi wa kitambulisho kipya cha taifa na teknolojia mpya ya uzalishaji wake, Kaji amesema kitambulisho hicho kimeboreshwa kutoka kuwa nyenzo ya kumtambua mtu pekee na kuwa nyenzo pana ya kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali. “Tutazungumza na viongozi wetu wa dini watumie vitambulisho vya NIDA katika kufungisha ndoa. Bila kuwa na kitambulisho cha NIDA hakuna ndoa, kuna watu sio raia wanakuja wanachukua dada zetu,wanachukua kaka zetu na kufunga ndoa kumbe wana mambo yao,hivyo kupitia kitmbulisho cha NIDA kutakuwa na taarifa zote ,hata kukiwa na talaka kitaonesha.” Kaji amesema kupitia kitambulisho cha kipya cha NIDA kitakuwa na uwezo wa kuunganisha taarifa na huduma muhimu, zikiwemo za cheti cha kuzaliwa, bima ya afya, namba ya mlipa kodi (TIN) na kundi la damu, huku mazungumzo yakiendelea na taasisi husika ili kuwezesha matumizi hayo. Ameongeza kwa upande wa bima ya afya, baadhi ya mifumo tayari imeanza kutumia utambulisho wa NIDA, hivyo mwananchi ataweza kupata huduma bila kulazimika kubeba kitambulisho kingine cha bima. Kuhusu kundi la damu, amesema pia taarifa hiyo itawekwa kwenye kitambulisho ili kurahisisha utambuzi wa awali wakati wa dharura, ikiwemo ajali, ingawa wahudumu wa afya wataendelea kufanya vipimo vya kuthibitisha kabla ya kutoa huduma. Aidha, amesema kitambulisho hicho kitakuwa na uwezo wa kutumika kama hati ya kusafiria katika baadhi ya nchi za Afrika Mashariki na Kati ambazo zimekubaliana na Tanzania, kupitia mfumo wa utambuzi unaounganishwa na mamlaka za uhamiaji. Ameongeza maboresho hayo yamefanyika katika maeneo matatu makuu ambayo ni usalama, uimara na uwezo wa matumizi, huku teknolojia ya Laser Engraving ikitumika kuchora taarifa na picha za mwananchi ndani ya tabaka la kadi badala ya kuchapisha wino juu ya uso wake. Alieleza kuwa teknolojia hiyo inalenga kuondoa changamoto ya vitambulisho kufutika, iliyokuwa ikilalamikiwa na wananchi katika mfumo wa zamani, pamoja na kupunguza uwezekano wa kughushi. Pia kitambulisho kipya pia kina vipengele vya kisasa vya usalama, ikiwemo alama zinazobadilika kulingana na mwanga, vinavyotambulika kwa mguso, pamoja na teknolojia ya QR Code na Machine Readable Zone (MRZ) kwa ajili ya kusoma na kuthibitisha taarifa za mwananchi. Katika hatua nyingine, amesema NIDA imepata msukumo mkubwa wa uwekezaji kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan, ikiwemo kuongezewa bajeti na vitendea kazi vilivyosaidia kuboresha utoaji wa huduma. Kuhusu vitambulisho vya zamani, Kaji amesema vile vilivyokuwa vikifutika kutokana na changamoto za teknolojia ya awali vinaweza kurejeshwa katika ofisi za NIDA kwa ajili ya kubadilishwa bila malipo. Pia amesema mamlaka hiyo ina zaidi ya vitambulisho milioni 1.2 ambavyo havijachukuliwa na wahusika, hivyo kuwataka wananchi kuvifuata ndani ya miezi mitatu kuanzia Novemba 19, 2026, kabla ya kusitisha matumizi ya namba zilizotolewa kwa waliosajiliwa lakini hawajachukua vitambulisho vyao. “Maboresho hayo ni sehemu ya safari ya kuijenga Tanzania ya kidijitali, ambako utambulisho mmoja utawezesha taasisi mbalimbali kuthibitisha taarifa za wananchi na kutoa huduma kwa urahisi, usalama na ufanisi zaidi.”

Wed, 18 Nov 2026 19:33:32 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Episode 23 19Th November 2026

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Episode 25 19Th November 2226

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Episode 26 19Th November 2226

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

NYONGO AAGIZA MFUMO WA TAHADHARI ZA TABIANCHI ULETE MATOKEO CHANYA SHULENI

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani WAKURUGENZI wa Halmashauri mkoani Pwani wameagizwa kuhakikisha Dashibodi ya Ramani ya Hatari za Tabianchi inayotumika katika sekta ya elimu inafanya kazi kikamilifu ili kutambua mapema vihatarishi vinavyoweza kuathiri shule na kuchukua hatua za kukabiliana navyo. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, katika uzinduzi wa dashibodi hiyo inayolenga kusaidia kubaini shule zilizo katika hatari ya kukumbwa na mafuriko na ukame, pamoja na kutoa tahadhari za haraka kupitia ujumbe mfupi wa simu (SMS). Nyongo amesisitiza kuwa uzinduzi wa mfumo huo haupaswi kuwa tukio la kawaida lisilo na matokeo, bali unapaswa kuambatana na matumizi endelevu yatakayosaidia kutatua changamoto zilizokusudiwa na kuhakikisha wanafunzi wanaendelea kupata elimu katika mazingira salama licha ya athari za mabadiliko ya tabianchi. Ameelekeza wakuu wa shule kutumia taarifa zinazopatikana kwenye mfumo kutambua vihatarishi katika maeneo yao na kuandaa mipango ya kukabiliana na majanga kulingana na mazingira ya shule husika. Aidha, maofisa elimu wa kata na wilaya wametakiwa kuimarisha usimamizi na ufuatiliaji wa matumizi yake ili taarifa hizo zijumuishwe katika mipango ya kuimarisha usalama wa shule. Pia, ameutaka mkoa na maofisa elimu kushirikiana na maofisa TEHAMA wa mkoa na halmashauri kutoa msaada wa kitaalamu na kutatua kwa haraka changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa matumizi ya mfumo huo. Kwa upande wake, Kiongozi wa Timu ya Programu ya Shule Bora, Virginia Briand, amesema kuboresha ubora wa elimu kunahitaji miundombinu himilivu, walimu wenye uwezo, mazingira salama ya kujifunzia na mifumo imara inayowezesha shule kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Amesema katika kipindi cha miaka sita ya utekelezaji wa programu hiyo, imefanikiwa kusaidia kuweka teknolojia za kupikia safi katika shule 22 za mikoa ya Pwani na Katavi, zikiwemo 12 za Pwani, pamoja na kukamilika kwa takribani madarasa 121 yanayozingatia ustahimilivu dhidi ya athari za tabianchi katika shule 80, zikiwemo shule 10 za Pwani. Ameongeza kuwa Programu ya Shule Bora inayofadhiliwa na Serikali ya Uingereza kupitia FCDO, inatekelezwa chini ya Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kwa msaada wa kitaalamu wa Cambridge Education. Naye mwakilishi wa Mkurugenzi wa TEHAMA wa Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Erick Lesilwa, amesema dashibodi hiyo ni nyenzo muhimu ya kuboresha utendaji na kuhakikisha kila mtoto anapata elimu katika mazingira salama.

Wed, 18 Nov 2026 19:28:14 +0000

Page 143 of 1133 · 22654 stories