Search the region
22655 stories
Uganda Digital Society elects new secretariat
The Uganda Digital Society (UDS) has elected a new Secretariat led by President-elect Rhoda Musiima, as the country accelerates efforts to expand digital connectivity, strengthen…
RecentlyMubende Hospital Opens Level 3 Neonatal Unit to Boost Newborn Survival
Read the full report from the original source.
RecentlyDuale reaffirms commitment to health reforms, accountability
Read the full report from the original source.
RecentlyCheza Mizunguko 100, Upate Mizunguko 50 Ya Bure
MERIDIANBET kwa kushirikiana na Expanse Studios imekuja na ofa maalumu kwa wapenzi wa michezo ya kasino kupitia mchezo wa Wild White Whale, ambapo wachezaji wanapata nafasi ya kutuzwa mizunguko 50 ya bure baada ya kucheza mizunguko 100 katika mchezo huo. Ofa hii inalenga kuongeza burudani na kuwapa wateja uzoefu zaidi wanapofurahia michezo ya kasino ndani ya Meridianbet . Kupitia promosheni hii, mchezaji anatakiwa kucheza jumla ya mizunguko 100 katika mchezo wa Wild White Whale ili kustahili kupata zawadi ya mizunguko 50 ya bure siku inayofuata. Kinachofanya ofa hii kuwa ya kipekee ni kwamba zawadi hiyo hutolewa bila kujali kama mchezaji ameshinda au amepoteza katika mizunguko yake 100 ya mwanzo. Wild White Whale ni mchezo unaopatikana ndani ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, ukiwapa wachezaji nafasi ya kufurahia burudani ya kidijitali kupitia mfumo wake wa uchezaji. Kupitia ofa hii, wapenzi wa kasino wanaweza kuufurahia mchezo huku wakipata fursa ya kuongezewa mizunguko mingine 50 ya bure kwa mujibu wa masharti ya promosheni. Ni muhimu kufahamu kuwa mizunguko hiyo ya bure inatumika katika mchezo wa Wild White Whale pekee. Ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja, Meridianbet pia inahifadhi haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni wakati wowote, huku washiriki wakitakiwa kuzingatia vigezo na masharti ya kampuni. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Usipitwe na ofa hii maalumu! Tembelea Meridianbet, soma vigezo na masharti ya promosheni, kisha furahia mchezo wa Wild White Whale . Kumbuka furaha ya krismas imeambana na meridianbet msimu huu. Jiunge na meridianbet ufurahie mizunguko ya bure.
Wed, 18 Nov 2026 06:06:00 +0000Je Pochettino Kuikomboa Man United?
KLABU ya Manchester United sasa imeamua kufanya mabadiliko kwa kumleta kocha mpya klabuni kwao ambaye ni Mauricio Pochettino akichukua nafasi ya Carick. Je kocha huyo ataifikisha wapi? Klabu ya Manchester United bado inapitia wakati mgumu msimu huu baada ya mfululizo wa matokeo mabaya kwenye mashindano yote ambapo klabu imelazimika kuachana na aliyekuwa kocha wao Michael Carrick na kuleta kocha mpya ambaye ni Pochettino. Carrick ameiacha klabu ikiwa nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi, yaani nafasi ya 3 kutoka chini kwenye kushuka daraja baada ya kucheza mechi 10 hadi sasa huku mara ya mwisho kushinda kwenye ligi ilikuwa ni mwezi Agosti wakiwa wameshinda mechi moja pekee. Tatizo la United si matokeo pekee, bali pia kushindwa kupata mwendelezo mzuri wa mchezo. Katika mechi zake za hivi karibuni, ilipoteza dhidi ya Bournemouth kwa mabao 3-0 na Chelsea kwa mabao 2-0, kabla ya kutoka sare ya mabao 4-4 dhidi ya Aston Villa. Licha ya uwezo wa Bruno Fernandes na Bryan Mbeumo kuchangia mabao, timu imekuwa ikishindwa kulinda matokeo na kuzuia wapinzani kupata nafasi za kufunga. Jisajili hapa. Nafasi ya ushindi ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno , Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Na kwenye michuano ya Uefa pia bado hali ni mbaya ambapo United imerejea kushiriki michuano hiyo baada ya misimu miwili, lakini bado mwenendo wao hauridhishi kwani mpaka sasa inashika nafasi ya 17 wakiwa na pointi 6 pekee hadi sasa kwenye mechi 4 ambazo wamecheza. Mchezo ujao wanatarajiwa kukipiga dhidi ya Sporting CP utakuwa mtihani muhimu kwa kikosi hicho, hasa ikizingatiwa kuwa kinahitaji kuboresha matokeo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele. Kutokana na mwenendo huo, klabu iliamua kumuondoa Michael Carrick kwenye nafasi ya kocha mkuu Novemba 12. Carrick alikuwa amepewa nafasi hiyo baada ya kuondoka kwa Ruben Amorim, na aliwahi kuiongoza United kumaliza nafasi ya tatu kwenye EPL msimu uliopita na kufuzu Champions League. Hata hivyo, mwanzo mbaya wa msimu mpya, ukiwemo mfululizo wa mechi bila ushindi, ulifanya uongozi wa klabu kuchukua uamuzi wa kubadilisha benchi la ufundi. Na sasa kibarua kizito amekabidhiwa Mauricio Pochettino ambaye amepewa makataba utakaodumu hadi mwaka 2029. Kocha huyo an uzoefu mkbwa na ligi hiyo ambapo tayari ameonoa vilabu kama Tottenham Spurs pamoja na Chelsea kabla ya kwenda kuinoa timu taTaifa ya Marekani. Pochettino ataanza mtihani wake wa kwanza na mechi dhidi ya Liverpool kule Anfield, moja ya mechi ngumu sana kwa upande wa Mashetani Wekundu na hapo baadae atasafiri kwenda kule Ureno kusaka ushindi dhidi ya Sporting CP. Je kocha huyo ataanza vipi mechi hizo?. Beti sasa . Wadau mbalimbali wanasema kuwa klabu hiyo kwa ujumla inahitaji zaidi ya kubadilisha kocha inahitaji kurekebisha mfumo wa uchezaji, kuongeza uimara wa ulinzi na kurejesha ushindani. Pochettino ana kazi kubwa ya kuifanya timu iondoke kwenye eneo la hatari la kushuka daraja na kuanza kupigania nafasi za juu, huku akihakikisha safari yake ya Champions League haiishii mapema.
Wed, 18 Nov 2026 06:02:00 +0000IRDP YATAKA WAHITIMU KUTUMIA ELIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA JAMII.
Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) kimewataka wahitimu wa chuo hicho kutumia elimu, ujuzi na maarifa waliyoyapata kutatua changamoto za jamii, kujiajiri na kuajiri wengine badala ya kutegemea vyeti pekee kupata ajira, kikieleza kuwa elimu inapaswa kuwa na matokeo yanayoonekana katika maisha ya wahitimu na jamii kwa ujumla. Akizungumza Novemba 18, 2026, jijini Dodoma katika Siku ya Masajili (Convocation) ya chuo hicho, Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi, Joseph Kuzilwa, amesema wahitimu wanapaswa kutumia elimu yao kwa namna inayochangia maendeleo ya taifa kuelekea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050, akisisitiza kuwa cheti si mwisho wa elimu bali ni msingi wa kutumia maarifa kujenga maisha, kujiendeleza kielimu na kuisaidia jamii. Kuzilwa amesisitiza matumizi sahihi ya akili mnemba (AI) katika elimu, akieleza kuwa teknolojia hiyo inaweza kusaidia ufundishaji na ujifunzaji lakini pia inaweza kudhoofisha uwezo wa mtu kufikiri ikiwa itatumika vibaya, amesema matumizi yake yanapaswa kuwa jumuishi kwa kuchanganya na uwezo wao binafsi wa kitaaluma ili kupata manufaa zaidi. Pia amewataka wahitimu waliopo kwenye maeneo ya kazi kushirikiana na chuo kwa kutoa nafasi za mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi, kuwafanyia mentorship na kuwasaidia kupata uzoefu wa mazingira halisi ya kazi, huku waajiri wakitoa mrejesho utakaosaidia kuboresha mitaala na kuendana na mahitaji ya soko la ajira. Kwa upande wake, Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Prof. Hozen Mayaya, amesema chuo kimepiga hatua katika ukuaji na utoaji wa elimu, kutoka kuwa na wanafunzi 14 na watumishi takribani 13 hadi kufikia wanafunzi zaidi ya 15,000 na watumishi 495, akieleza kuwa mafanikio hayo ni sehemu ya juhudi za chuo kuimarisha mchango wake katika maendeleo ya taifa. Mayaya amesema chuo kinaendelea kuimarisha kituo cha ujasiriamali na ubunifu MEI (Mipango Entrepreneurship and Innovation Centre) kwa ajili ya kuwajengea wanafunzi ujuzi wa ziada wa kujiajiri na kuajiriwa, huku kikitarajia kujenga kituo kikubwa cha ubunifu katika Kampasi ya Furaha iliyopo Mjini Dodoma kupitia mradi unaotajwa kuwa na thamani ya Sh bilioni 2.6, utakaowezesha wanafunzi na wadau wengine kupata fursa za ubunifu. Makamu Mkuu wa Chuo anayeshughulikia Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi, Prof. Dimoso, amesema kituo cha ubunifu na ujasiriamali kimeanza kuonesha matokeo kupitia wanafunzi watano wa Diploma ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) waliobuni mfumo wa kidijitali wa kupanga foleni hospitalini, unaomwezesha mgonjwa kujisajili na kupata taarifa ya namba yake pamoja na muda anaotarajiwa kumuona daktari. Amesema mfumo huo utasaidia kupunguza muda wa wagonjwa kusubiri huduma hospitalini, kwa kuwa wanaweza kuendelea na shughuli zao nyingine wakati wakisubiri muda wa kwenda kumuona daktari, huku akieleza kuwa chuo kimeendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia na akili mnemba katika ufundishaji na ujifunzaji na ufaulu wa wanafunzi umeongezeka ikilinganishwa na mwaka uliopita. Katika Siku hiyo ya Masajili, chuo pia kimetambua wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo na wahadhiri waliofanya vizuri katika utafiti na machapisho ya kitaaluma, hatua inayolenga kuhamasisha ubora wa elimu, ubunifu, tafiti na matumizi ya maarifa katika kutatua changamoto za jamii.
Wed, 18 Nov 2026 18:02:25 +0000NDA manager Rwamwiri remanded over false accounting of Shs 300m media funds
The National Drug Authority (NDA) public relations manager, Abiaz Rwamwiri, has been charged before the Anti-Corruption court over allegations that he falsely accounted for Shs…
RecentlyAccord migratoire avec l'Ouganda : ce qui bloque encore les Européens
Read the full report from the original source.
RecentlyMuslims to outnumber Christians globally by 2035, research shows
Read the full report from the original source.
RecentlyJESHI LA MAGEREZA NA VETA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA URASIMISHAJI UJUZI KWA WAFUNGWA
Na Ssgt Mawazo Mtondo - DODOMA. Mkuu wa Sehemu ya Viwanda wa Jeshi la Magereza, Naibu Kamishna wa Magereza (DCP) Dkt. Uswege Mwakahesya, leo Novemba 18, 2026, ameongoza kikao cha maandalizi ya hafla ya kuwatunuku vyeti wafungwa 481 waliohitimu mafunzo ya ufundi kupitia Mfumo Usio Rasmi wa Mafunzo (RPL) chini ya Programu ya Mama Samia. Hafla hiyo inatarajiwa kufanyika mwishoni mwa Novemba 2026 katika Viwanja vya Gereza Karanga, mkoani Kilimanjaro, na itahusisha pia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano kati ya Jeshi la Magereza na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Ushirikiano huo unalenga kutambua, kuthibitisha na kurasimisha ujuzi wa wafungwa ili kuwawezesha kutumia ujuzi huo kujiajiri au kuajiriwa wanaporejea katika jamii.
Wed, 18 Nov 2026 17:54:20 +0000Veteran singer Mariam Ndagire assures fans of classic tented experience at Kingdom Kampala ahead of “The Opus of Love” Concert
KAMPALA: Veteran Ugandan musician, actress, and filmmaker Mariam Ndagire has put to rest lingering speculation regarding the venue of her highly anticipated upcoming show, firmly assuring revellers that "The Opus…
RecentlyPolice warn of traffic disruptions on Kampala-Masaka Highway ahead of Museveni, Suluhu visit
Motorists using the Kampala–Masaka Highway have been advised to expect temporary traffic disruptions on Thursday, November 19, 2026, as police prepare for the visit of two Heads of State to…
RecentlyMinister Babalanda Commends President Museveni’s Leadership In HIV Fight, Urges Uganda to Sustain Gains Towards 2030
MBARARA, UGANDA – The Minister for the Presidency and Member of Parliament for Budiope West Constituency, Hon. Babirye Milly Babalanda, has commended President Yoweri Kaguta Museveni for his visionary leadership…
RecentlyCHUMI ATOA WITO JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) KUIMARISHA BIASHARA YA NDANI KUKABILIANA NA MIGOGORO YA KIMATAIFA
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutoka Tanzania, Mhe.Cosato Chumi, amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuimarisha mshikamano na biashara ya ndani ya kikanda ili kukabiliana na athari za migogoro ya kimataifa. Chumi amesema migogoro inayoendelea duniani imeonesha umuhimu wa nchi za Afrika Mashariki kujenga uchumi imara katika sekta za nishati, kilimo, mbolea na biashara, akisisitiza kuwa soko la zaidi ya watu milioni 300 ndani ya EAC ni fursa kubwa ya kukuza nguvu ya kiuchumi ya ukanda huo. Akizungumza katika Semina ya Mahusiano ya Mabunge kati ya Bunge la Afrika Mashariki na Bunge la Umoja wa Ulaya (Interparliamentary Relations Seminar), amesema nchi wanachama zinapaswa kuondoa vikwazo vya biashara, kuimarisha uzalishaji wa ndani na kuongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa katika ukanda huo ili kupunguza utegemezi wa masoko ya nje. Aidha, amesisitiza kuwa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), kwa kushirikiana na mabunge ya kitaifa, lina wajibu wa kuweka na kusimamia sheria na mifumo inayolinda amani, usalama na ustawi wa kiuchumi wa wananchi. Chumi amesema ushirikiano wa kikanda si jambo la hiari, bali ni hitaji la kimkakati katika kuimarisha usalama wa kiuchumi, kuharakisha maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki. Semina hiyo imejadili athari za migogoro ya kimataifa na mabadiliko ya mifumo ya biashara duniani, pamoja na mikakati ya mabunge katika kulinda usalama wa kiuchumi na kuimarisha ushirikiano wa kikanda.
Wed, 18 Nov 2026 17:48:46 +0000President Ruto: My economic record and promise
Read the full report from the original source.
RecentlyTanzania, Uganda zakubaliana kuharakisha miradi ya nishati, reli
Tanzania na Uganda zimekubaliana kuharakisha utekelezaji wa miradi mikubwa ya nishati, ujenzi wa reli ya kisasa na miundombinu ya usafirishaji, katika hatua inayolenga kuongeza biashara na...
RecentlyThe Growing Absurdity Of HRW’s Campaign Against Rwanda
Read the full report from the original source.
RecentlyKenya’s REITs ranks fourth in Africa behind new entrants
Read the full report from the original source.
RecentlySimba Queens 0-0 Ceasiaa Queens | Highlights | Tanzania Women PL 18/11/2026
Tanzania highlights, jinsi Simba Queens walivyobanwa mbavu na Ceasiaa Queens, na kulazimishwa suluhu kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Simba Queens imefanya kila aina ya mashambulizi langoni kwa Ceasiaa Queens, lakini golikipa Amina Rajabu ameibuka shujaa kwa kuzuia michomo na hatari zote.. Tazama..
2026-11-18T17:29:37+00:00Audio — Journal 17hTU (18.11.26)
To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 video
RecentlyPage 145 of 1133 · 22655 stories