Unganishwa

Search the region

22667 stories

Uncategorized · Business Daily

Kartasi to pay tax on Sh100m flood payout after beating KRA's payroll tax claim

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Ruto says SHA protecting families from financial burden of illness

Ruto says SHA has shifted the burden of medical expenses from households to a shared financing system.

Recently
Uncategorized · The Ankole Times

Don’t Blame the Forces!’ UPDF Commander Warns Troops Over Recovered Cattle Sales

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Kenyan senator demands for Hussein, Mariga resignation

Latest · Football

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto calls for patriotism in war against graft

Ruto challenged public officers entrusted with leadership responsibilities to uphold higher standards of accountability

Recently
Uncategorized · KBC

Usawa ni Sawa: Ruto revisits Isiolo–Mandera road humour as proof of equity

For the first time, the address, which covered various sectors, was anchored on his new slogan, “Usawa ni Sawa”, which political pundits view as a potential campaign mantra in 2027.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Tashima vows to make FIFA 'more trusted' in election bid

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Gov’t approves payment of Ksh.18B owed to universities, Ksh.16B to hospitals

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto calls for patriotism, integrity in war against graft

Ruto challenged public officers entrusted with leadership responsibilities to uphold higher standards of accountability

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

Le Rwanda et cinq États membres de l’Union européenne examinent conjointement la possibilité de mettre en place un centre de retour au Rwanda

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

PDM farmers applaud Nagrc for superior livestock breeds

KAMPALA, UGANDA. — Parish Development Model (PDM) beneficiaries across Uganda are praising the National Animal Genetic Resources Centre and Data Bank (NAGRC&DB) after turning modest start-up funds into high-yielding live

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

NDA PRO Abiaz Rwamwiri Charged with Stealing Shs296 Million Meant For Journalists, Media

Kampala, 18 November 2026 – The Public Relations Manager of the National Drug Authority (NDA), Abiaz Rwamwiri, has been charged with false accounting involving Shs296 million out of Shs324.5 million…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto: Fertiliser subsidy pushes maize production to 71 million bags

The President says maize output has risen from 44 million bags in 2022, reducing imports and lowering unga prices amid growing climate risks

Recently
Uncategorized · The Standard

Ruto defends economic record as public debt climbs to Sh13.5 trillion

President Ruto has defended his economic record, citing the shillings recovery, higher foreign exchange reserves and repayment of a major external debt obligation as evidence of improved stability.

Wed, 18 Nov 2026 16:22:28 +0300
Uncategorized · DW Afrique

CAN 2027 (Q) : les premières équipes qualifiées connues

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Business Daily

Kenya maps coffee flavours to chase premium markets

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto: 707 Kenyans have secured jobs via Kazi Majuu

These Kenyans, he said, are now gaining work experience, supporting their families and contributing to the economy through remittances

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto: 707,000 Kenyans have secured jobs via Kazi Majuu

These Kenyans, he said, are now gaining work experience, supporting their families and contributing to the economy through remittances

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Benki ya Exim Tanzania Yazindua Kampeni ya ‘Maliza Kirahisi Kidigitali-Kamata Kitita’ Kuhamasisha Matumizi ya Huduma za Kidijitali

- Wateja watapata fursa ya kujishindia zawadi za kila wiki na kila mwezi, pamoja na zawadi kuu ya shilingi milioni 15 katika droo ya mwisho wa kampeni. Benki ya Exim Tanzania imezindua kampeni ya miezi mitatu ya ‘Maliza Kirahisi Kidigitali-Kamata Kitita’, inayolenga kuwahamasisha wateja wake kutumia huduma za kibenki za kidijitali katika miamala yao ya kila siku, huku wakipata fursa ya kujishindia zawadi za fedha taslimu. Kampeni hiyo, itakayoendeshwa kuanzia Novemba 2026 hadi Februari 2027, ni sehemu ya juhudi za Benki ya Exim Tanzania za kuendelea kuimarisha nafasi yake katika utoaji wa huduma za kifedha zinazotumia teknolojia na ubunifu. Kwa uzoefu wake katika sekta ya huduma za kifedha, benki imeendelea kuwekeza katika mifumo ya kisasa na kupanua njia zake za huduma za kidijitali, ikiwawezesha wateja kupata huduma za kibenki kwa urahisi, haraka na kwa uhakika. Huduma hizi zinapatikana kupitia njia mbalimbali za kidijitali zinazotolewa na benki, zikiwemo Exim Pay na USSD *150*11#, Internet Banking, Exim WhatsApp Banking, Exim Wakala na Exim Mastercard. Kupitia njia hizi, wateja wanaweza kutuma fedha, kulipia bili, kununua umeme, kufanya manunuzi na kusimamia akaunti zao. Upatikanaji wa huduma kupitia njia hizi mbalimbali unawapa wateja uhuru wa kuchagua huduma inayowafaa kulingana na mahitaji na mazingira yao, huku ukiwawezesha kufanya miamala kwa urahisi na kuokoa muda bila kulazimika kutembelea tawi la benki kwa kila huduma. Akizungumza kuhusu kampeni hiyo, Mkuu wa Kitengo cha Mifumo Mbadala ya kidijitali wa Benki ya Exim Tanzania, Silas Matoi, alisema kampeni hiyo imeandaliwa kuwapa wateja fursa ya kujishindia zawadi mbalimbali, ikiwemo zawadi kuu ya shilingi milioni 15. “Tunataka wateja wetu waweze kufanya miamala yao ya kila siku kwa urahisi kupitia njia mbalimbali za kidijitali. Katika kampeni hii, wateja 30 watajishindia shilingi 50,000 kila mmoja katika droo za kila wiki, huku wateja 10 wakijishindia shilingi 500,000 kila mmoja katika droo za kila mwezi”. “Aidha, katika droo kuu ya mwisho wa kampeni, washindi watatu watajishindia zawadi za shilingi milioni 5, milioni 10 na milioni 15, kulingana na nafasi zao. Tunawahamasisha wateja kutumia huduma zetu za kidijitali na kutimiza vigezo vya kampeni ili waweze kujishindia zawadi hizo,” alisema Matoi. Kwa upande wake, Meneja Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Kauthar D'souza, alisema kampeni hiyo inalenga kuwahamasisha wateja kutumia huduma za kidijitali za Exim katika shughuli zao za kila siku huku wakipata fursa ya kujishindia zawadi. “Tunawahamasisha wateja wetu kutumia huduma za Exim za kidijitali wanapofanya miamala yao ya kila siku. Pamoja na urahisi wanaoupata, wanapata pia fursa ya kuwania zawadi kupitia kampeni hii. Tunawakaribisha wateja wote kushiriki kwa kutumia huduma zetu za kidijitali na kutimiza vigezo vilivyowekwa. Ujumbe wetu ni rahisi: Maliza Kirahisi Kidigitali-Kamata Kitita!” alisema D'souza. Kwa upande wake, Afisa Mkaguzi wa Michezo ya Kubahatisha, Pendo Albert Mfuru, alisema droo za kampeni hiyo zitaendeshwa kwa mfumo wa kielektroniki unaochagua washindi kwa nasibu, chini ya usimamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania. Alisisitiza kuwa usimamizi huo unalenga kuhakikisha mchakato wa upatikanaji wa washindi unafanyika kwa haki na uwazi. “Tunathamini juhudi za kampuni zinazotoa promosheni zenye zawadi kwa wateja wao. Katika kampeni hii, tutasimamia mchakato wa droo ili kuhakikisha unafanyika kwa haki na uwazi, huku washiriki wanaotimiza vigezo na masharti wakipata nafasi ya kuwania zawadi,” alisema Mfuru. Kampeni ya ‘Maliza Kirahisi Kidigitali-Kamata Kitita’ ni sehemu ya juhudi za Benki ya Exim Tanzania za kuendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia na ubunifu katika utoaji wa huduma za kifedha. Kupitia kampeni hii, benki inalenga kuwahamasisha wateja kutumia njia zake mbalimbali za kidijitali katika miamala yao ya kila siku, wakinufaika na urahisi na uhakika wa huduma hizo huku wakipata fursa ya kujishindia Zawadi.

Wed, 18 Nov 2026 06:00:00 +0000
Uncategorized · DW Afrique

Kigali défend son modèle d'accueil des réfugiés

Read the full report from the original source.

Recently

Page 151 of 1134 · 22667 stories