Search the region
22672 stories
Uhuru Gardens set for opening as National Museums takes over heritage site
NMK would take over the operation of the facility, with the original Turkana Boy set to be its anchor exhibit in line with a presidential directive
RecentlyState seeks ODPC action against entities exploiting children’s images for fundraising
Latest · News
RecentlyYAS YAZINDUA KAMPENI YA ‘MAGIFTI YA VIWANGO’ KUSHEREHEKEA MWAKA WA VIWANGO, GARI LA SHILINGI MILIONI 100 KUWA ZAWADI KUU
-Kampeni inaendeleza mafanikio ya Mtandao wa Viwango kwa kuwazawadia wateja waliochagua Yas Kampuni ya mawasiliano ya Yas Tanzania imezindua ‘Magifti ya Viwango’, Kampeni ya miezi mitatu katika msimu huu wa sikukuu inayowapa wateja wake kote nchini fursa ya kushinda zawadi mbalimbali, zikiwemo gari jipya lenye thamani ya shilingi milioni 100, shilingi milioni moja kila siku, simu janja mpya aina ya iPhone 18 kila wiki na shilingi milioni 10 kila mwezi. Kampeni hiyo inalenga kusherehekea Mwaka wa Viwango, katika kipindi ambacho Yas Tanzania imepata mafanikio makubwa katika kuimarisha mtandao wake. Mafanikio hayo yametokana na uwekezaji katika kupanua wigo wa mtandao, kuongeza uwezo wake na kuimarisha uthabiti wake. Mpaka sasa, Yas inajivunia kuwa na mtandao wenye kasi zaidi na unaofika katika maeneo mengi zaidi nchini. Mtandao huo una zaidi ya minara 4,900 huku teknolojia yake ya 5G ikiendelea kupanuka sambamba na teknolojia mpya kama VoLTE. Hatua hizo zinawawezesha watu binafsi, wafanyabiashara na taasisi kushiriki kikamilifu katika uchumi wa kidijitali. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, Afisa Mkuu wa Teknolojia na Ufundi - Yas Tanzania, Bw. Emmanuel Mallya, alisema, “Uwekezaji wetu wa zaidi ya shilingi trilioni 1.2 kwenye mtandao unadhihirisha dhamira yetu ya kuwapatia Watanzania huduma bora za mawasiliano. Tumeendelea kupanua wigo wa mtandao wetu, kuongeza uwezo wake na kuimarisha uthabiti wake ili kuwawezesha wateja kufanya mambo mengi zaidi kupitia teknolojia. Iwe ni kupiga simu, kutazama maudhui mtandaoni, kujifunza, kufanya kazi au kuendesha biashara, tunataka kuhakikisha mtandao wetu unarahisisha shughuli zao za kila siku,” alisema. Kwa upande wake, Afisa Mkuu wa Biashara wa Yas Tanzania, Bw. Norman Kiondo, alisema mtandao imara na wa kisasa una mchango mkubwa katika kuharakisha mageuzi ya kidijitali. Aliongeza kuwa mtandao wa aina hiyo pia unaongeza ushindani wa biashara na kuchochea ukuaji wa uchumi. “Tunaposherehekea Mwaka wa Viwango, biashara nyingi zaidi nchini zinakumbatia teknolojia ya kidijitali ili kukua na kutengeneza fursa mpya. Lengo letu si tu kutoa mtandao unaoendesha uchumi wa kidijitali, bali pia kutoa suluhisho za kidijitali zitakazosaidia biashara kujiendesha kwa ufanisi na kukua,” alisema Bw. Kiondo. Kampuni hiyo imesema kuwa uwekezaji wake unaendelea kufungua fursa kote nchini. Hata hivyo, mafanikio ya Mwaka wa Viwango yasingewezekana bila wateja walioendelea kuiamini na kutumia huduma zake. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Yas Tanzania, Bi. Mwangaza Matotola, alisema kampeni hiyo inaendeleza utamaduni wa kampuni hiyo wa kila mwaka wa kuwathamini na kuwazawadia wateja wake zaidi ya milioni 34. “Magifti ya Viwango ni njia yetu ya kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini na kuwa sehemu ya safari yetu ya ukuaji. Wateja wetu ndio kiini cha Mwaka wa Viwango, na kupitia kampeni hii tunasherehekea pamoja nao. Tunataka wauamalize mwaka kwa furaha na kuuanza mwaka mpya kwa kishindo na matumaini makubwa zaidi,” alisema. Aliongeza kuwa zawadi za kampeni hiyo zimechaguliwa kwa kuzingatia mahitaji halisi ya kila siku ya wateja. Zawadi hizo zinaweza kuwasaidia wafanyabiashara wadogo kukuza biashara zao na familia kukabiliana na gharama mbalimbali, hususan mwanzoni mwa mwaka. “Tunatambua kuwa zawadi hizi zina maana tofauti kwa watu tofauti. Kwa mfanyabiashara mdogo, fedha taslimu zinaweza kuwa mtaji wa kukuza biashara yake. Kwa familia, zinaweza kusaidia kumudu gharama za kurudi shule na mahitaji mengine ya nyumbani. Na kwa mshindi wa gari, ni fursa ya kuboresha maisha yake,” alisema Bi. Matotola. Kupitia kampeni hiyo, wateja watapata nafasi ya kujishindia shilingi milioni moja kila siku, simu janja aina ya iPhone 18 kila wiki na shilingi milioni 10 kila mwezi. Aidha, kutakuwa na zawadi maalum za sikukuu za fedha taslimu za shilingi milioni 10 na shilingi milioni 5. Zawadi kuu itakuwa gari jipya lenye thamani ya shilingi milioni 100. Akielezea namna ya kushiriki, Bi. Matotola alisema kila kifurushi kitakachonunuliwa kupitia Yas App, kwa kubonyeza *147*00# au kupitia Yas Rusha kitampa mteja nafasi ya kuingia kwenye droo. Wateja pia watapata nafasi za ziada kwa kulipia bili za huduma ya intaneti ya Fiber na kufanya marejesho ya mikopo ya ununuzi wa vifaa. Kupakua na kujisajili kwenye Yas App pia kutawapa nafasi za ziada. “Tunataka wateja wetu waendelee kufurahia huduma wanazotumia kila siku huku wakipata fursa ya kujishindia zawadi kabambe. Kadiri mteja atakavyofanya manunuzi na malipo mengi zaidi, ndivyo atakavyoongeza nafasi yake ya kushinda,” alisema. Kwa upande wake, Japhet Mwaikenda, mteja wa Yas anayeishi jijini Dar es Salaam, alishiriki katika hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo. Alisema zawadi za fedha taslimu zitakuwa msaada mkubwa kwa familia katika kukabiliana na gharama za mwanzoni mwa mwaka. “Mwezi Januari huwa na majukumu mengi ya kifedha, yakiwemo kulipa ada za shule na kugharamia mahitaji mengine ya familia. Hivyo, kujishindia shilingi milioni moja kutakuwa msaada mkubwa kwa familia yangu. Kwa kuwa tayari ninanunua vifurushi kwa ajili ya kupiga simu na kutumia intaneti, kupata nafasi ya kushinda kupitia manunuzi hayo ni motisha ya ziada kwangu,” alisema.
Wed, 18 Nov 2026 07:00:00 +0000Global conflicts threaten East African trade as leaders urge stronger regional ties
Read the full report from the original source.
RecentlyGhana's new $60m presidential jet sparks outrage
The government says the purchase is justified, arguing that Ghana's improving economy makes it affordable and is needed to replace an ageing presidential jet
RecentlyActress Regina Re's Daughter Charged with Murder of Grandmother as DPP Opposes Bail
An 18-year-old daughter of former television actress Regina Re has been charged with murdering her 86-year-old grandmother in a case that has shocked the family.
Wed, 18 Nov 2026 12:56:00 +0300TPA moves to expand its ports’ capability in Dar, Mwanza for cargo handling efficiency
MWANZA: THE Tanzania Ports Authority (TPA)has reported good progress in upgrading port infrastructure in a move to improve cargo handling…
RecentlyPersons with Disabilities Urged to Embrace Weather and Climate Information for Safety and Mobility.
Read the full report from the original source.
RecentlyA hungry man is an angry fan? McCarthy under fire after savage response to Kenyan critics
Latest · Football
RecentlyUNBS seeks to support small businesses
The Uganda National Bureau of Standards (UNBS) is reviewing its governing law to introduce a more flexible regulatory approach that would allow micro, small and…
RecentlyDP announces tougher penalties for illicit brewers
Government plans tougher fines, asset seizures and new laws against illicit alcohol and drug dealers, with recovered proceeds funding rehabilitation programmes.
RecentlyReport: Europe and protection of Hormuz key to securing Red Sea
Read the full report from the original source.
RecentlyKitooro Market Vendors Praise Museveni Over New Facility, Cite Water and Power Challenges
By Brian Mugenyi ENTEBBE — Traders at the newly constructed Kitooro Market have welcomed the modern facility, saying it has given them better working space and rescued them from the…
RecentlyUganda Baati Injects Shs50m Into 2026 Gulu City Marathon to Boost HIV/AIDS Awareness
KAMPALA — Uganda Baati Limited has committed Shs50 million as the main sponsor of the 2026 Gulu City Marathon, renewing its partnership for a second consecutive year to support community…
RecentlyMinister Musasizi pledges tighter control of public spending
Finance Minister Henry Musasizi has pledged to strengthen public expenditure management, fiscal discipline and accountability to ensure government resources translate into tangible development outcomes for Ugandans. Musa
RecentlyOPINION: Why China’s Future Depends on Strong Institutions
Latest · Fifth Estate
RecentlyHypertension, malaria linked to rising preterm births in Bungoma
An estimated 30 per cent of all births in the county are premature compared with the national figure of approximately 12 per cent.
RecentlyKCB ready for Kabras in Kenya Cup new season opener
Read the full report from the original source.
RecentlyRuto’s Sh5tn transformation plan: What has Kenya achieved one year on?
Latest · Video
RecentlyRuto honoured alongside Tinubu at global forum
The recognition places Ruto among three African heads of state honoured during the Global Alliance's anniversary celebrations
RecentlyPage 157 of 1134 · 22672 stories