Unganishwa

Search the region

22691 stories

Uncategorized · Isango Star

Name change request

Wed, 18 Nov 2026 10:52:02 +0200
Uncategorized · Isango Star

Name change request

Wed, 18 Nov 2026 10:49:23 +0200
Uncategorized · Isango Star

Name change request

Wed, 18 Nov 2026 10:50:47 +0200
Uncategorized · KBC

First MINURSO contingent departs Laayoune as transition takes effect

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Nyongo aagiza mfumo wa tahadhari za tabianchi ulete matokeo chanya shuleni

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

Regina Re’s daughter charged with grandmother’s murder

Eighteen-year-old Thandie Malaika Wanjiku Gitao has pleaded not guilty to the murder of her 86-year-old grandmother, Dorita Lasinder Macharia, at the Kibera Law Courts. Malaika, the daughter of actress Regina…

Recently
National · Citizen Digital

President Ruto to deliver State of the Nation address in parliament

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Omollo: Kenya has met over 90% of anti-money laundering rules

The PS said the progress demonstrated the government's commitment to align the country's financial systems with international standards

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Tanzania Breweries PLC na Tanzania Red Cross Society waimarisha uhamasishaji wa usalama barabarani

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

KRA urges farmers supplying factories to adopt eTIMS reverse invoicing

Latest · Economy

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

Women building livelihoods and new possibilities in Zigoti

When 26-year-old Cissy Nafula left Busia and moved to Zigoti in Mityana District, she arrived with a simple goal: find a way to provide for…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Govt warns against using children to solicit donations in online fundraisers

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Treasury sets 2027/28 budget projection at Ksh.5.2 trillion

Read the full report from the original source.

Recently
Sports · Mwananchi

Uamuzi mgumu FAR Rabat ishu ya Okello, Yanga wamo

Soma zaidi hapa

Recently
Uncategorized · Mwananchi

Kinyang'anyiro Simba, vigogo watinga TFF

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

DNA establishes Njage as Saitoti's son, court told

The development comes amid a succession dispute over Saitoti's estate, valued at approximately Sh84.5 million, with Njage seeking recognition

Recently
Uncategorized · Daily News

Mwanza youth begin harvesting fish under BBT programme

MWANZA: Young fish farmers in Nyegezi, Mwanza, have begun harvesting fish following seven months of implementation of the Building a Better…

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

NBC Yazindua Kampeni ya ‘Tabasamu Tukupe Mashavu’ Kuhamasisha Matumizi ya Malipo ya Kidijitali Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa kampeni ya ‘Tabasamu Tukupe Mashavu’, inayolenga kuhamasisha matumizi ya huduma za malipo ya kidijitali na kupunguza utegemezi wa fedha taslimu katika shughuli za kila siku, hususan kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka, sambamba na kuunga mkono juhudi za kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Kampeni hiyo itadumu kwa miezi mitatu, kuanzia Novemba 17, 2026 hadi Februari 16, 2027, ikiwa na lengo la kuongeza matumizi ya malipo ya kidijitali miongoni mwa wananchi na wafanyabiashara, huku ikiendeleza upatikanaji wa huduma za kifedha zilizo rahisi, salama na zenye ufanisi. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini Dar es Salaam leo, Meneja Masoko Mwandamizi wa NBC, Alina Kimaryo, alisema kampeni hiyo inalenga kurahisisha malipo na miamala ya kifedha, hususan katika kipindi cha sikukuu ambacho shughuli za manunuzi na matumizi huongezeka. “Tunalenga kuwasaidia wateja wetu waweze kufanya malipo, manunuzi na shughuli mbalimbali za kifedha kwa urahisi na usalama, wakati wowote. Kupitia kampeni hii, tunahamasisha matumizi ya huduma za kidijitali huku tukiwapa wateja nafasi ya kunufaika na zawadi wanapofanya miamala yao ya kawaida,” alisema Kimaryo. Alisema huduma zinazostahili kushiriki ni pamoja na matumizi ya kadi za NBC kwenye mashine za POS na malipo ya mtandaoni, NBC Kiganjani, Lipa Kiganjani kupitia Lipa Namba, pamoja na miamala kupitia mawakala na ATM za NBC. Akizungumzia zawadi zinazohusishwa na kampeni hiyo, Kimaryo alisema kutakuwa na droo za kila wiki na kila mwezi. Miongoni mwa vipengele vyake ni ‘Shavu la 4-4-2’, ambapo wateja wanaofanya miamala minne kwa kadi ya NBC au kupitia NBC Kiganjani kila Jumanne watapata nafasi ya kushinda fedha taslimu, huku washindi wawili wakipatikana kila wiki. “Pia kuna ‘Shavu la Twiga’, linalowawezesha wateja kujishindia vocha za fedha wanapolipia bidhaa au huduma kwa kutumia kadi za NBC au Lipa Kiganjani katika maduka washirika, yakiwemo Mars Communication, Numero Uno na Happy Go yaliyopo Dar Village,” alisema. Alisema kampeni hiyo itahitimishwa kwa washindi tisa kujishindia shilingi milioni nne kila mmoja kama nyongeza ya mtaji (Capital Boost). Washindi watano watapatikana kupitia miamala ya kadi za NBC na wanne kupitia Lipa Kiganjani, huku droo zote zikisimamiwa na wawakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania. Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Miamala wa NBC, Mangire Kibanda, alisema kampeni hiyo pia inalenga kuwahamasisha wafanyabiashara na wananchi kutumia mifumo ya malipo ya kielektroniki ili kuongeza ufanisi na usalama wa miamala. “Tunataka kuona matumizi ya mifumo ya kidijitali yakiongezeka katika shughuli za biashara. Ndiyo maana tumewajumuisha pia wafanyabiashara wanaotumia POS za NBC, ambapo wahudumu wa malipo wa wafanyabiashara 150 watapata nafasi ya kuzawadiwa kutokana na kuongeza thamani ya miamala inayopitia mashine hizo,” alisema Kibanda. Aliongeza kuwa wananchi wanaweza kufungua akaunti za NBC kupitia programu ya NBC Kiganjani bila kulazimika kufika katika matawi ya benki, kwa kufuata taratibu za usajili na utambuzi zinazotakiwa. Naye Meneja Biashara kupitia Kadi wa NBC, Esnat Hollela, alisema matumizi ya kadi za benki yanaweza kurahisisha malipo ya huduma mbalimbali, ikiwemo manunuzi madukani, malipo ya mtandaoni na matumizi wakati wa safari ndani na nje ya nchi. “Hatupaswi kumwamulia mteja namna ya kutumia fedha zake. Tunampa uhuru wa kuchagua huduma anayotaka kutumia kulingana na mahitaji yake. Muhimu ni kwamba anapofanya miamala inayostahili kupitia huduma zetu, anapata nafasi ya kushiriki katika kampeni,” alisema Hollela. Meneja Masoko Mwandamizi wa NBC, Alina Kimaryo (Katikati) sambamba na Mkuu wa Idara ya Miamala wa NBC, Mangire Kibanda (Kulia) na Meneja Biashara kupitia Kadi wa NBC, Esnat Hollela (kushoto)wakionesha ishara maalum ya ‘Tabasamu’ ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampeni ya ‘Tabasamu Tukupe Mashavu’, inayolenga kuhamasisha matumizi ya huduma za malipo ya kidijitali na kupunguza utegemezi wa fedha taslimu katika shughuli za kila siku, hususan kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka, sambamba na kuunga mkono juhudi za kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maofisa wa benki ya NBC pamoja na wateja wa benki hiyo wakionesha ishara maalum ya ‘Tabasamu’ ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa wa kampeni ya ‘Tabasamu Tukupe Mashavu’, inayolenga kuhamasisha matumizi ya huduma za malipo ya kidijitali na kupunguza utegemezi wa fedha taslimu katika shughuli za kila siku, hususan kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka, sambamba na kuunga mkono juhudi za kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam. Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Umma mwandamizi wa benki ya NBC, Brendansia Kileo akizungumza na wageni waalikwa wakiwemo wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya ‘Tabasamu Tukupe Mashavu’, inayolenga kuhamasisha matumizi ya huduma za malipo ya kidijitali na kupunguza utegemezi wa fedha taslimu katika shughuli za kila siku, hususan kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka, sambamba na kuunga mkono juhudi za kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam.

Wed, 18 Nov 2026 02:30:00 +0000
Business · Issa Michuzi

TANZANIA ITAENDELEA KUFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI

●Mkakati ni kuongeza viwanda vya uchakataji na uongezaji thamani madini. ●Lengo ifikapo mwaka 2030 utafiti wa kina kufikia asilimia 50. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kufungua milango ya uwekezaji katika Sekta ya Madini kwa lengo la kuongeza uwekezaji katika mnyororo mzima wa thamani madini ikiwemo ujengaji wa viwanda vya kusafisha dhahabu na uongezaji thamani wa madini. Hayo yamebainishwa leo Novemba 18, 2026 na Naibu Waziri wa Madini Dkt.Steven Kiruswa wakati akizungumza katika kipindi cha Kumepambazuka kinachorushwa na Radio One. Dkt.Kiruswa amesema kuwa, sekta ya madini ina wigo mpana katika nyanja za kiuchumi kuanzia uchimbaji , usafishaji, uchenjuaji, usafirishaji na uuzaji, wigo ambao unahusisha sekta mbalimbali katika uwekezaji. Akielezea kuhusu fursa zilizopo katika mkutano wa TMIC 2026, Dkt.Kiruswa ameeleza kwamba, fursa zitakazojitokeza ni pamoja na kubadilishana teknolojia ya uchimbaji, utafiti, uchenjuaji na uongezaji thamani madini. Aidha, kwa upande wa vijana waliopo katika mnyororo mzima wa thamani madini watapata fursa ya kuongeza maarifa na kubadilishana uzoefu katika upatikanaji wa mikopo na kuongeza mtandao wa mawasiliano kwenye nyanja ya uwekezaji. Kwa upande wa utafiti wa madini , Dkt.Kiruswa amesema makakati wa serikali ni kugundua maeneo mapya yenye rasilimali madini ili kufikia asilimia 50 za utafiti ifikapo mwaka 2030. Kuhusu ushirikishwaji wa watanzania katika mnyororo wa madini , Dkt.Kiruswa amebainisha kuwa watanzania wanaendelea kujihusisha kwenye sekta ya madini kila siku ambapo mpaka sasa zaidi watanzania 19,000 wanajihusisha na biashara ya madini katika maeneo mbalimbali ya nchi ambapo zaidi ya leseni 64,000 zimetolewa.

Wed, 18 Nov 2026 08:30:28 +0000
Uncategorized · The Observer Uganda

Mugerwa challenges Ugandan businesses to deliver lasting impact

Companies must leave generational impact in the communities where they operate, beyond occasional corporate social responsibility (CSR), if they want a sustainable customer base and…

Recently

Page 160 of 1135 · 22691 stories