Unganishwa

Search the region

22694 stories

Sports · Azam TV Videos

Magoli | Raskazone FC 3-4 JKU SC | PBZ Premier League Zanzibar 14/11/2026

Azam TV

2026-11-14T20:55:45+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

VIWANJANI: Tanzania yatabiriwa kufanya vizuri mchezo wa marudiano dhidi ya Nigeria.

Afisa Habari wa JKT Tanzania, Masau Bwire amewataka Watanzania kuendelea kuiunga mkono Taifa Stars licha ya kupoteza kwa magoli 3-1 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa kufuzu AFCON 2027, akisema timu ilionesha kiwango kizuri licha ya matokeo kutokuwa upande wao. Masau amesema Watanzania hawapaswi kukatishwa tamaa na kipigo hicho, bali waendelee kuiamini timu kuelekea mchezo unaofuata dhidi ya Nigeria utakaopigwa kesho Novemba 17 katika Dimba la Amaan, Zanzibar. Aidha, amewataka mashabiki kuepuka kuwasakama wachezaji wanaofanya makosa ambayo kwa namna moja yameigharimu timu kufungwa, akisisitiza kuwa makosa ni sehemu ya mchezo na yanaweza kutokea kwa mchezaji yeyote.

2026-11-16T12:33:43+00:00
Sports · Azam TV Videos

VIWANJANI | Yanga yaridhishwa na mwenendo wa kikosi Zanzibar, Kocha Fadlu atamani majeruhi wajeree.

Meneja wa kikosi cha Yanga SC, Walter Harisson amezungumzia maendeleo ya kikosi hicho kinachoendelea na maandalizi yake visiwani Zanzibar, akieleza kuwa timu imeendelea kupata mwendelezo mzuri wa mazoezi chini ya benchi jipya la ufundi. Walter ameeleza ratiba ya maandalizi ya Yanga kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa Novemba 20, 2026; na kubainisha hatua mbalimbali ambazo kikosi hicho kinapitia kabla ya kurejea kwenye ushindani. Kwa upande mwingine kocha wa Yanga SC, Fadlu Davids amesema ana imani na kikosi chake na anaendelea kukijenga kwa kuzingatia falsafa na mfumo wake wa uchezaji ili kufikia malengo ya timu hiyo. Fadlu amesema licha ya kukabiliwa na changamoto ya majeruhi kwa baadhi ya wachezaji muhimu, kikosi hicho kinaendelea kujiandaa kwa mchezo ujao dhidi ya Polisi Tanzania kikilenga kupata alama tatu.

2026-11-16T12:52:50+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Simba bado wanatamba na mabango, wafika Singida, Kamwe amtaja X-Factor

Tazama baadhi ya habari zilizochukua nafasi kwenye mitandao ya kijamii na kupewa nafasi kwenye kipindi cha Viwanjani.

2026-11-16T13:45:11+00:00
Sports · Azam TV Videos

VIWANJANI | JKT Tanzania yazitaka alama tatu kutoka kwa Mnyama Simba SC.

Azam TV

2026-11-16T19:28:44+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

MSHIKEMSHIKE 16/11/2026 - AZAMTV

Tazama kipindi cha Mshikemshike kikiwa na habari mbalimbali za michezo ikiwemo maandalizi ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuelekea mechi yao dhidi ya Nigeria.

2026-11-16T19:44:23+00:00
Sports · Azam TV Videos

VIWANJANI | Yanga SC wanaingiaje kuwavaa Polisi Tanzania? Wenyeji nao watamba

Ni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Novemba 20, 2026 ambapo Polisi Tanzania itawaalika Yanga SC katika dimba la Ushirika, Moshi Kilimanjaro. Wachambuzi watema cheche wakieleza ubora wa Yanga SC, huku Afisa Habari wa Polisi naye akitamba kutopoteza mchezo wao wa nyumbani.

2026-11-17T08:46:18+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

VIWANJANI | Hamasa inavyoongezeka ndani ya kambi ya Azam FC

Azam TV

2026-11-17T09:29:07+00:00
Sports · Azam TV Videos

ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Yanga yatamba kurejea katika ubora wake, Azam FC yaita mashabiki

Baada ya kuwa na kambi ya takribani siku tisa Zanzibar, Yanga inaona ni wakati sasa wa kuvuna matatu ya kambi hiyo kwenye NBC Premier League na mashindano mengine.

2026-11-17T09:46:38+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

VIWANJANI | Coastal Union yajipanga kuibonda Pamba Jiji, Geita Gold kurejea upya.

Azam TV

2026-11-17T10:11:38+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

VIWANJANI | Tanzania kibaruani mbele ya Nigeria mchezo wa marudiano wa kufuzu AFCON2027.

AIFA STARS: “Tunahitaji ushindi kutokana na umuhimu wa mchezo kwetu” Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Ndimbo ametangaza viingilio vya mchezo wa kufuzu AFCON 2027 kati ya Taifa Stars dhidi ya Nigeria kuwa ni VIP A Shilingi 10,000, VIP B Shilingi 5,000 na majukwaa mengine Shilingi 2,000. Ndimbo amesisitiza umuhimu wa mchezo huo na kuwataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar ili kuipa Taifa Stars hamasa ya kupata ushindi.

2026-11-17T10:16:24+00:00
Sports · Azam TV Videos

Magoli yote | Yanga Princess 7-1 Kilimanjaro Wonders | Tanzania Women Premier League 17/11/2026

#TWPL Magoli yote manane, ikiwemo #hattrick ya kwanza msimu huu kutoka kwa Salamata Kouanda aliyefunga manne…. Tazama vizuri goli la tatu la Salamata ambalo ni la tano kwa Yanga… kisha tazama goli la Kili Wonders walivyoshangilia chuma yao inayofanana na hiyo ya Salamata. FT: Yanga Princess 7-1 Kilimanjaro Wonders #TWPL #WPL #TanzaniaWomenPremierLeague #LigiKuuWanawake #WomenFootball #YangaPrincess #KilimanjaroWonders

2026-11-17T17:31:55+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

AZAM FC | Safari ya Rasheed Mgunya tangu kuwa mchezaji hadi sasa kuwa Meneja wa kikosi

Azam TV

2026-11-18T06:25:18+00:00
Uncategorized · UN News Burundi

Guterres calls for a legally binding instrument for ‘killer robots'

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

‘Peace begins in our hearts’: Children close Muscat forum with a message to the world

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

Syria: Progress ‘real’ but fragile, as remnants of war wreck young lives

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

‘Hunger should not be a concern’: WFP steps in for families in Kenya who fled Ethiopia violence

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

COP31: Climate finance falls short as calls grow for polluters to pay

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

COP31 enters decisive week as climate talks face political test and AI initiatives gather pace

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UN News Burundi

AI gets climate science right – until users push back

Read the full report from the original source.

Recently

Page 162 of 1135 · 22694 stories