Unganishwa

Search the region

22740 stories

Uncategorized · SoftPower News

Female Captains Rise to Three as Uganda Airlines Promotes New Pilots

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Nairobi Assembly seeks public views on proposed crematorium

Latest · News

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Shule za bweni Kagera zatakiwa kukamilisha unyunyuziaji dawa kuua wadudu kabla ya Desemba 20

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

VIFAA TIBA VYA BIL.1.2 VYAKABIDHIWA MIKOA YA ARUSHA,KILIMANJARO NA LINDI

Na Ashura Mohamed - Arusha Zaidi ya vifaa tiba 396 vyenye thamani ya shilingi bilioni 1.2 vimekabidhiwa katika vituo vya afya 140 vilivyopo kwenye halmashauri 20 za mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Lindi ambapo ununuzi huo umezingatia Mahitaji na Vipaumbele vilivyobainishwa na Serikali. Akizungumza Jijini Arusha wakati wa kupokea vifaa hivyo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dr.Grace Magembe,Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Toba Nguvila amesema lengo la Msaada huo ni kuimarisha huduma jumuishi za afya ya uzazi kwa mama na mtoto,ili kuunga juhudi za serikali mkono kwa kuendelea kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto. Aidha amesema kuwa Tanzania imeendelea kutambuliwa kutokana na mafanikio yake katika sekta hiyo, ikiwemo kutambuliwa kwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan na Umoja wa Afrika mwezi Februari 2026,kama kinara wa masuala ya Afya ya Uzazi na Mtoto Dkt. Nguvila amewataka watumishi wa afya kuzingatia viwango na miongozo ya kitaifa katika utoaji wa huduma kwa wajawazito na watoto wachanga,huku akisisitiza umuhimu wa kutumia ujuzi walioupata kutambua viashiria vya hatari mapema na kuchukua hatua stahiki ili kuimarisha usalama wa mama na mtoto. Kwa Upande wake Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Pact Tanzania Dkt. Asheri Barankena, amesema vifaa hivyo vimetolewa kupitia mradi wa ACHIEVE ambavyo ni Mashine ya kuongeza joto kwa watoto wachanga(Infant Radiant Warmers) ambayo huongeza joto kwa watoto wachanga dhidi ya kupoteza joto katika saa za kwanza za kuzaliwa, Mashine za CPAP ambazo husaidia watoto wachanga wenye matatizo ya kupumua. Amesema nyingine ni Mashine za Infusion Pumps ambazo huwezesha utoaji sahihi na salama wa dawa na vimiminika mwilini na vifaa hivyo sio vya kawaida na nyenzo muhimu zinazowawezesha wataalamu wa afya kuchukua hatua za haraka katika mazingira ambayo kila dakika ina umuhimu. "Mradi wa ACHIEVE ni kielelezo cha mtazamo muhimu,Chini ya uongozi wa Wizara ya Afya na kwa ufadhili wa Serikali ya Marekani,kwa kushirikiana ma serikali katika kuimarisha afya ya mama na mtoto mchanga"Amesisitiza Barakena Pia amesema kuwa lengo la Pact Tanzania ni ni kujenga ushirikiano na kuendelea kuimarisha mifumo iliyopo ,kujenga uwezo wa taasisi na wataalamu wa ndani na kusaidia utekelezaji wa vipaumbele vya Taifa kwa manufaa mapana ya wananchi. Kwa Upande wake Mtaalamu wa Usimamizi wa Programu za Afya za Mama,Mtoto Mchanga na Mtoto (MNCH),Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Natu Makoko amesema kuwa juhudi za pamoja za kuimarisha huduma jumuishi za dharura za uzazi na za watoto katika vituo vinavyotoa huduma za afya ya msingi katika mikoa ya Arusha,Kilimajaro na Lindi zitawezesha wahudumu wa afya kuwapatia kina mama na watoto wachanga huduma bora na kwa wakati. "Makabidhiano haya yanaakisi misingi inayoongoza awamu mpya ya ushirikiano wetu wa afya ambapo tarehe 01.7.2026,Marekani na Tanzania zilitia saini Hati ya makubaliano ya miaka mitano ya ushirikiano katika sekta ya afya chini ya mkakati wa Marekani wa kwanza wa Afya Duniani-AFGH,ambapo yanaonyesha dhamira ya kujenga ushirikiano unaozingatia uwajibikaji wa pande zote mbili"Amesisitiza Makoko America First Global Health Strategy (AFGH),ni mkakati wa Marekani wa kwanza wa Afya Duniani wenye lengo bayana la kuimarisha usalama,uwezo na ustawi wa wananchi wa Marekani-Making Americans Safer,Strong and more Prosperous ambao mkakati huo unatambua uwekezaji una ufanisi zaidi unapoongeza uwezo wa nchi kuongoza kugharamia na kuendeleza mifumo ya afya nchini. Hata hivyo mradi wa ACHIEVE pia umefanikiwa kuwajengea uwezo watumishi wa afya 2,023 juu ya utoaji wa huduma za dharura katika vituo vya afya 203 vya mikoa hiyo mitatu.

Sat, 14 Nov 2026 08:29:18 +0000
Uncategorized · Citizen Digital

Kenya Railways announces additional Madaraka Express train ahead of festivities

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Nyongo abeba kero ya kusuasua kwa mradi wa bandari ya Kisiju, ujenzi kuanza 2027

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

'Mtu noma sana': Ruto on Atellah's Lang'ata MP bid

The remarks came as the President acknowledged several political figures seeking to contest different positions in Nairobi County, with Atellah among them.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

StanChart Transfers Uganda Retail Banking to Absa After 114 Years

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Citizen

Fifty two escape unhurt as bus catches fire in Kahama

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Capital FM

Six Coastal Counties urged to Strengthen Tsunami Preparedness

Latest · Counties

Recently
Health · HabariLeo

Jamii yahimizwa mazoezi kuepuka magonjwa

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · SoftPower News

Uganda Plans 667km Rail Network, New Lines to Boost Cargo Transport by 2040

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Fr Joseph Oduor named Kisii Coadjutor Bishop

Fr Oduor brings years of pastoral ministry, academic training and leadership within the Augustinian religious community to his new episcopal role.

Recently
Uncategorized · Business Daily

From customer care rep to M-Pesa boss

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

VITA YA MKANDA: Ni vita kati ya Rahim Omari dhidi ya Ibrahim Tamba

VITA YA MKANDA: Rahim Omari amemchapa kwa pointi Ibrahim Tamba. Ni #VitaYaMkanda na uhondo huu unaupata LIVE #AzamSports5HD Ni hapa The Super Dome Oysterbay/Masaki Dar es Salaam. Lipia mapema kisimbuzi chako kwa shilingi 28,000 tu. Mhariri | @rajjmsangi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #VitaYaMkanda Ngumi IbrahimClass AranDipaen

2026-11-14T06:52:25+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

VITA YA MKANDA: Pambano kati ya Ahmed Pelembela dhidi ya Japhet Herman

VITA YA MKANDA: Japhet Herman amemtandika kwa raundi tano tu Ahmed Pelembela kwa TKO. Ni #VitaYaMkanda na uhondo huu unaupata LIVE #AzamSports5HD Ni hapa The Super Dome Oysterbay/Masaki Dar es Salaam. Kumbuka pambano kuu ni kati ya Mtanzania, Ibrahim Class dhidi ya Aran Dipaen kutoka Thailand. Lipia mapema kisimbuzi chako kwa shilingi 28,000 tu. Mhariri | @rajjmsangi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #VitaYaMkanda Ngumi IbrahimClass AranDipaen

2026-11-14T06:53:08+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

VITA YA MKANDA: Ni Abdul Ubaya dhidi ya Simone Tchecha

VITA YA MKANDA: Mapema tu…Bondia Mtanzania, Abdul Ubaya kamchapa Simone Tchecha kutoka Malawi tena kwa TKO. Ni #VitaYaMkanda na uhondo huu unaupata LIVE #AzamSports5HD Lipia mapema kisimbuzi chako kwa shilingi 28,000 tu. Mhariri | @rajjmsangi #VitasaNight #UsikuWaVitasa VitaYaMkanda Ngumi IbrahimClass AranDipaen

2026-11-14T06:53:25+00:00
Uncategorized · Azam TV Videos

VITA YA MKANDA: Ni Abdul Ubaya dhidi ya Simone Tchecha

VITA YA MKANDA: Mapema tu…Bondia Mtanzania, Abdul Ubaya kamchapa Simone Tchecha kutoka Malawi tena kwa TKO. Ni #VitaYaMkanda na uhondo huu unaupata LIVE #AzamSports5HD Lipia mapema kisimbuzi chako kwa shilingi 28,000 tu. Mhariri | @rajjmsangi #VitasaNight #UsikuWaVitasa VitaYaMkanda Ngumi IbrahimClass AranDipaen

2026-11-14T07:19:02+00:00
Sports · Azam TV Videos

KURASA ZA MWISHO | Magazeti yameamka hivi, Mashabiki watema cheche baada ya Stars kupoteza

KURASA ZA MWISHO | ''Licha walituzidi, lakini timu yetu haikuwa vizuri jana'' Baadhi ya mashabiki wa soka nchini wakizungumzia namna ambavyo mechi ya kufuzu AFCON 2027 ilivyomalizika baada ya Tanzania kupoteza mbele ya Nigeria. FT: Nigeria 3-1 Tanzania Ni katika kijiwe cha magazeti mashabiki hao walipokuwa wakizungumza na @allymufti_tz ✍️ @rajjmsangi #KurasaZaMwisho #TaifaStars #AFCON2027Qualifiers

2026-11-14T07:26:15+00:00
Sports · Azam TV Videos

KURASA ZA MWISHO | Wachambuzi wanena baada ya Taifa Stars kupoteza mbele ya Nigeria

Ni Wachambuzi Jabir Juma, Philip Nkini na Faustin Felician wakieleza mitazamo yao baada ya Timu ya Taifa 'Taifa Stars' kupoteza kwenye mchezo wa kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Nigeria. Muongozaji wa kipindi ni Philip Cyprian.

2026-11-14T07:39:53+00:00

Page 181 of 1137 · 22740 stories