Unganishwa

Search the region

22754 stories

Uncategorized · Citizen Digital

EU leaders told to 'act now' to stay in AI race

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

FAA issues US national ground stop on all flights

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KBC

DCI remains alert to possible use of narcotics proceeds in political campaigns

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

FAA issues US national ground stop on all flights

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Tanker collides with crusie ship on Mississippi River near New Orleans

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Uganda ranks 9th among Africa’s most visited countries in 2025 with 1.64 million arrivals

Kampala, 13 November 2026 — Uganda has recorded 1,642,215 international tourist arrivals in 2025, placing it ninth among Africa’s most visited countries according to data compiled from national tourism ministries…

Recently
Uncategorized · Watchdog Uganda

Plan early for retirement, Hajji Kakande urges public servants

The Secretary to the Office of the President, Hajji Yunus Kakande, has urged public servants to plan early for retirement, warning against postponing preparations until their final years in service.…

Recently
Uncategorized · UBC

MGLSD, UPFPWDs Orient New MPs on Disability Inclusion

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Uraia report exposes gap between civic knowledge and public participation

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Abshir Abdi abduction: State opposes lawyer's account of 11-day ordeal

Police bossess opposed attempts by the two men to narrate their ordeal before the High Court.

Sat, 14 Nov 2026 00:00:00 +0300
Uncategorized · UBC

MPs agree on common platform to advance Pastoralism agenda

Read the full report from the original source.

Recently
National · Issa Michuzi

OUT YAIMARISHA UWEZO WA TAASISI ZA UMMA KATIKA UFUATILIAJI NA TATHMINI

Na Mwandishi Wetu- Morogoro Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), kupitia Ofisi yake ya Ushauri wa Kitaalamu (OCB), kinaendesha mafunzo ya uandaaji wa Mpango wa Mwaka wa Ufuatiliaji na Tathmini na Mwongozo Tendaji wa Ufuatiliaji na Tathmini mjini Morogoro. Mafunzo hayo yanafanyika kwa awamu ya pili yalianza tarehe 10 Novemba 2026 na inatarajiwa kuhitimishwa tarehe 16 Novemba 2026, yameshirikisha washiriki kutoka mamlaka za serikali za mitaa na sekretariati za mikoa ya Simiyu, Iringa na Pwani. Akizungumza na washiriki wa mafunzo hayo, Mkuu wa chuo Kikuu huria (OUT) Prof. Alex Makulilo amesema, mafunzo hayo yamejikita katika kazi za vitendo, ambapo washiriki wanaandaa nyaraka za taasisi kwa msaada wa wawezeshaji wa Chuo Kikuu Huria (OUT). Aidha, amesema, washiriki wanajifunza kuandaa viashiria vya kupima utendaji, zana za kukusanya taarifa na utaratibu wa kutoa taarifa za utekelezaji wa mipango na miradi ya maendeleo. "Kila taasisi inayoshiriki inatarajiwa kuondoka na rasimu ya Mpango wa Mwaka wa Ufuatiliaji na Tathmini pamoja na Mwongozo Tendaji kwa ajili ya kukamilishwa na kutumika" amesema Prof. Alex Makulilo. Ameendelea kusema kwamba, Mwongozo huo utaweka taratibu za kukusanya na kuchambua taarifa, kutoa taarifa za utekelezaji na kutumia matokeo katika maamuzi. Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Idara ya Ufuatiliaji na Tathmini Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu Bi. Sakina Mwinyimkuu, Afisa Ufuatiliaji na Tathmini Bi. Ashura Selemani, amesema matumizi ya nyaraka hizo zitaboresha ufuatiliaji na tathmini kwa kuweka utaratibu unaoeleweka wa kupima utekelezaji na kubaini mapungufu mapema. Nae Mratibu wa mafunzo hayo, Dk. Emmanuel Mallya, ameeleza kuwa awamu ya tatu ya mafunzo hayo itafanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 30 Novemba hadi 4 Desemba 2026, ambapo awamu hiyo itahusisha mamlaka za serikali za mitaa na sekretariati za mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya, Tabora, Shinyanga, Singida, Dodoma, Mara, Kilimanjaro, Arusha na Katavi. Pia itazihusisha halmashauri nyingine ambazo, kwa sababu mbalimbali, hazikuweza kuhudhuria awamu zilizopita. Hata hivyo Mwisho wa mafunzo hayo, Chuo kitaandaa taarifa rasmi itakayowasilishwa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

Fri, 13 Nov 2026 20:58:44 +0000
Health · Issa Michuzi

WAGONJWA WA MABUSHA KUPATA UNAFUU WA MATIBABU TANGA

Na Oscar Assenga, Tanga. WANANCHI wanaosumbuliwa na ugonjwa wa mabusha na ngirimaji mkoani Tanga wanatarajiwa kunufaika na huduma za uchunguzi na upasuaji bila malipo kupitia kambi maalumu zitakazoanza Novemba 16 hadi 30, mwaka huu. Kambi hizo zitafanyika katika Hospitali ya Halmashauri ya Handeni Vijijini kuanzia Novemba 16 hadi 22, 2026, na Hospitali ya Wilaya ya Muheza kuanzia Novemba 23 hadi 30, mwaka huu. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian, amewahimiza wananchi wenye changamoto hizo kujitokeza kwa wingi ili kupata uchunguzi na matibabu, akisisitiza kuwa huduma zote zitatolewa bila malipo. Amesema Serikali imeandaa kambi hizo ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha huduma za afya na kuwafikia wananchi wanaoishi na madhara ya magonjwa hayo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mabusha na ngirimaji ni miongoni mwa madhara yanayosababishwa na maambukizi ya vimelea vinavyoenezwa na mbu walioambukizwa, hali inayoweza kusababisha kuziba kwa mfumo wa limfu na kuvimba kwa sehemu mbalimbali za mwili. Imeelezwa kuwa kwa wanaume, ugonjwa huo unaweza kusababisha mkusanyiko wa maji katika mfuko wa korodani, hali inayojulikana kama ngirimaji, huku kwa wengine ukisababisha kuvimba kwa miguu, mikono na matiti kwa wanawake. Dkt. Burian amesema madhara ya magonjwa hayo hayaishii katika afya pekee, bali pia huathiri shughuli za kiuchumi, ustawi wa familia na maisha ya kijamii ya waathirika. Hata hivyo, amesema huduma za upasuaji zinaweza kusaidia kupunguza ukubwa wa uvimbe na kuboresha maisha ya watu wanaokabiliwa na changamoto hizo. Amebainisha kuwa tangu kuanza kwa kambi maalumu za matibabu hayo mwaka 2009, jumla ya wagonjwa 14,454 wamepatiwa huduma nchini kote, wakiwamo 1,517 kutoka Mkoa wa Tanga. Katika kambi hizo, wananchi watapata elimu kuhusu magonjwa hayo, uchunguzi wa awali pamoja na huduma za upasuaji kwa wale watakaobainika kuhitaji matibabu hayo. Akisisitiza kuhusu upatikanaji wa huduma hizo, Mkuu huyo wa Mkoa amesema gharama zote za uchunguzi na matibabu zitagharamiwa na Serikali, hivyo wananchi hawatapaswa kulipia huduma watakazopatiwa. Aidha, amewataka wananchi wenye changamoto hizo kuepuka kutumia njia zisizo salama za matibabu na badala yake kujitokeza hospitalini, bila kuogopa wala kuona aibu kutokana na unyanyapaa. Pia amewaomba viongozi na wataalamu wa afya katika ngazi zote kuanzia mkoa, wilaya, kata, vijiji na mitaa kushirikiana kutoa elimu na hamasa ili kuhakikisha wananchi wengi zaidi wanapata fursa ya kunufaika na huduma hizo. Kambi hizo zitatekelezwa kwa ushirikiano wa Wizara ya Afya, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) pamoja na wadau wengine wa afya. Dkt. Burian amesisitiza wito kwa wananchi wenye dalili au changamoto za magonjwa hayo kujitokeza katika vituo vilivyopangwa ili kupata uchunguzi na matibabu ya kitaalamu bila gharama yoyote.

Fri, 13 Nov 2026 21:00:19 +0000
Uncategorized · UBC

Labour Reforms: Hospitality Sector moves to implement 2026 Employment Act as ILO, Hotel Owners Launch Human Rights Toolkit

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · UBC

Human Rights Report Raises Alarm Over Attacks on Kanabi Community in Sudan

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Standard

Not so fast: Court slams brake on ARA over wealth forfeiture

The court said that although it does not require a person to be charged with a crime for ARA to come knocking, it bears the responsibility to link the wealth or cash to a crime.

Fri, 13 Nov 2026 17:10:00 +0300
Uncategorized · Citizen Digital

Ruto, Wanga move to calm UDA-ODM tensions in Nairobi

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Uasin Gishu family seeks govt's help to repatriate kin who died in Russia-Ukraine war

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Iyo uyitahanye ugera imuhira ugasanga hahiye, bacura imiborogo - amakabyankuru batubwiye kuri Ukarisitiya

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

PPRA introduces digital tool to detect procurement risks early

DODOMA: THE Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) has introduced a new digital module to strengthen oversight of public procurement by…

Recently

Page 187 of 1138 · 22754 stories