Unganishwa

Search the region

22757 stories

Uncategorized · Citizen Digital

Uasin Gishu family seeks govt's help to repatriate kin who died in Russia-Ukraine war

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Iyo uyitahanye ugera imuhira ugasanga hahiye, bacura imiborogo - amakabyankuru batubwiye kuri Ukarisitiya

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

PPRA introduces digital tool to detect procurement risks early

DODOMA: THE Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) has introduced a new digital module to strengthen oversight of public procurement by…

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Ukraine updates: Europe to send united front to potential peace talks

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Ukraine updates: EU to send united front to potential peace talks

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

12 KCSE candidates sent home after phones found at Machakos school

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

President Kagame and Prime Minister of Cambodia hold bilateral talks

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Ndi umukandida mwiza - Louise Mushikiwabo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Azam TV Videos

VITA YA MKANDA: Vita ya Kalolo Amiri dhidi ya Kurt Pabular

VITA YA MKANDA: Mshindi ni Mtanzania, Kalolo Amiri aliyeshinda kwa pointi dhidi ya Kurta Pabular kutoka Philippines katika pambano la sita usiku huu. Ni #VitaYaMkanda na uhondo huu unaupata LIVE #AzamSports5HD Lipia mapema kisimbuzi chako kwa shilingi 28,000 tu. Mhariri | @rajjmsangi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #VitaYaMkanda #Ngumi #IbrahimClass #AranDipaen

2026-11-13T19:05:17+00:00
Uncategorized · DW Rwanda

UK police launch sex offense probe into comedian David Walliams

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Kigali Today

Isi ihanze amaso Cambodia, aho ibihugu 90 byahuriye mu nama ya Francophonie

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · KT Press

A Royal State Banquet, Three Bilateral Deals Mark Highlight of Kagame’s Cambodia Visit

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Authorities identify owner, contractor of collapsed Mombasa Road building

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Jamhuri Media

Tanzania yasisitiza dhamira yake ya kuendeleza ushirikiano na AFD

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Sh130bn road projects for Nyanza, Western begins

Here are the stories making the headlines.

Recently
Uncategorized · Issa Michuzi

Nishati Safi ya Kupikia Watajwa Chachu ya Maendeleo Endelevu

Na Avila Kakingo, Michuzi Tv MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema matumizi ya nishati safi ya kupikia ni muhimu katika kuboresha afya za wananchi, uchumi wa familia, mazingira na maendeleo endelevu ya Taifa kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Amesema hayo leo Novemba 13,2026 wakati akifungua Mkutano wa Wadau wa Nishati Safi ya Kupikia kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, wenye kaulimbiu “Nishati Safi ya Kupikia kwa Maendeleo Endelevu kuelekea Dira ya Taifa 2050.” Amesema mkutano huo una umuhimu kwa kuwa umewakutanisha waandishi wa habari, wataalamu, taasisi za Serikali na wadau wa sekta binafsi kujadili suala linalogusa maisha ya wananchi. Amepongeza Klabu ya Waandishi wa Habari Dar es Salaam (DAR-PC) kwa kuandaa mkutano huo na kuibua mjadala kuhusu nishati safi ya kupikia. Kipangula amesema mafanikio ya matumizi ya nishati safi hayategemei uwepo wa teknolojia pekee, bali pia uwezo wa wananchi kumudu gharama na kupata huduma kwa urahisi. Amesema familia zinazotaka kutumia gesi au umeme zinahitaji taarifa kuhusu gharama, usalama wa vifaa, upatikanaji wa huduma na namna ya kuendelea kuzitumia. Amesema Serikali imeweka Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia wa mwaka 2024 hadi 2034, unaolenga kufikisha matumizi hayo kwa asilimia 80 ya Watanzania ifikapo mwaka 2034. Ameeleza kuwa hatua zinazochukuliwa sasa ndizo zitakazosaidia kufikia malengo ya muda mrefu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Aidha, amesema matumizi ya nishati safi yanaweza kusaidia kupunguza madhara ya kiafya yanayotokana na moshi wa kuni na mkaa, hususan kwa wanawake na watoto wanaotumia muda mwingi katika maeneo ya kupikia. Amesema nishati hiyo pia inaweza kupunguza muda unaotumika kutafuta kuni, kuhifadhi mazingira na kupunguza utegemezi wa rasilimali za misitu. Kwa mujibu wa Kipangula, utekelezaji wa ajenda hiyo unaweza pia kufungua fursa za kiuchumi kupitia biashara ya vifaa, usambazaji wa nishati, huduma za ufundi, teknolojia na ubunifu. Amesisitiza kuwa nishati safi ya kupikia si suala la kubadilisha aina ya jiko pekee, bali ni sehemu ya kuboresha maisha ya wananchi. Akizungumzia nafasi ya vyombo vya habari, Kipangula amesema waandishi wana wajibu mkubwa wa kuelimisha jamii kuhusu umuhimu, gharama, usalama na upatikanaji wa nishati safi ya kupikia. Amesema taarifa zinazotolewa zinapaswa kutumia lugha rahisi na kujikita katika mazingira halisi ya wananchi ili kuwasaidia kufanya maamuzi sahihi. Ameitaka media pia kuwapa wananchi nafasi ya kueleza uzoefu wao kuhusu matumizi ya nishati safi, pamoja na changamoto wanazokutana nazo. Amesema taarifa hizo zinaweza kusaidia Serikali na wadau kubaini maeneo yanayohitaji maboresho katika utekelezaji wa programu mbalimbali. Kipangula amewataka waandishi wa habari kuzingatia usahihi wa takwimu, ukweli na maadili ya taaluma wakati wa kuripoti masuala ya nishati safi ya kupikia. Amesema kasi ya usambazaji wa taarifa kupitia redio, televisheni, magazeti na majukwaa ya kidijitali isitumike kama sababu ya kusambaza taarifa ambazo hazijathibitishwa. Amesema mwandishi mwenye weledi si anayewahi kutoa taarifa pekee, bali anayehakikisha taarifa hiyo ni sahihi, imehakikiwa na ina manufaa kwa jamii. Ameitaka pia media kufuatilia utekelezaji wa miradi ya nishati safi na kuibua matokeo halisi kwa wananchi. Kuhusu Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Kipangula amesema JAB inaendelea kusisitiza umuhimu wa mafunzo endelevu kwa waandishi ili kuongeza weledi katika kuripoti masuala ya maendeleo ya Taifa. Amesema sekta ya nishati inahitaji waandishi wenye uelewa wa sera, teknolojia, takwimu, uchumi na mazingira ili waweze kuuliza maswali sahihi na kuchambua taarifa za kitaalamu. Ameitaka DAR-PC na taasisi zinazoshiriki katika mkutano huo kuangalia uwezekano wa kuanzisha au kuimarisha mafunzo kwa waandishi kuhusu nishati safi ya kupikia. Amesema JAB iko tayari kushirikiana na wadau katika kujenga uwezo wa kitaaluma wa waandishi kwa mujibu wa majukumu yake ya kisheria. Pia, Kipangula amesema ajenda ya nishati safi ya kupikia inahitaji ushirikiano wa taasisi mbalimbali, ikiwamo TTCL, TPA na BRELA, pamoja na sekta binafsi na wadau wengine. Amesema TTCL inaweza kusaidia katika matumizi ya mifumo ya kidijitali na mawasiliano kufikisha taarifa kuhusu bidhaa, huduma, bei na maeneo ya upatikanaji wa nishati safi. Ameeleza kuwa TPA inaweza kuchangia katika kurahisisha usafirishaji wa vifaa vinavyohusiana na nishati hiyo, huku BRELA ikisaidia urasimishaji wa biashara na kufungua fursa kwa wajasiriamali. Amesema ushirikiano huo ni muhimu katika kupunguza changamoto za upatikanaji wa nishati safi na kuongeza fursa za kiuchumi kwa wananchi. Kipangula amesema mafanikio ya mkutano huo hayapaswi kupimwa kwa idadi ya washiriki au mada zilizowasilishwa, bali kwa utekelezaji wa mapendekezo yatakayopitishwa. Ametoa wito kwa vyombo vya habari kuandaa habari za kina kuhusu changamoto za wananchi katika matumizi ya nishati safi, ikiwamo gharama, usalama, usambazaji na fursa za biashara. Amesema habari hizo zinaweza pia kushindanishwa katika tuzo mbalimbali za uandishi wa habari kama Samia Kalam Awards na EJAT, ili kuongeza ubora wa uandishi kuhusu masuala ya maendeleo. Hatimaye, ametangaza rasmi kufunguliwa kwa Mkutano wa Wadau wa Nishati Safi ya Kupikia kuelekea Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Fri, 13 Nov 2026 19:10:04 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

Furahia Msisimko Wa Mikwaju Ya Penalti Ufukweni Kupitia Beach Penalties

KWA mashabiki wa soka wanaopenda burudani yenye msisimko na changamoto za kipekee, Meridianbet inakuletea mchezo mpya wa Beach Penalties kutoka Expanse Studios, unaochanganya ladha ya mikwaju ya penalti na mandhari ya kuvutia ya ufukweni. Fikiria ukiwa katika mazingira ya ufukwe wenye mchanga laini, upepo mwanana na mandhari ya kitropiki, huku ukikabiliana na changamoto ya kupiga penalti kwa ustadi. Huu si mchezo wa kawaida wa soka, bali ni burudani inayokupa nafasi ya kufurahia mazingira tofauti huku ukijaribu uwezo wako wa kulenga na kupata ushindi. Kama ilivyo katika mchezo halisi wa soka, mikwaju ya penalti inahitaji umakini, maamuzi sahihi na uwezo wa kutumia nafasi unayoipata. Beach Penalties inakuletea msisimko huo kupitia mfumo rahisi wa uchezaji unaokuwezesha kufurahia kila hatua. Michoro yake yenye mvuto na uhuishaji wa kuvutia wenye mandhari ya ufukweni vinaongeza ladha ya kipekee katika kila jaribio. Hapa unapata burudani inayochanganya mazingira ya kupumzika na ushindani wa kutafuta alama nyingi zaidi. Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi. Jambo lingine linaloufanya mchezo huu kuwa wa kuvutia ni kasi yake na urahisi wa kuucheza. Huhitaji kuwa mtaalamu wa soka ili kuanza kufurahia changamoto zinazopatikana ndani ya Beach Penalties. Unachohitaji ni kuelewa namna ya kuchagua mwelekeo unaotaka na kujaribu kufikia matokeo bora. Kwa mashabiki wanaopenda soka pamoja na michezo ya kasino mtandaoni , huu ni mchanganyiko unaoweza kuongeza burudani katika muda wao wa mapumziko. Kila jaribio linakupa nafasi nyingine ya kuboresha alama zako na kufurahia msisimko unaoletwa na mchezo huu. Kupitia Meridianbet, kufurahia Beach Penalties kumekuwa rahisi zaidi kwa sababu hufungwi na kifaa kimoja. Unaweza kuingia na kucheza kupitia simu yako ya mkononi, kompyuta au laptop, kulingana na kifaa unachopendelea kutumia. Hii inakupa uhuru wa kufurahia mchezo katika mazingira tofauti mradi una intaneti na kifaa kinachokuwezesha kuufikia. Meridianbet inaendelea kuleta michezo mbalimbali ya kasino inayokidhi ladha za wapenzi wa burudani za kidijitali, huku Beach Penalties ikiwa miongoni mwa chaguo zinazochanganya ubunifu, soka na mazingira ya kitropiki. Sasa ni wakati wa kuijaribu burudani hii mpya. Tembelea Meridianbet, jisajili ikiwa bado, ingia kwenye akaunti yako na utafute Beach Penalties kutoka Expanse Studios. Chagua kifaa chako unachopendelea na ujionee mwenyewe namna mikwaju ya penalti inavyoweza kuwa ya kusisimua zaidi inapochezwa katika mandhari ya ufukweni. Jiunge na familia ya Meridianbet na ufurahie burudani inayokuingizia kipato.

Fri, 13 Nov 2026 07:03:00 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

POSTA YATOA MAFUNZO YA HUDUMA KWA WATEJA NA MAWASILIANO

Shirika la Posta Tanzania (TPC) limetoa mafunzo ya huduma kwa wateja na mawasiliano kwa Mameneja wa Posta kutoka mikoa mbalimbali nchini, yakilenga kuimarisha uwezo wa watumishi katika kusimamia utoaji wa huduma bora, kuongeza ufanisi wa kiutendaji na kukuza ushindani wa biashara ya Shirika. Akifungua mafunzo hayo, Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano, Huduma kwa Wateja na Mawasiliano wa Shirika la Posta Tanzania, Bi. Jamila Mbarouk, amewataka mameneja hao kuweka kipaumbele katika utoaji wa huduma bora kwa wateja, akieleza kuwa wateja ni msingi muhimu wa ukuaji na maendeleo endelevu ya Shirika. Amesisitiza kuwa kuwahudumia wateja kwa weledi, heshima na ufanisi ni nyenzo muhimu katika kujenga uaminifu, kudumisha mahusiano mazuri na kuongeza imani ya wateja kwa Shirika. Kwa upande wake, mwezeshaji wa mafunzo hayo, Bw. Wilson Vicent Nkutigwa, amesisitiza umuhimu wa watumishi kuzingatia misingi ya uwajibikaji, weledi na ubora wa huduma, akibainisha kuwa utekelezaji wa misingi hiyo utasaidia kuvutia na kudumisha wateja, kuimarisha ushindani wa kibiashara na kuchochea ukuaji wa Shirika. Aidha, ameeleza kuwa kuridhika kwa wateja, uwasilishaji wa mizigo kwa wakati na utatuzi wa changamoto zinazowakabili wateja kwa haraka na kwa ufanisi ni miongoni mwa viashiria muhimu vya ubora wa huduma, vinavyopaswa kupewa kipaumbele katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku. Kupitia mafunzo hayo, Shirika la Posta Tanzania linaendelea kuimarisha uwekezaji katika rasilimali watu kwa kuwajengea watumishi uwezo na maarifa yanayohitajika ili kuboresha uzoefu wa wateja, kuimarisha imani ya umma na kuongeza ushindani wa Shirika katika soko la huduma za posta na usafirishaji.

Fri, 13 Nov 2026 19:05:23 +0000
Uncategorized · DW Rwanda

Pope Leo celebrates Mass in his former diocese of Chiclayo, Peru

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Rwanda News Agency

The use of modern cooking stoves at GS Gasaka contributes to environmental conservation in Nyamagabe

Read the full report from the original source.

Recently

Page 188 of 1138 · 22757 stories