Unganishwa

Search the region

22771 stories

Uncategorized · Capital FM

Hassan Omar Daffa Appointed Kenya’s New Chief Kadhi

Latest · News

Recently
National · Issa Michuzi

CHALINZE YAPOKEA SH BILIONI 1.3 MIRADI YA MAENDELEO

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Halmashauri ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, imepokea Sh bilioni 1.3 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027. Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Leon Mgweno, amesema fedha hizo zimeelekezwa katika kata mbalimbali kwa ajili ya kutekeleza miradi ikiwemo ya elimu, inayolenga kuboresha huduma na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika eneo hilo. Akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani, Mgweno alisema baadhi ya miradi iliyoelekezwa kutekelezwa ni pamoja na ujenzi wa eneo la maegesho ya malori na soko la wajasiriamali. Mlawa aliwataka wataalamu wa Halmashauri kukutana na wawekezaji na kuwaelekeza namna ya kushiriki katika kuchangia maendeleo ya jamii, huku akiwataka madiwani kuwafuata wananchi katika maeneo yao, kusikiliza kero na kutafuta ufumbuzi badala ya kusubiri viongozi wa ngazi za juu kufika. Katika kikao hicho, Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Ramadhani Possi, ameombwa kusaidia ukarabati wa barabara inayoelekea katika chuo cha ufundi ili iweze kupitika wakati wote. Wakati huo huo, Diwani wa Miono, Fransis Kilo, aliiomba RUWASA kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji katika eneo la Kweikonje ili kuwaondolea wakazi wake changamoto ya upatikanaji wa maji.

Fri, 13 Nov 2026 12:58:39 +0000
Sports · Mwanaspoti

Siri ya Fadlu Yanga yavuja!

Soma zaidi hapa

Recently
Business · Issa Michuzi

KOROSHO KUONGEZWA THAMANI NANYAMBA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kongani la Viwanda katika Kijiji cha Maranje, Halmashauri ya Nanyamba, akiwa ziarani mkoani Mtwara leo tarehe 13 Novemba 2026. Katika hafla hiyo, Makamu wa Rais amekabidhi mashine 100 zinazotumia umeme kwaajili kubangulia korosho kwa Vikundi mbalimbali Wilayani humo, na kuagiza kuimarishwa kwa huduma za gesi, umeme na barabara ili kuchochea uzalishaji na ajira. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania, Francis Alfred, kongani hiyo ina ekari 1,500, zikiwemo 350 zinazotumika kwa sasa, na wawekezaji tisa wako tayari kuwekeza. Lengo ni kufikia mwaka 2030, korosho zote zinazozalishwa nchini zibanguliwe na viwanda vya ndani kuongeza thamani, ajira na manufaa kwa uchumi wa Tanzania.

Fri, 13 Nov 2026 12:55:58 +0000
Uncategorized · UBC

Hajji Kakande urges public servants to prepare early for retirement

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · DW Rwanda

Ukraine updates: Russia hit with second car bomb attack in two days

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

VP Ndejembi graces construction of industrial park in a village in Mtwara

MTWARA: VICE President Deogratius Ndejembi, has laid the foundation stone for the construction of an industrial park in Maranje Village,…

Recently
Uncategorized · Capital FM

High Court dismisses Brian Yongo’s petition seeking removal of Nairobi CECM Charles Kerich

Latest · News

Recently
Uncategorized · KBC

Indian national arrested over alleged Ksh172M gold scam

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Daily News

Tanzania insists on usage of technolocal data system for its infrastructural projects

DODOMA: THE Ministry of Works has called on directors and Monitoring and Evaluation (M&E) managers in institutions under its supervision…

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Ruto unveils fresh plan to dual Nairobi-Mombasa highway

Ruto said that the long-awaited project will be undertaken within the next year to ease congestion on the busy transport corridor.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Bukoba yatakiwa kuharakisha miradi ya maendeleo

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Mwanaspoti

Pochettino mvinyo wa zamani katika chupa ya zamani

Soma zaidi hapa

Recently
Uncategorized · The Observer Uganda

KOICA alumni urged to turn skills acquired in South Korea into community action

Ugandans who have benefited from South Korean scholarships and training programmes have been urged to apply the knowledge and skills acquired abroad to practical initiatives…

Recently
Uncategorized · Citizen Digital

Pochettino poised to agree 2.5-year deal at Man Utd

Read the full report from the original source.

Recently
Business · Business Daily Africa

Equity, Co-op lead in Sh424bn new loans to small businesses

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · The Star Kenya

Reprieve for MP Muhia as court quashes Sh1.5m IEBC fine

The court noted that the legislator was not afforded a fair hearing before being found guilty of breaching the Electoral Code of Conduct.

Recently
Uncategorized · HabariLeo

Jela mwaka mmoja kwa wizi wa pikipiki

Read the full report from the original source.

Recently
Uncategorized · Burundi Forum

Burundi / Diplomatie : Le Sénat participe aux travaux parlementaires OEACP-UE à Bruxelles

À Bruxelles, une délégation sénatoriale burundaise participe aux échanges sur le financement du développement, la jeunesse et la coopération entre l’OEACP et l’Union européenne. Bruxelles, Belgique (BDIAGNEWS), 12/11/2026 – Conduite par Ngendanganya Générose, Première Vice-Présidente du Sénat burundais, la délégation burundaise a...

Fri, 13 Nov 2026 12:18:13 +0000
Uncategorized · Issa Michuzi

Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi Jengo la Kituo cha Rasilimali za Walimu Mbezi (TRC).

Vodacom Tanzania Foundation imekabidhi Kituo cha Rasilimali za Walimu kilichokarabatiwa katika Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi, Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji. Maboresho hayo yamehusisha uwekaji wa dari, viyoyozi, kompyuta 30 zilizounganishwa na intaneti, vifaa 30 vya UPS, meza na viti 30, televisheni ya inchi 75 pamoja na madawati 90 kwa wanafunzi. Akizungumza katika hafla ya makabidhiano, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Albert Msando, aliipongeza Vodacom kwa mchango huo na kusisitiza umuhimu wa kutunza vifaa hivyo ili viweze kuleta manufaa endelevu. Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Uendelevu na Ubia wa Vodacom Tanzania Foundation, Pauline Koola, alisema uwekezaji huo unalenga kuwawezesha walimu kutumia teknolojia kuimarisha ujuzi na ubora wa ufundishaji. Kupitia ushirikiano na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) katika programu ya MEWAKA, Vodacom imeondoa gharama za data kwa zaidi ya walimu 100,000 wanaotumia mfumo wa mafunzo mtandaoni, huku walimu 300,000 wakitarajiwa kunufaika nchini. Hatua hiyo inaendeleza dhamira ya Vodacom kushirikiana na Serikali kuimarisha sekta ya elimu kupitia teknolojia na miundombinu bora. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando (aliyevaa skafu) akikata utepe kuzindua Kituo cha Rasilimali za Walimu (TRC) kilichofanyiwa maboresho na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi, Wilaya ya Ubungo. Uzinduzi wa jengo hilo umeambatana na makabidhiano ya vifaa vya kisasa vya TEHAMA, vikiwemo kompyuta 30 zilizounganishwa na intaneti), UPS 30, meza na viti 30, televisheni ya inchi 75 pamoja na madawati 90 kwa ajili ya wanafunzi. Makabidhiano hayo yamefanywa na Mkuu wa Idara ya Uendelevu na Ubia wa Vodacom Tanzania Foundation, Pauline Koola, huku yakishuhudiwa na Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania, eneo la Kibaha Fadhili Linga, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbezi, Lois Bawazir Hassani na mwakilishi wa Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Ubungo, Hamida Semkuya. Mkuu wa Idara ya Uendelevu na Ubia wa Vodacom Tanzania Foundation, Pauline Koola, akizungumza wakati wa makabidhiano ya Kituo cha Rasilimali za Walimu (TRC) Mbezi, Ubungo. Kupitia ushirikiano na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) katika programu ya MEWAKA, Vodacom Tanzania Foundation imeboresha na kukipatia kituo hicho vifaa vya kisasa, huku ikiwezesha zaidi ya walimu 100,000 kupata mafunzo kupitia mfumo wa LMS bila gharama za data wanapotumia mtandao wa Vodacom, kati ya walimu 300,000 wanaolengwa nchini kote. Mwonekano wa nje wa jengo la Kituo cha Rasilimali za Walimu katika Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi, Wilaya ya Ubungo, baada ya kufanyiwa maboresho na Vodacom Tanzania Foundation. Ukarabati huo umehusisha uwekaji wa dari na viyoyozi, pamoja na upatikanaji wa vifaa mbalimbali vikiwemo kompyuta 30 za mezani zilizounganishwa na intaneti, vifaa vya akiba ya umeme (UPS) 30, seti 30 za meza na viti na televisheni janja ya inchi 75, kwa lengo la kuimarisha mazingira ya walimu kujiendeleza kitaaluma na kutumia teknolojia katika ufundishaji. Mwonekano wa ndani wa Kituo cha Rasilimali za Walimu katika Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi, Wilaya ya Ubungo, baada ya kufanyiwa maboresho na Vodacom Tanzania Foundation. Ukarabati huo umehusisha uwekaji wa dari na viyoyozi, pamoja na upatikanaji wa vifaa mbalimbali vikiwemo kompyuta 30 za mezani zilizounganishwa na intaneti, vifaa vya akiba ya umeme (UPS) 30, seti 30 za meza na viti na televisheni janja ya inchi 75, kwa lengo la kuimarisha mazingira ya walimu kujiendeleza kitaaluma na kutumia teknolojia katika ufundishaji. Baadhi ya madawati 90 yaliyokabidhiwa na Vodacom Tanzania Foundation kwa Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi, Wilaya ya Ubungo, ikiwa ni sehemu ya mchango wa taasisi hiyo katika kuboresha mazingira ya kujifunzia.

Fri, 13 Nov 2026 09:00:00 +0000

Page 196 of 1139 · 22771 stories