Search the region
22812 stories
Bagorogoza, Maguru Accused of Blaming Museveni’s Intervention for Their Own Legal Woes in Garuga Estate Saga
Read the full report from the original source.
RecentlyInside Kalonzo's seven-day US tour itinerary
The Wiper leader will visit six cities and hold engagements with US lawmakers, institutions and Kenyans in the diaspora.
RecentlyUne semaine de négociations autour de la guerre en Ukraine
Read the full report from the original source.
RecentlyAbahinzi bigishijwe na RICA bamaze kubona itandukaniro
Read the full report from the original source.
RecentlyNew platform aims to get money moving before disaster strikes
Read the full report from the original source.
RecentlyNdejembi : Masasi kupata umeme wa uhakika baada ya kukamilika kwa mradi wa Songea – Tunduru – Masasi
Read the full report from the original source.
RecentlySalome : Umeme utumike kuongeza uzalishaji na kujenga uchumi wa wananchi
Read the full report from the original source.
RecentlyQuickmart investors gain Sh5.6bn on first day of trading
Read the full report from the original source.
RecentlyFloods disrupt KCSE exam delivery in West Pokot
The main road to Pokot North, which is undergoing construction, was cut off, disrupting the transportation of examination materials to some schools in the area.
Recently‘Make or bake time’: Guterres urges climate justice pact as leaders gather at COP31
Read the full report from the original source.
RecentlyFourteen dead after truck loses control in 23-vehicle crash in UAE
The accident involved 23 vehicles including five trucks, and happened at the entrance of the eastern emirate in "slow-moving traffic" just before midnight
RecentlyUjumbe wa Wizara ya Nishati Malawi wapongeza matumizi ya mfumo wa SCADA PBPA
Read the full report from the original source.
RecentlyMinisitiri w’Intebe yasabye abafatanyabikorwa gushora imari mu buhinzi buhangana n’imihindagurikire y’ibihe
Read the full report from the original source.
RecentlyOburu returns to Senate after weeks of illness, urges political tolerance
Read the full report from the original source.
RecentlyDes centaines d’orpailleurs expulsés de Guinée accueillis à Bamako
Read the full report from the original source.
RecentlyRDC: Abasesenguzi baraburira ko ikibazo cyo kutihaza mu biribwa gishobora kurushaho gukomera
Read the full report from the original source.
RecentlyNishati jadidifu kuchangia megawati 1, 892 ifikapo 2030 – Dk Mataragio
Read the full report from the original source.
RecentlyKATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ASISITIZA ULINZI WA BIASHARA ZA WAZAWA
Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Balozi Waziri Rajab Salum, ameielekeza Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kuimarisha usimamizi wa utoaji wa Leseni za biashara kundi A ili kulinda fursa za kiuchumi zilizotengwa kwa Watanzania. Hayo ameyazungumza leo Novemba 12,2026 jijini Dar es Salaam alipofanya ziara katika ofisi ya BRELA kwa lengo la kuzungumza na Menejimenti na Watumishi wa taasisi hiyo. “Naielekeza BRELA, kuhakikisha wageni hawapati Leseni za biashara kundi A ambazo kwa mujibu wa katazo la Serikali Na.487A la mwaka 2025 kuhusu biashara zilizopigwa marufuku kufanywa na wasio raia wa Tanzania na kwa Leseni zilizotolewa awali kabla ya katazo hilo pindi zitakapo kwisha muda wake hampaswi kuzihuisha tena”, amesema. Aidha Balozi Salum amewataka vijana wabunifu wenye mawazo na bidhaa bunifu wanazipa ulinzi wa Miliki Ubunifu sambamba na kuwahamasisha wafanyabiashara wadogo kusajili biashara zao. Na kuongeza kuwa, kampuni zenye changamoto hasa zenye migogoro ya hisa zinapaswa kutembelea ofisi za BRELA ili kusaidiwa na kupata suluhu ya changamoto zao. Sambamba na hilo, ameielekeza BRELA kuandaa kliniki maalumu ya kuwahudumia wasanii ili kuwapa huduma ya kusajili na kulinda bunifu zao ili waweze kunufaika, na kuepusha kuibiwa bunifu hizo zitakazopelekea kuwa na migogoro. Kwa upande wake Ofisa Mtendaji Mkuu wa BRELA Bw.Godfrey Nyaisa, amemueleza Katibu Mkuu Mhe.Balozi Salum kuwa, Katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027 BRELA imeendelea kuwezesha utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi na wadau wa biashara. Katika kipindi hicho, BRELA imesajili Kampuni 5,811 sawa na asilimia 96, Majina ya biashara 11,044 sawa na asilimia 109, Leseni za Biashara kundi A 8,171 zimetolewa sawa na asilimia 69, vyeti vya usajili wa viwanda tisa (9) sawa na asilimia 47, pamoja na Leseni za Viwanda 283 sawa na asilimia 163 zimetolewa. Aidha, Wakala amesajili Alama za Biashara na Huduma 1,075 sawa na asilimia 96, huku maombi ya Hataza yakiwa ni 95 sawa na asilimia 396 yamepokelewa. Mafanikio haya yanaonesha juhudi za BRELA katika kuimarisha utoaji wa huduma na kuwezesha ukuaji wa biashara na uwekezaji nchini.” Alisema Nyaisa. Ziara ya Katibu Mkuu Viwanda na Biashara katika ofisi za BRELA imelenga kujionea shughuli na huduma zinazotolewa na BRELA na kutathmini utekelezaji wa majukumu yake.
Thu, 12 Nov 2026 18:07:03 +0000TANZANIA NA BENKI YA EXIM YA UTURUKI WAJADILI UFADHILI WA RELI YA SGR NA UKUAJI WA BIASHARA
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Uturuki, Bw. Ali Guney baada ya kufanya kikao kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kimkakati wa Reli ya SGR, kando ya Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP31, Jijini Antalya nchini Uturuki. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wa nne kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Uturuki, Bw. Ali Guney (wa nne kutoka kulia) pamoja na ujumbe wa pande mbili (Tanzania na Exim Bank ya Uturuki), baada ya kufanya kikao kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kimkakati wa Reli ya SGR, kando ya Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP31, Jijini Antalya nchini Uturuki. Baadhi yao katika picha ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Asha Khamis Abdulla (wa tatu kushoto) na Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Rished Bade (wa pili kushoto). (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF-Uturuki) ***************** Na Benny Mwaipaja, Antalya-Uturuki Serikali ya Tanzania iko katika hatua za mwisho za mazungumzo na Benki ya Exim ya Uturuki ili kupata ufadhili wa dola za Marekani milioni 280 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kipande cha tatu na cha nne cha mradi wa reli ya kisasa (SGR). Mazungumzo hayo yamefanyika Jijini Antalya nchini Uturuki, kando ya Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP31, kati ya ujumbe wa Tanzania ukiogozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar na Ujumbe wa Benki ya Exim ya Uturuki ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake, Bw. Ali Guney. Mhe. Balozi Omar alisema kuwa ujenzi wa mradi huo wa kimkakati wa SGR kipande cha tatu na nne wenye urefu wa zaidi ya kilometa 700, una thamani ya dola za Marekani bilioni 1.6 ambapo kiasi cha dola bilioni 1.32 kimeshapatikana, na kiasi cha dola milioni 280 ndicho kinachosubiriwa ili kukamilisha bajeti hiyo. “SGR Ni mradi mkubwa wa miundombinu unaochukua zaidi ya kilomita 2,000, unaolenga kuunganisha jiji la bandari la Dar es Salaam kwenye pwani ya mashariki na mikoa ya magharibi ya Mwanza na Kigoma hadi nchi jirani, ikiwemo Rwanda, Uganda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo” alisema Mhe. Balozi Omar Alisema kuwa Mradi huo umegawanywa katika sehemu sita tofauti, zinazojulikana kama loti ambapo loti mbili za kwanza, zinazounganisha Dar es Salaam na Mji Mkuu wa Serikali, Dodoma, tayari zimekamilika na zinafanya kazi na kupokelewa vizuri na umma. Mhe. Balozi Omar aliongeza kuwa, tofauti na miradi mingi ya reli ya kikanda inayotegemea dizeli, reli ya Tanzania (SGR) inatumia umeme, hatua inayoendana na ajenda ya Mkutano wa COP 31 unaofanyika Antalya-Uturuki, unaohimiza matumizi ya nishati safi ili kutunza mazingira na kuufanya mradi huo kuwa kielelezo endelevu cha usafiri wa kikanda. Kwa Upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Uturuki, Bw. Ali Guney, amesema kuwa Benki yake inathamini ujenzi wa mradi huo kwa maendeleo ya Tanzania na nchi jirani na kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Benki hiyo itakutana mwezi huu kujadili maombi ya ufadhili huo unaohitajika ili kukamilisha ujenzi wa Reli hiyo ya kisasa. Bw. Guney alisema kuwa licha ya ujenzi wa Reli, Benki yake inaangalia pia maeneo mengine ya ushirikiano kati ya Tanzania na Uturuki katika nyanja za kiuchumi na kibiashra, ufadhili wa miradi ya miundombinu ya baadaye, ikiwemo barabara na madaraja, kama sehemu ya kuimarisha zaidi uhusiano wa kiuchumi. Hatua hiyo inaendana na malengo ya biashara kati ya nchi mbili yaliyowekwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mhe. Recep Tayyip Erdogan, Rais wa Jamhuri ya Uturuki ambao wamelenga ukuaji wa biashara kati ya Mataifa hayo mwili ufikie angalau dola za Marekani bilioni moja.
Thu, 12 Nov 2026 18:02:05 +0000Back to sender: Aisha Jumwa returns to UDA
Former Cabinet Secretary Aisha Jumwa has returned to President William Rutos United Democratic Alliance (UDA).
Thu, 12 Nov 2026 20:50:00 +0300Page 214 of 1141 · 22812 stories